Vita ya Haji Manara dhidi ya wachambuzi wa mchongo

Naam, ipo misemo mingine mingi nimeiacha wadau muongezee...

Kuinua daluga
Mkwaju wa penati
Mpira unapelekwa mahali kuku anatagia
Anapiga pasi mkaa
Anaanua mpira
Anaunawa mpira
Kuna hii walipenda kusema pia... Ikitokea penati mtangazaji anakwambia.."Miguu kumi na mbili ya mtu mzima"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anaikandia na kuiponda au anasema ukweli ambao hatutaki kuusikia


By the way yanga mwenzenu huyo
Tunajua kua ni Yanga mwenzetu na alikua mwanachama tangu mwaka 2003.

Huo ukweli ndio ajifanye kuusema leo baada ya GSM kumnyima shavu?.
 
Hahaha mkuu umetisha sana

Hayo ni maneno ya wachambuzi wa mchongo.
mzee kama kuna yule madogo wa wasafi hance Rafael na kuna mwingine hiv,afu kuna yule wa clouds farhan huyu akianza kutaja timu za kihispaniola na kitaliano,na misemo ya waitaliano ndio utajua ujui😂😂😂😂😂
 
Bin Kazumari ifikie wakati akubali tu kushindwa. Kamwe hawezi kushindana na huyu jamaa.
Maana hayo madongo yote kwa hao wachambuzi wa mchongo, chanzo ni yeye.
Kazumari hajataka kumlipua Takadini, mbna kazi ndogo kumlipua Sope huyu atabaki kulia kwa Media na kuomba kazumari akamatwee. Hachelewi kujiliza huyu zeru zeru.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
YULE ASINGEKUWA NA KILEMA KILE ANGETUSUMBUA SANA, ASANTE MUNGU KWA KUMKANDIKA KOVU LA WAZI WAZI.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu jaman, khaaaaaah
 
Unaposema Yanga ndio content..umeleta mahaba yako kwa Yanga..
Haya maneno yengesemwa na mtu mwingine sio manara..manara anaongea upuuzi mwingi kuliko wachambuzi uchwara
 
Muambie aweke na sifa za kuwa CHAWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…