Vita ya marafiki ni kali sana kwenye mafanikio kuliko mtu baki

Tena ushamba wa kikuda kweli, umwamba wa kushindana na mtu mtandaoni hata humjui
Mpotezeeni Msukuma yule uzi hata hauhusu kushindana yeye anakurupuka kuja kushindana kuonesha watu vitu alivyonavyo ni mambo ya kizamani na ya kitoto.
Mtu matured na anayejielewa hawezi kufanya utopolo kama ule
 
I learnt this in a very hard way.. siku hizi sina hela ni neno lipo mwanzo wa ulimi..

Yaani SINA HELA .. SINA HELA .. SINA HELA
nimemaliza.
Huchagui hubagui...sio ungeangalia na shida ya mtu we dada
 
Noma sana yan, nna uhakika hii ni dar aisee, dar ni noma sana mkuu watu wengi wanapata hela ila hazijai vijana wapo moto sana, how comes 1.3B mtu anaisambaratisha within a year, hatari sana
Mkuu huyu jamaa kilichomponza aliacha kazi...then akaingia mtaani akaanza pewa deal feki...ya kwanza ya choroko alipigwa 300 straight...hapo ndio movie inaanza
 
Utoboe utoboe uende wapi? This is your destiny hakuna mahali unaenda ni hapahapa kwenye umasikini ndo utabaki na sisi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hauwezi kukubali afanikiwe pekee yake halafu wewe anakuachaje na umasikini pekee yako. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli mkuu nimetafuta alternative na baada ya hapo nataka ifike mahali niwe na asset flani hata chain au bracelet zile ni rahisi kuweka bond fasta...ukajikomboa halafu mkuu kuomba mtu akakunyima unadhalilika flani hv...
Kuna wale hakusaidii chochote mwisho wa maongezi ila mwanzoni alikuhoji kama dokta anamhoji mgonjwa wa kisukari na ukafunguka ukijua msaada umepata.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Basi baba msamehe, unatuvua ngua hadi sisi waungwana hapa msamehe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mbona processing fee ya mchongo wako ni kubwa hivyo 2.5M? You just be careful
Ngoja nitoe ufafanuzi....biashara nimefanya na kampuni x wakati nafanya najua kabisa wataomba document y...nikapuuza maana ilikuaga rahisi kuipata...sasa nikadai malipo kampuni x..wakaniambia tunaomba document y....

Hapo ikabidi nitafute kampuni z ndio hua inatoa document y
Pale ili kuipata kwa mchongo ndio wakaomba 3m tukashushana hadi 2.5..nikatoa 1.5 na nafkiri these 2 days nawamalizia 1m yao na j3 nitapata document y niipeleke kampuni x...hizi kampuni mbili hazina mahusiano...
 
Okey nimekuelewa mkuu, all the best, ningekua vizuri ningekuazima fast ila hali mbaya
 
Mmmh
Usisahau kuleta mrejesho
 
Hii story imebidi nisome comments zote, inahusu maisha ya uhalisia.

Tunasubiri mrejesho...nataman kujua hiyo kazi umelipwa shs ngap!!! Maana 2.5 kupata docs sio haba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…