mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Mpotezeeni Msukuma yule uzi hata hauhusu kushindana yeye anakurupuka kuja kushindana kuonesha watu vitu alivyonavyo ni mambo ya kizamani na ya kitoto.Tena ushamba wa kikuda kweli, umwamba wa kushindana na mtu mtandaoni hata humjui
Mtu matured na anayejielewa hawezi kufanya utopolo kama ule