Vita ya Hamas na Wazayuni ni zaidi ya tunayoiona na kuisikia

Hujakosea kabisa, Mayahudi wapo tu, wapo nchi nyingi za Kiarabu mpaka leo hii.

Lakini kumbuka. siyo, Wapalestina wa dini yoyote ile, waliowakuta mazayuni hapo.

Elewa kutofautisha mazayuni na wayahudi.

Upo hapo ulipo?
 
Hujakosea kabisa, Mayahudi wapo tu, wapo nchi nyingi za Kiarabu mpaka leo hii.

Lakini kumbuka. siyo, Wapalestina wa dini yoyote ile, waliowakuta mazayuni hapo.

Elewa kutofautisha mazayuni na wayahudi.

Upo hapo ulipo?
Labda kama haufahamu, Zionists wanatokana na Judaism/Jews . uzayuni ni itikadi za Wayahudi wenye msimamo mkali ambao wanahitaji taifa lao lifuate misingi na alama za Kiyahudi na wanataka hata jina la Israel libadilishwe na nchi yao itambulike kama Jewish State
 
Unachanganya sana mambo, uzayuni ni wazo la kikundi fulani, halihusiani na dini wala utaifa wa mtu. Unaweza kuwa "Muislam" ukawa zayuni. Unaweza kuwa "mkristo" ukawa zayuni, kama ulivyo wewe, unaweza ukawa myahudi ukawa zayuni. Mazayuni na mashetani hawana tofauti.
 
Anayechanganya nani sasa kati ya mimi na wewe? Katika comment yako ulijaribu kuwaelezea Zionist kama watu wa asili fulani, mimi nikakwambia ni itikadi na wewe unakuja kusema kuwa ni itikadi/wazo halafu unasema mimi ninachanganya mambo.
Hauwezi ukatenganisha Zionism na Judaism/Jewish. Kwingine kote wakitumia neno Zionism ujue wanakopa tu hilo sababu misingi ya wanachokifanya inafanana na zionism hivyo hawaoni sababu ya kuja na neno jipya hivyo wanalikopa na kulitumia
 
Harakati za kuutangaza Uislami kwa nguvu haujawahi kushinda tangu mtume akiwa hai.

Hamas ni kundi la kigaidi ambalo limesababisha waparestina karibia 40,000 kufa kibudu sababu ya kuwajaza ujinga vichwani mwao kwamba ile ardhi ni yao na si ya wa- islael.

Nabii Mussa hakupewa ile ardhi na Mungu - kwamba wao ndiyo waliishi hapo tangu kuumbwa kwa Dunia.
 
Sikushangai kuwaita Hamas magaidi, hilo ndilo takwa za mashetani wenzako. Wamekujaza ujinga na umekujaa. Magaidi wa kweli huwaoni?

Uislam hautangazwi, unajitangaza wenyewe kwa vitendo vya Waislam wenye kuufata Uislam.

Uislam unalinganiwa tu.

Unafahau maana ya kulingania Uislam?
 
Baadhi ya maneno yako ni kweli.
Hamasi ni kikundi cha kisiasa. Na si cha kueneza uislamu. Hii ndio hupelekea wanakosa inaaya ya Allaah pamoja na kulitumia jina lake.
Asli vita vya mayahudi ni vita vya kidini. Ndio sababu ikitokea tu makufari husimama nao. Kuitoa kwenye mkondo huo. Na kuwepo mchanganyiko huo ulioutaja. Pia hata wengi wao kutosima imara kwenye imani zao, ni sababu kuu ya kukosa msaada kama ule wa vita vya Badri,Ahzaab na hata mfano wa "twairan abaabiil"
 
Hamas ni kundi la kisiasa pekee ambalo, kama ni Muislam huwezi kuwemo kama hujahifadhi au hutaki kuhifadhi Qur'an.

Wangekuwa wameuwacha Uislam katika mapambano yao wasingekuwepo leo hii. Wanashambuliwa na tawala za kishetani za dunia nzima.
 
Kuna ardhi Mwenyezi Mungu aliumba akaandika hii ni ya waislamu? je wakristo ipo wapi na ya wayahudi ipo wapi?
 
Kuna ardhi Mwenyezi Mungu aliumba akaandika hii ni ya waislamu? je wakristo ipo wapi na ya wayahudi ipo wapi?
Hakunabardhibyeyote ambayo Mwenyezi Mungu hajakupa muongozo wa kuishi. Ni juu yako kuwa katuja waliofuzu, kuishi Kiislam, au kuwa katika waliopotea na kuishi kishetani.
 

View: https://x.com/mom_syrian_girl/status/1821819891541827819
 
Hakunabardhibyeyote ambayo Mwenyezi Mungu hajakupa muongozo wa kuishi. Ni juu yako kuwa katuja waliofuzu, kuishi Kiislam, au kuwa katika waliopotea na kuishi kishetani.
Dada yangu mpenda haki, haya yanayotokea Bangladesh kwenye jamii ya kihindu wewe hayakuhusu?
 
Hilo halina shaka wala kupinga. mazayuni hata ulaya waliondolewa na wazungu wenzao kwa mabaya.

Wewe unaamini Mwenyezi Mungu au unamfata shetani?
Sasa Hamas walikuwa hawajui ubaya wao Hadi wawachokoze??
Waallah hamas Itafutwa humu duniani😭😭😭😭
MWENYE mavowea ya kunyonga kuchinja hawezi!
 
Ardhi ya muislam? Yupi sasa Mzayuni au Mpalestina?
Huko kote si kuna waislam, na wote wanaitaka hiyo ardhi ni Jihad kwa upande wa nani?

Na kwanini upande huo pekee, ina maana waislam wa upande mwingine wamekengeuka na ardhi sio yao??
Yeyote anaejisalimisha na kumnyeyekea Allah, ni Muislam.

Kumbuka hilo.
 
Si kila asiye Muislam ni kafir daima. Mwenyezi Mungu "huutowa umauti kwenye uhai na huutowa uhai kwenye umauti".

Kafiri ni kama wewe usiyejijuwa uko wapi.
Ndio shida ya kukopy neno kutoka kwa wayahudi.. Neno kafir(kufar) tafsiri yake ni upingaji au mpingaji.. mudy alikopa hilo neno, alipoenda kuwashawishi Jews and Christian wamuache Yahweh kisha wamfuate Allah pagani jiwe la kaaba, wakamtoa nduki na kumuita kafir. Sasa na yeyè sababu wamempinga akawaita nao makafir.. so waislam mbele ya wayahudi na wakristo ni makafiri same na upande mwingine. Ila ukitizama waislam ndio makafiri sababu Allah sio Mungu wa Ibrahim wala wayahudi... Allah waislam wenyewe hawamjui
 
Watu wajinga wengi washaingiza Udini humu kwenye hizi mada za mazayuni dhidi ya harakati za ukombozi wa palestina , mazayuni wanachofanya sasa hivi ni genocide hata mjinga na kipofu anajua , wapalestina wakristo wapo na ni wengi .
Ni sawa na majitu yaliyokariri kwamba middle east yote ni nchi za waislamu tu , wakati nchi kama Lebanon kuna jamii kubwa sana za wakristo ,syria pia
Hata Egypt kuna dhehebu kongwe la kikristo wanaitwa Coptic Christians , hili dhehebu lipo hapo Egypt miaka mingi kabla hata savages wa Europe hawajastaarabika wala kuujua ukristo.
Mazayuni ni settlers (wavamizi ) na waporaji wa ardhi ya Palestina .


Ni ushenzi sana kuendelea kushadadia huu upuuzi wa mazayuni na kinachofanywa na hawa washenzi ni kuamsha hasira za mataifa mengine kitu kinachoweza leta vita kubwa sana na ya maangamizi ,na kila mmoja ataumia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…