Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Muungano uvunjwe haraka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijitoe ufahamu, structure ya Muungano ilivyowekwa ni kuwabembeleza Wazanzibar ambao hawajawahi uhitaji huo Muungano Bali Bara so ulisema hamtaki wawe Marais ni nonsense.Kama upo uwezekano wa Mtanganyika kugombea ubunge Zanzibar au kuongoza nchi ya watu wa Zanzibar bila vizingiti vya kusheria muungano ungeeleweka.
Kama Mtanganyika angeweza kununua ardhi kama raia wa Tanzania huu muungano tusingeupigia kelele.
Nyie Machadema ndio mnaongea hayo ila CCM kamwe wasingetaka Muungano uvunjike Kwa maslahi mapana ya Nchi ambayo wanayajua wao.Na tufanye haraka kugawana fito kwani mkoloni anakasi ya ajabu kuuza urithi wa vizazi vijavyo vya Watanganyika.
Structure mbovu ya muungano si suala la chadema usijitoe ufahamu.Nyie Machadema ndio mnaongea hayo ila CCM kamwe wasingetaka Muungano uvunjike Kwa maslahi mapana ya Nchi ambayo wanayajua wao.
Je nyie Machadema mnaona hakuna haja ya Muungano?
Acha ujinga
Punguani mkubwa,Haki ipi wewe fukara wa nanyumbu umeikosa?Tunataka Haki sawa, hatumtaki Rais dalali.
Aachie ngazi.
Mbovu Kwa muktadha wa nani? Ndio maana nimesema nyie Machadema ndio mnaona ni mbovu,Je ccm wanaona ni mbovu?Structure mbovu ya muungano si suala la chadema usijitoe ufahamu.
Sasa wewe unaongea kama nani maana hiyo Serikali 3 hakuna ccm anaetaka.
Kinachoitwa vita ya Kisiasa na ccm hawataki Rais kutoka Zanzibar Sasa Kuna haja ya kuwa na huo Muungano? Si watu wagawane fito tuu.
Mimi ni WA Bara ila kusema hutaki Rais wa kutoka Zanzibar nadhani ni upumbavu usio na msingi vinginevyo Wazanzibar wajitawale.
Mwl wako wa Civic form 2 alipata shida sana.Mbovu Kwa muktadha wa nani? Ndio maana nimesema nyie Machadema ndio mnaona ni mbovu,Je ccm wanaona ni mbovu?
Kazi ipoMwl wako wa Civic form 2 alipata shida sana.
Hivi wewe unaona ni sawa raia wa upande mmoja wa muungano kuwa na haki zote za kuchagua na kuchaguliwa huku raia wa upande wa pili wakinyimwa haki hizo !.
Ni sawa na ni haki mzanzibar kumiliki ardhi Tanganyika lakini ni haramu mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar!.
Ni sawa na ni haki Mzanzibar kutawala huku Tanganyika lakini ni haramu Mtanganyika kutawala Zanzibar !.
Ni sawa Mzanzibar kuongoza wizara ambazo si za Muungano lakini ni haramu kwa Mtanganyika.
Ni halali kuajiriwa huku Tanganyika katika taasisi ambazo si za muungano lakini ni haramu kwa Mtanganyika kuajitiwa mamlaka ya bandari huko Zanzibar?.
Huu ujinga wote bado unajaribu kuwaingiza CDM.
Wewe ndiye mpumbavu kabisa,sisi tunaongelea maslahi ya Tanganyika ndani ya huu muungano wa mchongo wewe unaongelea mambo ya CCM. Sisi tunataka muundo wa muungano urekebishwe kwa maslahi mapana ya Tanganyika na kama hilo lisipofanyika ndiyo tunaona bora uvunjike.Nyie Machadema ndio mnaongea hayo ila CCM kamwe wasingetaka Muungano uvunjike Kwa maslahi mapana ya Nchi ambayo wanayajua wao.
Je nyie Machadema mnaona hakuna haja ya Muungano?
Acha ujinga
so what! Mbona watanganyika waliongoza nchi hii kwa muda wa miaka 57, sasa mzanzibari ndiyo imekuwa kesi.Mataifa mawili yaliyoungana yanaongozwa na Raia wa Zanzibar.
Kero za muungano zinatatuliwa na Wazanzibar wawili.Huu ni upuuzi wa kiwango cha kutisha.
hivi wewe umekosa haki gani ya kuchagua na kuchaguliwa hapo ulipo, au ulitaka uchague diwani wa zanzibar wakati wewe unaishi tanganyika?Hivi wewe unaona ni sawa raia wa upande mmoja wa muungano kuwa na haki zote za kuchagua na kuchaguliwa huku raia wa upande wa pili wakinyimwa haki hizo !.
Hapo patamu Rais wa Zanzibar ni Mzanzibar,Rais wa Tanganyika ni Mzanzibar !.Zanzibar na Tanganyika ni nchi mbili tofauti kila moja ina Rais wake, jeshi lake, bendera yake, wimbo wa Taifa lake, benki kuu yake , passport yake, je bado tu hamuelewi?
Haki ya kuchagua Rais wa Zanzibar au Mtanganyika kugombea uRais wa Zanzibar. Mzanzibar anaweza kugombea ubunge wa Temeke au Kinondoni bila vikwazo vya kisheria.hivi wewe umekosa haki gani ya kuchagua na kuchaguliwa hapo ulipo, au ulitaka uchague diwani wa zanzibar wakati wewe unaishi tanganyika?
Nyerere vipi, mmepelekea habari airudishe Tanganyika?Heshima sana wanajamvi,
Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar ambao uliasisiwa na watu wawili ambao sasa hawapo,tena bila ridhaa ya wananchi wa pande zote mbili sasa unapitia katika msuko suko mkubwa.
Ni wazi Mwl Nyerere na Sheikh Abeid Aman Karume waliziunganisha zao Tanganyika na Zanzibar pasipo ridhaa za wananchi wa pande zote mbili.
Muungano wao (Nyerere & Karume) kwa hakika umejaa kasoro nyingi mno,kuubadili au kuufanyia marekebisho kutahitaji kuzifumua katiba za nchi zote mbili jambo ambalo kwa sasa ni vigumu sana.
Zanzibar wana serekali yao,wana bunge lao,wana wimbo wao wa taifa lao,wana bendera yao,wana uraia wao (Uzanzibari),wana mkuu wao wa nchi, wana ardhi yao (nchi) wana kila kitu chao.
Tanganyika hawana wimbo wa taifa,hawana mkuu wao wa nchi,hawana ardhi yao,hawana bendera yao, kifupi Tanganyika hawana chochote.
Kuna Taifa la Tanzania (JMT) ambalo limepora kila kitu cha nchi ya Tanganyika.Bendera?,Wimbo wa taifa,Bunge........
Tanganyika haina mtetezi wa rasilimali zake eg misitu,ardhi,bandari....
Raia wa nchi ya Zanzibar anaiongoza Tanganyika kupitia mgongo wa Muungano anauza kila rasilimali ya Tanganyika bila huruma kwakuwa hazina mtetezi.
Watanganyika wameamka sasa lugha ya Mch Mtikila na sasa Mheshimiwa Lissu imeanza kueleweka hadi ndani ya CCM.Ugomvi mkubwa wa Kinana,Makamba na wanaCCM wengi ni Tanganyika kutawaliwa na Rais kutokea nchi ya Zanzibar ambaye amekuwa dalali mkubwa wa kuuza rasilimali za Tanganyika.
Wanaoitaka Tanganyika sasa ni Watanganyika wote bila kujali mipaka ya vyama.
Ngongo kwasasa Mjini Magharibi.
Ndiyo maana hatutaki huu muungano fake, uvunjwe harakaHapo patamu Rais wa Zanzibar ni Mzanzibar,Rais wa Tanganyika ni Mzanzibar !.
Nchi mbili zote zinaongozwa na Raia kutoka nchi moja ya Zanzibar.Tanganyika hakuna watu wa kuongoza Tanganyika.
Hapa tatizo ni katiba mbovu ambayo imeizika Tanganyika.