Vita ya Iran na Israel kuikosesha ubingwa Liverpool

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Yeeeerrrrreeeeh wanajamvi

Kuna uwezekano timu ya mpira maarufu kwenye ligi ya uingereza liverpool FC kukosa ubingwa msimu huu kutokana na vita huko mashariki ya kati.

Hii vita ya majibizano kati ya taifa teule Israel na Iran itapelekea kuwa vita kamili na kuwa vita ya tatu ya dunia.

Kwa mantiki hiyo kila kitu duniani kitasimama. Shughuli mbali mbali za kijamii na za kiuchumi zitavurugika.

Na ndipo hapo Liverpool itakosa ubingwa wa EPL msimu huu 2024/25.

Liverpool kwa sasa inaongoza kwenye table ikiwa na point 25 ikifuatiwa kwa karibu na Mancity 23 na kibonde Nottingham forest ikiwa ya tatu na point 19.

Senior JF local and international sports correspondent and analyst.

Chaliifrancisco

Nyau de adriz
 
Hii vita Kamala atausikia urais wa marekani kwenye radio
 
Hapo itakua marekani na kibaraka wao tu,ulaya ujinga huo hawafanyi
Shida Ulaya nayo Jina
Yaani wanapelekeshwa Na Marekani
Marekani Hawezagi Pigana yeye mwenyewe lazima Ajumuishe Hao Fuata Mkumbo
 
Baada ya ww ii,wazungu hawawezi ingia kwenye upuuzi huo tena
 
Back
Top Bottom