Vita ya marafiki ni kali sana kwenye mafanikio kuliko mtu baki

Vita ya marafiki ni kali sana kwenye mafanikio kuliko mtu baki

Sasa si ndio maana ameumia kwasababu yeye ameshaliwa sana, lakini yeye hajawala wenzie, ilipokuja muda wa yeye kuwala wenzie wakamtosa...
Wewe umenielewa sana, halafu kuna kitu sijakisema kabisa wakati nawafata nilikua naona viashiria flani hv kwamba wanaweza
 
Ni kweli hii nimejifunza halafu boss...msaada na deni ni sawa...au msaada na kukopeshana?
Ukitaka kuwa salama jaribu kusaidia tu kile unachoweza ili usiingie kwenye kudai watu! Hommie akija anataka kukukopa 20k , mpe 5k halafu mwambie sikudai!! Kama huna umamwambia ukweli wako kuwa huna .
 
Ni kweli kabisa mkuu, ukiwa unatafuta unapitia mengi sana kuna muda unaanguka, unaumia na hakuna wa kukujali. Wewe ndio msaada wako pekee usiposhtuka ukaendelea na mapambano hakuna atakaefanya hivyo kwa ajili yako.
unaanguka, unaumia na hakuna wa kukujali. Wewe ndio msaada wako pekee usiposhtuka ukaendelea na mapambano hakuna atakaefanya hivyo kwa ajili yako.

🤝🤝🤝 NAKAZIA
 
Ukitaka kuwa salama jaribu kusaidia tu kile unachoweza ili usiingie kwenye kudai watu! Hommie akija anataka kukukopa 20k , mpe 5k halafu mwambie sikudai!! Kama huna umamwambia ukweli wako kuwa huna .
Sawa mkuu haina noma
 
Kama unahakika pesa hio walikuwa au wanauwezo nayo, basi inabidi uadjust hio friendship hasa kipengele cha msaada na pesa kwa marafiki. Punguza huruma kwao, urafiki ni kufaana na sio ufae wewe tu.
Kuna mmoja ana shughuli karibuni hv...na mm ni mtu wa muhimu sana sitalipiza ila ataingia gharama kistyle sitamkomoa no ila nauli..pa kulala atahusika..nirudishe na mm fadhila kistyle
 
Ukitegemea msaada wa watu wako wa karibu utakua disappointed sana,wana wako vizuri kwenye michango ya harusi na misiba tu. You are on your own kwenye kupanda ngazi, usisahau hilo .
 
Katika huo mpunga mrefu ungewaambia wakupe kidogo upate hiyo code ili wakate kwenye mpunga wako.
Mkuu acha wamegoma kabisa..nikawapa option nyingine wakagoma shida ni kwamba mwaka jana waliingiza hela then hiyo document nikawasumbua nayo sana maana sikuona ishu mpunga si nilishapata
 
Back
Top Bottom