Vita ya kuwania Ukatibu Mkuu wa CCM imepamba moto

Dr. ASHA ROSE MIGIRO atatufaa sana. Sababu nitazitoa. Ila wamfikirie.
 
Katika siasa anguko la mmoja ni faraja kwa wengine.Hii imedhihirika ndani ya CCM ambako baada ya anguko la Daniel Chongolo baadhi ya makada wenzake wanahaha kutaka kuwa mrithi wake.

Uzi utaendelea
Mbona umemsahau mzee Kabudi na
Bashite anautamani sana

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Katika siasa anguko la mmoja ni faraja kwa wengine.Hii imedhihirika ndani ya CCM ambako baada ya anguko la Daniel Chongolo baadhi ya makada wenzake wanahaha kutaka kuwa mrithi wake.

Uzi utaendelea
Komredi William Lukuvi bado ana nafasi kubwa. Ni zao la CCM Chipukizi, Vijana hadi sasa yupo Taifani. Na ukongwe wake, ataifaa sana CCM kwa sasa hasa kuelekea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025.
 
akae Makonda pale, halafu uenezi wampe yule dogo kihongosi 2025 ccm itashinda kwa 99.7

Mbona wote walikuwepo 2020 na bado ikabidi watumie goli la mkono. CCM hamna kitu.
 
Ally Hapi ? Huyu anayetuhumiwa kumkaza shoga anayeitwa Dayson Monson, mwanaume wa kichaga aliyebadili jinsia na kuweka uke bandia.

Ukifi...ra shoga na wewe ni shoga
Astakhafirulahi!
 
Katika siasa anguko la mmoja ni faraja kwa wengine.Hii imedhihirika ndani ya CCM ambako baada ya anguko la Daniel Chongolo baadhi ya makada wenzake wanahaha kutaka kuwa mrithi wake.

Uzi utaendelea
Ramli ni haramu!
 
Ujamaa ushafeli
 
Hapo itafaa zaidi wakimpatia makonda
Halafu Itikadi na uenezi wampatie yule kijana wa Arusha Lengai ole Sabaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…