nimecheka peke yangu kama chizi hapa 😆Goba uku wamejaa una hodishwa una sema mtu wa maana una amka una kuta kijana wa voda ana kwambia tuna unganisha WiFi duh
Ee tena wana gonga kama wenyej geti lina gongwa mpaka moyo una umanimecheka peke yangu kama chizi hapa 😆
JidanganyeUnajua wakazi wengi wa Tanzania tunaishia vijijini? Zaidi ya 70% unalijua hilo?
Fiber haiwezi kuja kuzizidi Reuters za bila waya kwa Tanzania hii kwa miaka 60 ijayo sababu mitandao ya sim tu hii ya wireless imeweza kusambaa kwa kiasi hiki kwa miaka ya hivi karibuni tu
😂😂Jidanganye
Bei Zao zikojeHalotel nlikuwa nawachukulia poa, ila wamenikosha na fiber yao,, hapa home hata kelele za kununua kifurushi sizisikii tena, wamenikomboa sana
55000 kwa mwezBei Zao zikoje
Wewe ni libishi haya pelekeni Fiber kijijini kwetu Butundwe, Geita nawapa hadi mwaka 2280 iwe imefika maana nikiwapa hata miaka 200 hamuwezi kufika.Jidanganye
Halotel fibre yao ipo mpaka wilaya ya ubungo ndani ndani,malamba,kwembe,kiluvya n.k,nasikia wamepata tenda ya kusambaza fibre hospitals na shule za serikali wilaya ya ubungo,savannah,ttcl,zuku n.k wao wananyang'ananya wateje sehemu za kishua,masaki hukoHalotel nlikuwa nawachukulia poa, ila wamenikosha na fiber yao,, hapa home hata kelele za kununua kifurushi sizisikii tena, wamenikomboa sana
Umeanza lini kutumia hilo neno???
Duh kwanini wasituletee hawa? Au ndio figusu nyingi wanahofia watafilisika hawa kina voda?Hyo starlink siyo poa kuna mzungu alikuwa nayo alooo movie ya GB 10 dakika 2 tu
Mi nipo na TTCL, ishu za bando siwazi tena aisee. Awamu hii nataka nilipie miezi mitatu.Halotel nlikuwa nawachukulia poa, ila wamenikosha na fiber yao,, hapa home hata kelele za kununua kifurushi sizisikii tena, wamenikomboa sana
Safi sana,Mi nipo na TTCL, ishu za bando siwazi tena aisee. Awamu hii nataka nilipie miezi mitatu.