Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilinikutaga hii ,mtu akipata Hela yake,anakula kimya kimya ,ikiisha akijua umelipwa utadikia niazime laki hiviMkuu siku zote ukimsaidia mtu usitegemee chochote in return yesu aliponya watu wengi ila ni mmoja tu ndio aligeuka nyuma move on mkuu hata mimi asilimia kubwa ya watu niliowachangia kwenye harusi zao mimi hawakunichangia na mpaka leo nawasiliana nao ila nimejifunza kitu kutoka kwao.
Kweli mkuu na maisha yanata reciprocity ya hivyo lakin mkuu cha kujifunza sio kila mtu anajua hivyo, watu wengi ni wabinafsi na hata wao huwa hawajui kama wabinafsi, nna rafik siku nyingi aliwah kunipa laki sita kwa maagizo kwamba niirudishe after a week kabla haijafika week akaanza kuitaka hela na anasema mwanamke wake anaitaka aisee alinisumbua nikatafuta nkampa lakini nikikumbuka wakati anajitafuta namwacha kwangu kalala namwachia na pocket money nachoka, so nikaja kuamua kumchinja kwenye maswala ya hela na vitu vingine. Mkuu watu wengine ndio walivyoumbwa ndio mana me huwa nasema watu wengine hawanaga roho mbaya ila walimwengu ndio wanawafunza roho mbaya…Ni kweli mkuu...Mbona mm nawasave sana mkuu!...
Sijasema mwandiko kuhusu usahihi namaanisha style.Una maanisha uaminifu sio.. katika hao watatu wameshachukua kwangu na kurudisha kwa mbinde wawili nimechukua kwa o na kurudisha on time...na hao wawili pia walishachukua siku za nyuma pia mmoja ndio alikua mpya ila tunajuana vizuri sana..muandiko sio ishu sana..mm sio mzuri kwenye content writing..!
Msaada siyo haki yako,hivyo usipopewa usi lalamikeKuna kazi nimefanya mahali...sasa kuna mpunga mrefu natakiwa nipewe...kikwazo ikaja kuna documents inatakiwa (CODE) Na hiyo code ni hela inatakiwa 2,500,000 nikapambana nikatoa 1.5 bado 1m nikakwama...!
Nikiri na umri huu nimejifunza kitu kipya ambacho nilikua nakiskia na kukiona kwa watu sa hv kimenitokea...
Nikawafata ma hommies wale wa ndani kabisa (Inner Circle) nikiwaomba wanisaidie hiyo 1m...
Hola...wa kwanza akaniambia ni mtee kabisa...!
Hola... wa pili mtee
.
.
.
.wa sita akaniunganisha mahali nikope....baadae mkopeshaji na alienipeleka hawashiki simu
Nikakaa nikawaza nimekosea wapi?
Kumbe nawachana live kwamba nadai so na so...aisee kumbe wanapanick...uzuri deal nimekamilisha ila kulipwa bado na mzigo ushatumika....so lazma nilipwe...
Nimeweka pozi...
Nasubiria mda wowote nitamalizia hiyo 1m ila nimejifunza kitu..hawa hawa ndio mm huwaokoa kwenye angle ngumu sana..mmmoja kodi..mmoja central mmoja harusi...na hela yenyewe wanarudisha dusco dusco...ila this tyme wataniona kauzu kama sielewi hv..!
Usimtegemee Mtu Yoyote...Yoyote ukiwa na shida!
!
Rahisi Sana kuandika hivi ukiwa uko kwenye amani au mda ambao changamoto ya kuhitaji msaada wa watu ijakufiksPia chukua hii, usipende kutegemea msaada wowote ule kutoka kwa mtu yeyote yule. Pokea msaada unaokuja wenyewe bila wewe kuutafuta. Ukiishi hivyo hakuna kenge itakusumbua hapa mjini.
Kabisa mkuu ila ww ukiwa na uwezo wa kumsaidia usisite na nafsi yako ikaridhia piaKweli mkuu matatizo yetu tuyasolve wenyewe...hata wale tunaowasaidia...nao wajisaidie naamini unamaanisha hivyo?
Nadhani ni busara kumwambia pia kuwa akisaidia mtu asitegemee kurudishiwa wema!! Hii itamisaidia kujua kuwa kwemue mapambano ya utafutaji yupo alone na kama misaada si ya kutegemea hata kama uliowasaidia wanakuona ukitaabika.Pia chukua hii, usipende kutegemea msaada wowote ule kutoka kwa mtu yeyote yule. Pokea msaada unaokuja wenyewe bila wewe kuutafuta. Ukiishi hivyo hakuna kenge itakusumbua hapa mjini.
Afadhali umewagundua mapema hao wanafiki.Kuna kazi nimefanya mahali...sasa kuna mpunga mrefu natakiwa nipewe...kikwazo ikaja kuna documents inatakiwa (CODE) Na hiyo code ni hela inatakiwa 2,500,000 nikapambana nikatoa 1.5 bado 1m nikakwama...!
Nikiri na umri huu nimejifunza kitu kipya ambacho nilikua nakiskia na kukiona kwa watu sa hv kimenitokea...
Nikawafata ma hommies wale wa ndani kabisa (Inner Circle) nikiwaomba wanisaidie hiyo 1m...
Hola...wa kwanza akaniambia ni mtee kabisa...!
Hola... wa pili mtee
.
.
.
.wa sita akaniunganisha mahali nikope....baadae mkopeshaji na alienipeleka hawashiki simu
Nikakaa nikawaza nimekosea wapi?
Kumbe nawachana live kwamba nadai so na so...aisee kumbe wanapanick...uzuri deal nimekamilisha ila kulipwa bado na mzigo ushatumika....so lazma nilipwe...
Nimeweka pozi...
Nasubiria mda wowote nitamalizia hiyo 1m ila nimejifunza kitu..hawa hawa ndio mm huwaokoa kwenye angle ngumu sana..mmmoja kodi..mmoja central mmoja harusi...na hela yenyewe wanarudisha dusco dusco...ila this tyme wataniona kauzu kama sielewi hv..!
Usimtegemee Mtu Yoyote...Yoyote ukiwa na shida!
!
Mbeba boksi wa Copenhagen unaleta mbwembwe kwa WALA VUMBIUnataka niweke hadharani nikuoneshe Bank statements na financial status zangu humu za Swiss bank, Swiss Credit, HSBC na Deutsch bank? Ma offshore tax haven huko. Niziweke hadharani?? Nikuwekee humu hadharani mkataba nilioingia wa miaka 10 na price water coopers katika maswala ya kunishauri kulipa kodi na auditing? Niweke hapa stocks zangu lukuki Amazon, Microsoft na Tesla?
Ok mkuu sa hv vp wakikuomba msaada wa fedha au shida inakuaje..umesamehe ukamove on au umekausha tu!Mkuu siku zote ukimsaidia mtu usitegemee chochote in return yesu aliponya watu wengi ila ni mmoja tu ndio aligeuka nyuma move on mkuu hata mimi asilimia kubwa ya watu niliowachangia kwenye harusi zao mimi hawakunichangia na mpaka leo nawasiliana nao ila nimejifunza kitu kutoka kwao.
Poa mkuu nakomaa sana...nafkiri kesho nitafanikisha....Pambana kaka kwenye maisha unafiki mwingi sana
Kuna comment jamaa kaniita fala ila kanichana ukweli...Ilinikutaga hii ,mtu akipata Hela yake,anakula kimya kimya ,ikiisha akijua umelipwa utadikia niazime laki hivi
Nimeiweka hii mkuu nashkuru sana..hiyo code ni simple tu ukijiongeza utaijua tu...!Umefanya kazi, mshahara wako mpaka utafute hela ndiyo uupate. Hii kweli code.
Mkuu fight kimpango wako, habari za kutegemea watu utashangaa umri unakimbia bila kufanya la maana. Kutegemea watu ni sawa na kusubiri ufanikiwe kwa miujiza.
Hakukumbuka fadhila kwa ajili ya dem...halafu...kweli watu wanakufundisha kuwa na roho mbaya...wakati we hunaKweli mkuu na maisha yanata reciprocity ya hivyo lakin mkuu cha kujifunza sio kila mtu anajua hivyo, watu wengi ni wabinafsi na hata wao huwa hawajui kama wabinafsi, nna rafik siku nyingi aliwah kunipa laki sita kwa maagizo kwamba niirudishe after a week kabla haijafika week akaanza kuitaka hela na anasema mwanamke wake anaitaka aisee alinisumbua nikatafuta nkampa lakini nikikumbuka wakati anajitafuta namwacha kwangu kalala namwachia na pocket money nachoka, so nikaja kuamua kumchinja kwenye maswala ya hela na vitu vingine. Mkuu watu wengine ndio walivyoumbwa ndio mana me huwa nasema watu wengine hawanaga roho mbaya ila walimwengu ndio wanawafunza roho mbaya…
Sure self centered..My inner circle is me myself and I
Nimekupata mkuu....Risk sasa itakua applied in both ways.Sijasema mwandiko kuhusu usahihi namaanisha style.
Hao unaofahamu ulitakiwa utarajie matokeo uliyopata kutokana na wao kusumbua kurejesha hela yako.
Mtu anayesumbua kurejesha hela, huwa hakusaidii endapo utataka. Na mara nyingi atakusema vibaya au kuleta kinyongo ukitumia nguvu kiasi kupata hela yako. Ni sawa na wateja njaa kali, huomba discount kubwa na hununua vitu cheap, hulalamika zaidi na huwa hawarudi.
Kuna classmate wangu anasona MD yeye ni rafiki kwenye kula bata, kukulazimisha mtoke out ukatumie 150k yake ni kawaida kwake ila kukusaidia 100k kwenye mambo yako umrejeshee baadae ni vigumu. Huyu anakupa 150k yake utumie akitarajia baadae atakwama umpe 150k atumie kula bata.
Nina mzee ndugu yetu kwenye ukoo ni billionaire, kwenye list ya watu wa kuaminika kwake nipo ila hawezi nikopesha hata 1M ila ukimpa proposal ambayo atapata share anakupa hela. Anataka ombi liwe na details zinazogusa hivi "nipe 20M kuna deal 1,2,3 tutapata ROI in 4 months na baadae tutaanza gawana faida utapata 50%".
Leoleo kuna mtu nimepewa deal ila sijui napataje kulifanikisha nikampigia jamaa yangu mmoja huwa ananisaidia akanipa details nikamaliza na kupata faida sio mbaya, nikamtoa ya soda. Juzi niliingiza hela kiasi na kuna jamaa nilimuelekeza kazi siku za nyuma Jmosi akapata hela akataka kunitumia kidogo kama shukrani nikakataa, najua nitamtumia nikiwa na shida aniboost.
Kufupisha story nasemaje: Kila mtu ana code ya kutoa hela yake, haitoshi tu kusema ni mtoaji. Na vilevile kila mtu ana tamaa na hela yake, kitendo cha kukupa hela ni risk hivyo kuna watu hawataki kuingia risk isiyo na return. Kikwete anasema kihuni kwamba ukila sharti na wewe ukubali kuliwa.
Hii ni kweli...kila mtu ana maamuzi na hela yake...so nisionekane mbaya na mm nikianza ukax...!Msaada siyo haki yako,hivyo usipopewa usi lalamike