maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
- Thread starter
- #121
Safi naamini maisha bana ni ww mwenyewe...ukiamua unawezaNaamini...miaka miwili nyuma sikua na ndogo ya kumilik pesa ila Sasa hivi Nina machawa....hahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi naamini maisha bana ni ww mwenyewe...ukiamua unawezaNaamini...miaka miwili nyuma sikua na ndogo ya kumilik pesa ila Sasa hivi Nina machawa....hahah
Na mm ndio maana nilisema mkuu ingekua ishu nyingine mkuu wangenipa fasta....ila wamecheki wakaona huyu fala hii haifaiUkitegemea msaada wa watu wako wa karibu utakua disappointed sana,wana wako vizuri kwenye michango ya harusi na misiba tu. You are on your own kwenye kupanda ngazi, usisahau hilo .
Nikipata napenda wengine wafurahi..na hii tabia nilishaonywa sana..tabia ya kuzungusha bar nikaacha..marafiki nikapunguza tukikutana story nikabaki na hao sasa aiseeUnaonekana una roho nzuri sana.
Roho nzuri Sana na utajiri vina tabia ya kukwepana
Fanya Kwa kias
Unajua mkuu kila mtu ana tabia zake...sasa kuibadili mpaka itokee ishu kubwa sanaLimeshasahau, alafu anashau haraka masta. Me huwa nabadilisha namna nnavyodili na ishue zao ili twende sawa.
Umeover estimate mkuu...si kila mru ni tapeli bro..!Kuna mtu atalia hapa
Hahahaha....Nikipata napenda wengine wafurahi..na hii tabia nilishaonywa sana..tabia ya kuzungusha bar nikaacha..marafiki nikapunguza tukikutana story nikabaki na hao sasa aisee
....acha kabisa ila nitafata ushauri wako boss
Vp huitaji chawa mpya?
Siku ukija kuelewa kuwa kusaidiwa siyo haki yako ma sio jambo la lazima basi utaishi maisha ya amani sana. Na anaekunyima hawezi kupatwa na lolote lile kwa kufanya hivyo. Pambana kivyako.Kuna kazi nimefanya mahali...sasa kuna mpunga mrefu natakiwa nipewe...kikwazo ikaja kuna documents inatakiwa (CODE) Na hiyo code ni hela inatakiwa 2,500,000 nikapambana nikatoa 1.5 bado 1m nikakwama...!
Nikiri na umri huu nimejifunza kitu kipya ambacho nilikua nakiskia na kukiona kwa watu sa hv kimenitokea...
Nikawafata ma hommies wale wa ndani kabisa (Inner Circle) nikiwaomba wanisaidie hiyo 1m...
Hola wa kwanza akaniambia ni mtee kabisa.
Hola wa pili mtee wa sita akaniunganisha mahali nikope baadae mkopeshaji na alienipeleka hawashiki simu
Nikakaa nikawaza nimekosea wapi?
Kumbe nawachana live kwamba nadai so na so...aisee kumbe wanapanick uzuri deal nimekamilisha ila kulipwa bado na mzigo ushatumika....so lazma nilipwe...
Nimeweka pozi...
Nasubiria muda wowote nitamalizia hiyo 1m ila nimejifunza kitu..hawa hawa ndio mimi huwaokoa kwenye angle ngumu sana, mmmoja kodi, mmoja central mmoja harusi na hela yenyewe wanarudisha dusco dusco...ila this time wataniona kauzu kama sielewi hivi!
Usimtegemee Mtu Yoyote ukiwa na shida!
UPDATES: Siumizwi sana baadhi ya watu wachache hapa wakisema mm ni tapeli na nimeweka uzi ili nipate hiyo 1m hapana ...sijaomba mtu wala sitaki mtu anipe..nilijaribu tu kuexpress kilichonitokea ...
Nimejiunga JF rasmi may 2009..leo ni zaidi ya miaka 14 sijawahi kuwa na lalamiko wala Ban na nyuzi zangu sio za kuudhi ila naamini..kuna upeo flani wa ufikiri umepungua JF...Baseless Asumptions na nafkiri utoto..unafanya watu wengi wakae kimya..
Nyuzi nyingi za Mapenzi mnazolalamikaga huwa mara nyingi nawashauri humu ila kuna watu wengi wanawakaushia kwasababu ya majibu yenu...jitahidini kuwa waungwana!
Poa mkuu...!Siku ukija kuelewa kuwa kusaidiwa siyo haki yako ma sio jambo la lazima basi utaishi maisha ya amani sana. Na anaekunyima hawezi kupatwa na lolote lile kwa kufanya hivyo. Pambana kivyako.
Jamaa kakuambia ukweli. Katika makolokolo yote hayo hakuna mradi wowote ulioutaja unaokuingizia pesa bongo. Unazani ni kwa nini?Unataka niweke hadharani nikuoneshe Bank statements na financial status zangu humu za Swiss bank, Swiss Credit, HSBC na Deutsch bank? Ma offshore tax haven huko. Niziweke hadharani?
Nikuwekee humu hadharani mkataba nilioingia wa miaka 10 na price water coopers katika maswala ya kunishauri kulipa kodi na auditing? Niweke hapa stocks zangu lukuki Amazon, Microsoft na Tesla?
Sawa bosi...Anyway umechelewa kujua ni kwamba mtu pekee asie na wivu na ww ni mama yako tu .hata baba yako kuna level hataki ufike maana utakuwa na male dominion ambayo dunia nzima kisiri siri kila mwanaume hataki yeyote awe juu yake likija swala la mwanamke wake .baba yako pia ukipitiliza kufanikiwa ina maana hana jipya la kumpa mama yako angalia baba diamond mpaka mama ameropoka ukwel kwamba sio mwanae kibaolojia (na huu ni ukweli) sababu ni kuwa mwanamke akishakuwa huna la kumpa hapakaliki waulize mamariooUmeover estimate mkuu...si kila mru ni tapeli bro..!
Yaaah ni ngumu sana, malezi tofauti watu tumepitia. Sasa unakuta wengine hawajui namna ya kudeal na marafiki yan wale wa ndani kabisa, kama umegundua kitu ukiitoa shule ambayo labda ni asilimia 20 tu ya mafunzo ya maisha duniani 80% tunajifunza mtaani na hapa ndio kwenye mtego watu wengi hii inawashinda, elimu mtaani ni ngumu kuliko hata shule masta…Unajua mkuu kila mtu ana tabia zake...sasa kuibadili mpaka itokee ishu kubwa sana
Ni kweli ila jana kuna uzi nimeusoma kuna membere analalamika Mama yake na mdogo wake wanamuonea wivu maendeleo yake sana usearch huo uzi utauona...Sawa bosi...Anyway umechelewa kujua ni kwamba mtu pekee asie na wivu na ww ni mama yako tu .hata baba yako kuna level hataki ufike maana utakuwa na male dominion ambayo dunia nzima kisiri siri kila mwanaume hataki yeyote awe juu yake likija swala la mwanamke wake .baba yako pia ukipitiliza kufanikiwa ina maana hana jipya la kumpa mama yako angalia baba diamond mpaka mama ameropoka ukwel kwamba sio mwanae kibaolojia (na huu ni ukweli) sababu ni kuwa mwanamke akishakuwa huna la kumpa hapakaliki waulize mamarioo
Leo namaliza mchezo na nitawaletea mrejesho na mwishoni nitaweka atachment zote...usjaliTupe mrejesho mambo yamekwenda poa au bado mzigo haujatoka.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Pole mkuu wakati mwingine hatujui mpaka yatukute...ila jifunzie hapoFor Sure kuna marafiki hawapendi maendeleo ya rafiki zao,personal yamenikuta
Huku mtaani elimu yake ni ngumu sana..nitaleta thread ya jamaa yangu kaacha kazi ana 1.3b ni uhakika hilo na hana hata mwaka na miezi miwili trend yake utalia amemaliza viwanja karibia vyote na cash hana...Yaaah ni ngumu sana, malezi tofauti watu tumepitia. Sasa unakuta wengine hawajui namna ya kudeal na marafiki yan wale wa ndani kabisa, kama umegundua kitu ukiitoa shule ambayo labda ni asilimia 20 tu ya mafunzo ya maisha duniani 80% tunajifunza mtaani na hapa ndio kwenye mtego watu wengi hii inawashinda, elimu mtaani ni ngumu kuliko hata shule masta…
Huyu katapeliwa tayari, yaani ufanye kazi ila kabla ya malipo tena unatakiwa ulipie document?Usikute katika kujieleza kwako wenzako wameshtukia kua umetapeliwa