Vita ya Hamas na Wazayuni ni zaidi ya tunayoiona na kuisikia

Si kila asiye Muislam ni kafir daima. Mwenyezi Mungu "huutowa umauti kwenye uhai na huutowa uhai kwenye umauti".

Kafiri ni kama wewe usiyejijuwa uko wapi.
Hivi,kuwaita wengine makafiri hamuoni kwamba mnawakera?Mkitafutiwa neno "zuri" nanyi muitwe msijichukize na kuchoma bendera.
 
Achana na bibi wa mande huyo
 
Hivi,kuwaita wengine makafiri hamuoni kwamba mnawakera?Mkitafutiwa neno "zuri" nanyi muitwe msijichukize na kuchoma bendera.
Maana ya kafiri ni mpinazni au mpingaji Mwenyezi Mungu.

Labda huielewi maana yake tu, makafiri wametajwa kwenye biblia pia.

Kama mpinzani anakataa kuitwa mpinzani, ageuke Msigwa.

Kama ni kafiri na unaogopa kuitwa kafiri, toka kwenye ukafiri.
 
Kwa hiyo CHADEMA ni makafiri?
 
Wewe bibi nitajie Hamas mmoja ambae mkristo.
Maana ili uwe gaidi lazima kwanza usilimu.
Huwa sikisii.

Umetaka mmoja tu? Tumia google mtafute Anwar Zbouan.

Kama hakutoshi nikuongeze.
 
hapa kaanglie tena madhumuni ya Israel kwa Palestina. Maulamaa wengi wanasema hivi ni vita vya Jihad
Naam, ni kweli kabisa. hawakosea. Vita yoyote inayihusu ardhi ya Muislam ni jihad.
 
Wakristo ni Makafiri
Maislamu ni Mafirana
Huo ni mtazamo wako, kama unampinga Mwenyezi Mungu mmoja basi wewe ni kafiri pia.

kauli yako tu inaonesha wewe ni kafiri.
 
Huwa sikisii.

Umetaka mmoja tu? Tumia google mtafute Anwar Zbouan.

Kama hakutoshi nikuongeze.
Uwongo. Hamna mkristo ambae ni Hamas member. Na hapo Gaza idadi ya wakristo haizidi 1000 na wengi walikimbia baada ya Hamas kuingia madarakani
 
Vita ya Hamas na Israel NI vita Kati ya uzao WA watoto wawili Ibrahim wa mke wa Ndoa na nje ya ndoa

Mke wa Ndoa wa Ibrahim alikuwa ni Isaka akachelewa kuzaa ,Ibrahim akazaa na nyumba ndogo aliyemzaa Ishmael baba wa wafilisti na waislamu.kupitia Mohamed uzao wa Ishmael mchepuko wa Ibrahim mwanamke wa nje ya ndoa

Sarah mke wa ndoa baadaye akazaa Isaka baba wa wayahudi na wakristo kupitia myahudi Yesu

Vita ile ni kati ya Wana halali wa ndoa wa Ibrahimu ambao ni wayahudi na watoto wa nje ya ndoa waislamu wakigombea urithi WA Mzee Ibrahimu

Ile nchi ni ya watoto wa ndani ya ndoa Ishmael na waislamu nchi zao ni za kiarabu na meçca na madina zao huko
 
Uwongo. Hamna mkristo ambae ni Hamas member. Na hapo Gaza idadi ya wakristo haizidi 1000 na wengi walikimbia baada ya Hamas kuingia madarakani
Kwa kuwa huna uelewa ndiyo mimi nimekuwa "muongo"?

Usilolijuwa ni usiku wa kiza. Jisomee, kama English inapanda:

Ukimaliza kusoma niombe msamaha kwa kukurupuka kwako.
 
UHALALI WA WAO KUWA MAZAYUNI AU MAARABU HUWA HAUTUHUSU NA SISI WALA SI JUU YETU KUUFUATILIA KWA NINI MAARABU YANAKAZANA SANA KUSEMA MAYAHUDI HAWA SIO ORIGINAL ORIGINAL WAPO WAPI? OK SIYO OG SO WHAT? MAARABU NA MAYAHUDI WAMEPATA SUPPORT ZA MAISLAMU NA MAKRISTO NAYO YANACHEZA NA HISIA HIZO HIZO. WENDAWAZIMU. MAMBO YA NGOSWE WAACHIWE NGOSWE.
 
Piga porojo kwa namna unavyojua lajini mazayuni wangekuwa waislam kusingekuwa na vita hapo.Tatizo waislam mnajionaga ka group kenye mahitaji maalum hamuwezi kuncoexist na wasio wa dini yenu.
Endeleza porojo as if tumeusikia huo mgogoro leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…