Vita ya kuwania Ukatibu Mkuu wa CCM imepamba moto

Dr. ASHA ROSE MIGIRO atatufaa sana. Sababu nitazitoa. Ila wamfikirie.
 
Katika siasa anguko la mmoja ni faraja kwa wengine.Hii imedhihirika ndani ya CCM ambako baada ya anguko la Daniel Chongolo baadhi ya makada wenzake wanahaha kutaka kuwa mrithi wake.

Uzi utaendelea
Mbona umemsahau mzee Kabudi na
Bashite anautamani sana

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Katika siasa anguko la mmoja ni faraja kwa wengine.Hii imedhihirika ndani ya CCM ambako baada ya anguko la Daniel Chongolo baadhi ya makada wenzake wanahaha kutaka kuwa mrithi wake.

Uzi utaendelea
Komredi William Lukuvi bado ana nafasi kubwa. Ni zao la CCM Chipukizi, Vijana hadi sasa yupo Taifani. Na ukongwe wake, ataifaa sana CCM kwa sasa hasa kuelekea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025.
 
Katika siasa anguko la mmoja ni faraja kwa wengine.Hii imedhihirika ndani ya CCM ambako baada ya anguko la Daniel Chongolo baadhi ya makada wenzake wanahaha kutaka kuwa mrithi wake.

Uzi utaendelea
Ramli ni haramu!
 
Wafuatao wanahangaika kwelikweli

1. Abdalllah Bulembo
Huyu aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi taifa 2012 to 2017 siyo kwasababu ya uwezo wake ila kwa kubebwa na kambi ya Lowassa.

Kwa harakaharaka huyu jamaa hana hata cheti cha form 4.
Ni mpenda rushwa sana kwani alipokuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi aliuza shule za wazazi na shule nyingi za wazazi zilishindwa kujiendesha yeye akiwa Mwenyekiti.

Huyu ni miongoni mwa wana siasa ihena ihena ndani ya CCM.

Alikuwa meneja wa kampeni wa JPM 2015 na JPM alipoingia ikulu alianza kutumia nafasi hiyo kuchota pesa kwa wahindi akidai yeye ndio connecta mkuu hivyo mtu yeyote anayetaka kwenda Ikulu ni lazima apitie kwake.Kwa bahati mbaya Hayati JPM alipata taarifa zake na hakuwahi kumsogelea mpaka alipopatwa na umauti.

Sijui anamshauri nini mkuu wa nchi.

2 Anamringi Macha
Huyu ndiye Naibu katibu Mkuu Bara kwasasa na ndiye anayekaimu nafasi ya Katibu mkuu unfil further notice.

Huyu ni miongoni mwa seniors ndani ya CCM aliyepata kuwa katibu msaidizi mkuu wa idara ya itikadi na uenezi na katibu wa secretariat ya Halmashaurikuu ya CCM.

Ni kiongozi asiye na mvuto katika siasa
Hana uwezo mkubwa katika kudeliver speeches na kwakweli yeye na jukwaa ni paka na panya.

Huyu uongozi wake unatawaliwa na ukabila kama ilivyo kwa swahiba wake ndugu Daniel Chongolo kwani yeye kama Naibu katibu mkuu Bara ndio anasimania masuala ya utumishi.

Tokea yeye na swahiba wake huyo walipoteuliwa CCM imeangukia kwenye ukabila.

Kwanza makatibu wa CCM wa ngazi za wilaya na mikoa pamoja na watendaji wa jumuiya wengi wanatoka Iringa na Njombe kama maelekezo ya Chongolo na yeye kwakuwa anatokea Kilimanjaro hivi sasa ukiingia kwenye ofisi za CCM unaweza kudhani uko Boma Ng'ombe.

Hatahivyo si vyema kiongozi wa namna hii akapewa dhamana ya kuwa mtendaji mkuu wa Chama kikubwa kama CCM.

3 William Lukuvi
Huyu mzee anataka kila kitu

Akisikia Mpango anaumwa anaanza fitna za kupata umakamu kama lolote litatokea

Akisikia Kinana amechoka na anatamani kupumzika anaanza kuwania nafasi ya umakamu Tanzania Bara.

Hivi sasa anapambana kupata ukatibu mkuu.

Huyu alikuwemo kwenye ripoti ya Dr BashiruAlly Kakurwa ile ya wafujaji wa mali za chama.

Unaambiwa JPM aliposoma ripoti ile alisononeka sana kwani hata wale tunaoamini ni wasafi walitajwa kwenye ripoti mfano mzuri ni mzee Mangula na wengineo wengi.

Kwa maoni yangu huyu Lukuvi angebaki na nafasi yake ya sasa ya mshauri wa Rais kwani hana jipya.

CCM inamhitaji katibu mkuu kijana mwenye elimu ya kutosha,Muumini wa falsafa ya ujamaa na kujitegemea,Mwadilifu na Bingwa wa mikakati fulani hv.

Uzi utaendelea
Ujamaa ushafeli
 
Hapo itafaa zaidi wakimpatia makonda
Halafu Itikadi na uenezi wampatie yule kijana wa Arusha Lengai ole Sabaya.
 
Back
Top Bottom