Vita ya kuwania Ukatibu Mkuu wa CCM imepamba moto

Apewe Hapi

❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌🚫🚫🚫🚫🚫🚫❌❌❌❌❌❌❌❌❌🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚷🚷🚷🚷🚷🚷🚷🚷🚷✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️🎈🎈🎈🎈🎈🎈⛏️⛏️⛏️⛏️⛏️⛏️⛏️⛏️⛏️⛏️⛏️⛏️⛏️🔨🔨🔨🔨🔨

00%, Failed..!!
 
Hapo itafaa zaidi wakimpatia makonda
Halafu Itikadi na uenezi wampatie yule kijana wa Arusha Lengai ole Sabaya.
❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️✂️🔨🔨🔨🔨🔨🎈🎈🎈🎈🎈🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫🚫

00% Failed
 
Bado hawajaanza kulogana ?
Sasa hivi kwenye vikao vyao hawanywi maji hata zile bites na pipi wanazowekewa haziguswi na mtu.
Lkn pia humu barabarani nadhani wengi watumie usafiri wa uma kwa long distance. Risky Sana kutumia harrier Dar to Mza au Mby.
 
Dr. Bashiru Ally Kakurwa…!! Case closed
CCM Ina wenyewe, bashiru hayupo kwenye hiyo list. Kwanza kabisa kumbuka alimuiya Kinana kujieleza, alimuita Makamba kujieleza, Sasa hapo si alimbakiza mstaafu tu kwenda kujieleza?
 
Katika siasa anguko la mmoja ni faraja kwa wengine.Hii imedhihirika ndani ya CCM ambako baada ya anguko la Daniel Chongolo baadhi ya makada wenzake wanahaha kutaka kuwa mrithi wake.

Wafuatao wanahangaika kwelikweli

1. Abdalllah Bulembo
Huyu aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi taifa 2012 to 2017 siyo kwasababu ya uwezo wake ila kwa kubebwa na kambi ya Lowassa.

Kwa harakaharaka huyu jamaa hana hata cheti cha form 4.
Ni mpenda rushwa sana kwani alipokuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi aliuza shule za wazazi na shule nyingi za wazazi zilishindwa kujiendesha yeye akiwa Mwenyekiti.

Huyu ni miongoni mwa wana siasa ihena ihena ndani ya CCM.

Alikuwa meneja wa kampeni wa JPM 2015 na JPM alipoingia ikulu alianza kutumia nafasi hiyo kuchota pesa kwa wahindi akidai yeye ndio connecta mkuu hivyo mtu yeyote anayetaka kwenda Ikulu ni lazima apitie kwake.Kwa bahati mbaya Hayati JPM alipata taarifa zake na hakuwahi kumsogelea mpaka alipopatwa na umauti.

Sijui anamshauri nini mkuu wa nchi.

2 Anamringi Macha
Huyu ndiye Naibu katibu Mkuu Bara kwasasa na ndiye anayekaimu nafasi ya Katibu mkuu unfil further notice.

Huyu ni miongoni mwa seniors ndani ya CCM aliyepata kuwa katibu msaidizi mkuu wa idara ya itikadi na uenezi na katibu wa secretariat ya Halmashaurikuu ya CCM.

Ni kiongozi asiye na mvuto katika siasa
Hana uwezo mkubwa katika kudeliver speeches na kwakweli yeye na jukwaa ni paka na panya.

Huyu uongozi wake unatawaliwa na ukabila kama ilivyo kwa swahiba wake ndugu Daniel Chongolo kwani yeye kama Naibu katibu mkuu Bara ndio anasimania masuala ya utumishi.

Tokea yeye na swahiba wake huyo walipoteuliwa CCM imeangukia kwenye ukabila.

Kwanza makatibu wa CCM wa ngazi za wilaya na mikoa pamoja na watendaji wa jumuiya wengi wanatoka Iringa na Njombe kama maelekezo ya Chongolo na yeye kwakuwa anatokea Kilimanjaro hivi sasa ukiingia kwenye ofisi za CCM unaweza kudhani uko Boma Ng'ombe.

Hatahivyo si vyema kiongozi wa namna hii akapewa dhamana ya kuwa mtendaji mkuu wa Chama kikubwa kama CCM.

3 William Lukuvi
Huyu mzee anataka kila kitu

Akisikia Mpango anaumwa anaanza fitna za kupata umakamu kama lolote litatokea

Akisikia Kinana amechoka na anatamani kupumzika anaanza kuwania nafasi ya umakamu Tanzania Bara.

Hivi sasa anapambana kupata ukatibu mkuu.

Huyu alikuwemo kwenye ripoti ya Dr BashiruAlly Kakurwa ile ya wafujaji wa mali za chama.

Unaambiwa JPM aliposoma ripoti ile alisononeka sana kwani hata wale tunaoamini ni wasafi walitajwa kwenye ripoti mfano mzuri ni mzee Mangula na wengineo wengi.

Kwa maoni yangu huyu Lukuvi angebaki na nafasi yake ya sasa ya mshauri wa Rais kwani hana jipya.

CCM inamhitaji katibu mkuu kijana mwenye elimu ya kutosha,Muumini wa falsafa ya ujamaa na kujitegemea,Mwadilifu na Bingwa wa mikakati fulani hv.

Uzi utaendelea
Apewe Pole2
 
Marekani watawakatia misaada. Nchi ombaomba haiwezi kuwa huru.
unadhani msaada ndio key point

Americans don’t care about your democracy, they care about natural resources and the position kwenye dunia
 
Ally Hapi ? Huyu anayetuhumiwa kumkaza shoga anayeitwa Dayson Monson, mwanaume wa kichaga aliyebadili jinsia na kuweka uke bandia.

Ukifi...ra shoga na wewe ni shoga
Wakati wanatiana wewe ulikua wapi ukiwashuhudia?
 
Wahuni vs Kiroboto

Acha Tuone Mpambano Wao Atakufa Mtu
 
Zee la Cuba litanasa na beat ingawa taste ya Mwenezi imewashtua kidogo wadau kuhusu kanda fulani , nafasi inahitaji mtu mwenye kwenda na upepo wa mtawala .
Chimbo la Cuba litakuwa Sahihi mno.
 
Hapo kwenye ukabila hapo ndoa shida inapoanzia inabidi tutafute watu wenye hawana ukabila , , tutawapate ?
 
Katika siasa anguko la mmoja ni faraja kwa wengine.Hii imedhihirika ndani ya CCM ambako baada ya anguko la Daniel Chongolo baadhi ya makada wenzake wanahaha kutaka kuwa mrithi wake.

Wafuatao wanahangaika kwelikweli

1. Abdalllah Bulembo
Huyu aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi taifa 2012 to 2017 siyo kwasababu ya uwezo wake ila kwa kubebwa na kambi ya Lowassa.

Kwa harakaharaka huyu jamaa hana hata cheti cha form 4.
Ni mpenda rushwa sana kwani alipokuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi aliuza shule za wazazi na shule nyingi za wazazi zilishindwa kujiendesha yeye akiwa Mwenyekiti.

Huyu ni miongoni mwa wana siasa ihena ihena ndani ya CCM.

Alikuwa meneja wa kampeni wa JPM 2015 na JPM alipoingia ikulu alianza kutumia nafasi hiyo kuchota pesa kwa wahindi akidai yeye ndio connecta mkuu hivyo mtu yeyote anayetaka kwenda Ikulu ni lazima apitie kwake.Kwa bahati mbaya Hayati JPM alipata taarifa zake na hakuwahi kumsogelea mpaka alipopatwa na umauti.

Sijui anamshauri nini mkuu wa nchi.

2 Anamringi Macha
Huyu ndiye Naibu katibu Mkuu Bara kwasasa na ndiye anayekaimu nafasi ya Katibu mkuu unfil further notice.

Huyu ni miongoni mwa seniors ndani ya CCM aliyepata kuwa katibu msaidizi mkuu wa idara ya itikadi na uenezi na katibu wa secretariat ya Halmashaurikuu ya CCM.

Ni kiongozi asiye na mvuto katika siasa
Hana uwezo mkubwa katika kudeliver speeches na kwakweli yeye na jukwaa ni paka na panya.

Huyu uongozi wake unatawaliwa na ukabila kama ilivyo kwa swahiba wake ndugu Daniel Chongolo kwani yeye kama Naibu katibu mkuu Bara ndio anasimania masuala ya utumishi.

Tokea yeye na swahiba wake huyo walipoteuliwa CCM imeangukia kwenye ukabila.

Kwanza makatibu wa CCM wa ngazi za wilaya na mikoa pamoja na watendaji wa jumuiya wengi wanatoka Iringa na Njombe kama maelekezo ya Chongolo na yeye kwakuwa anatokea Kilimanjaro hivi sasa ukiingia kwenye ofisi za CCM unaweza kudhani uko Boma Ng'ombe.

Hatahivyo si vyema kiongozi wa namna hii akapewa dhamana ya kuwa mtendaji mkuu wa Chama kikubwa kama CCM.

3 William Lukuvi
Huyu mzee anataka kila kitu

Akisikia Mpango anaumwa anaanza fitna za kupata umakamu kama lolote litatokea

Akisikia Kinana amechoka na anatamani kupumzika anaanza kuwania nafasi ya umakamu Tanzania Bara.

Hivi sasa anapambana kupata ukatibu mkuu.

Huyu alikuwemo kwenye ripoti ya Dr BashiruAlly Kakurwa ile ya wafujaji wa mali za chama.

Unaambiwa JPM aliposoma ripoti ile alisononeka sana kwani hata wale tunaoamini ni wasafi walitajwa kwenye ripoti mfano mzuri ni mzee Mangula na wengineo wengi.

Kwa maoni yangu huyu Lukuvi angebaki na nafasi yake ya sasa ya mshauri wa Rais kwani hana jipya.

CCM inamhitaji katibu mkuu kijana mwenye elimu ya kutosha,Muumini wa falsafa ya ujamaa na kujitegemea,Mwadilifu na Bingwa wa mikakati fulani hv.

Uzi utaendelea
Ungemtaja , ili nasi tumchambue
 
Back
Top Bottom