kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,742
Basi watoto ni vilaza hapo mali zitapotea wangekuwa na akili wangejiajiri hapo na kuajiri vizazi vyao wakiuza basi wamekwishaBaba Yao mmoja mama Rwakatare hakuchakachua ila alizaa mitoto mjinga inayofanana kiakili na ujinga wa upande wa Baba Yao sio upande wake
Naona kila mtoto na baba yake, hapo shida sana
Point of correction unatakiwa uwafunishe watoto jinsi ya kuendeleza..Tukiwa tunatafuta utajiri inabidi tufundishe na Watoto jinsi ya kuutafuta.
Wote wanarudi kwenye umasikiniBasi watoto ni vilaza hapo mali zitapotea wangekuwa na akili wangejiajiri hapo na kuajiri vizazi vyao wakiuza basi wamekwisha
Wote baba mmoja huoni wanaishia na jina Rwakatare, hilo ni jina la mume wake Marehemu Mzee Rwakatare wala sio jina la mama. Alipata umaarufu kama mama Rwakatare, ni jina la aliyekuwa mmeweNaona kila mtoto na baba yake, hapo shida sana
Sijui Mimi nikoje!
Katika kuhangaika kwangu kote, sikutaka wala sitaki kutegemea kitu cha mtu yeyote! Eti sijui Mali ya baba, mama, sijui nini... Niko mbali kabisa!
Hata ukinidhulumu, ni kweli nitaumia sana, lakini at the end of the day, napotezea kabisa!
Sijui ooh! tukaye tuyazungumze, sitaki kabisa, nakuwa nimeishaondoa hiyo kitu maishani mwangu! Sitaki kabisa!
Faidika wewe Mimi nikose!
Huwa na imani Kali kwamba Yupo yule anayetupa riziki, anaona uonevu, na Yeye mwenyewe atatenda!
Huwa natafakari sana, kisha natokwa machozi!
Huwezi endeleza kitu ambacho huwezi kitafuta kikipotea?Point of correction unatakiwa uwafunishe watoto jinsi ya kuendeleza..
Kuna wajanja watapata mwanya kuingilia happ wapige pesa jumlisha na madeni ya izo mali watapotea ugomvi wa ndugu haswa kwenye mali ni laana sanaWote wanarudi kwenye umasikini
Waarabu wanawezaje? Sijawai sikia mgogoro wa waarab
N’a wasomali na wahindi wanawezaje
Nasikia Watoto wa mengi wameshauza na ile brand ya maji ya Kilimanjaro, bakhresa ndiyo kanunua. Sijawahi kuona Mu Africa mwenye akili Kwenye mirath na hasa muhusika akifa.
Wale kina msuya na familia yake Wote wanamalizana huko
Hiki kizazi cha Mtu mweusi, kina laaana bhana , tusidanganyane
Halafu ni udiwani wa Kawe. Kiwanja 800MUdiwani una faida kubwa sana. Maana mkurugenzi wa manispaa uliyopo anakuwa rafiki yako. Uwekezaji wako unakuwa hausumbuliwi sumbuliwi na watu wa serikalini. Na pia kwenye ma viwanja yakigaiwa wewe unapewa tu kwa urahisi
Mm naombea wasielewane ili mali zote zipotee waje huku mtaani waone moto wake.Mali isipopatikana kwa njia halali, hurudi ilikotoka kwa njia msizojua.
Wengi ya "Waarab" ni Waislam na mirathi Kiislaam imeainishwa mpaka namna ya kugawana ndani ya Qur'an, kitabu kisicho shaka ndani yake.Waarabu wanawezaje? Sijawai sikia mgogoro wa waarab