Zawadini
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 2,369
- 1,775
Huenda unasema kweli!! Ndio maana wao wana serikali yao, Watanganyika hawana; ndo maana wana bunge lao,Watanganyika hawana; ndo maana wana Rais wao, Watanganyika hawana. Ee Mungu wape moyo hawa Wazanzibari - wapumbavu - waendelee na huu upumbavu wao.
Sisi Waswahili huwa tunasema 'akili nyingi huondoa maarifa'. Sisi tunachanja mbuga, nyinyi endeleeni kuchenjebua watu.
Sisi Waswahili huwa tunasema 'akili nyingi huondoa maarifa'. Sisi tunachanja mbuga, nyinyi endeleeni kuchenjebua watu.