Vita ya Intaneti Tanzania: Faiba vs Ruta za mchongo

TTCL ni cheap na speed kubwa, kwa speed tu hawa jamaa nawasifu.
 
Ile ODU nikiiwasha, nilikuwa naona tu 4G ila ile 5G ilikuwa haionekani mkuu, so nikawa naconnect katika 4G ila kwa PC, simu nilikuwa naconnect 5G fresh kabisa.
Wewe una zungumzia WiFi sasa sio mtandao kwamba ujigawe 4G sijui isome kwa PC alafu 5G iconnect kwa simu duh labda una zungumzia dual bands za WiFi 2.4G na 5G... Kwa wifi ulitakiwa kuset channel tu hapo za 5GHz kutoka Auto kua kuanzia frequency kubwa kati ya 132 kuelekea 165, TVs nyingi hazisomi channel ndogo za 5GHz za chini hata kuna baadhi ya Google Pixels za zamani hazioni 5GHz WiFi ukitumia frequency ndogo chini ya 136..
 
Sawa kivipi? Huoni TTCL wanakupa speed x2
BEI ni sawa na za Halofiber tu tofauti ni ndogo, labda hizo extra offers anazo toa huyo TTCL za dakika na GBs za pembeni...
 
Hebu nielimishe kidogo hapa ghalama zao zikoje na za uendeshaji maana kama mwezi nilikuta wameweka nguzo nje ya ukuta wa fence sikujua baadae ndo nakuja kuambia ni za internet ya ttcl
 
Hebu nielimishe kidogo hapa ghalama zao zikoje na za uendeshaji maana kama mwezi nilikuta wameweka nguzo nje ya ukuta wa fence sikujua baadae ndo nakuja kuambia ni za internet ya ttcl
Vuta hiyo internet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…