Mwandiko wako haunishawishi sana kama unastahili. Mimi nina wana wakipiga simu kukopa hela siulizi unarudisha lini wala unafanyia nini, najua ziko mikono salama.
Wapo wengine ambao bila kujiridhisha anaenda kufanya nini, utakuta anaenda kut0mb£a mkopo na hajui hela atarejeshaje. Hivyo ni lazima niwaulize kwa kina wanaenda kufanya nini, na evidence nione.
It's very likely ungeniomba hiyo hela (assume ni kiwango kidogo chini ya hapo) kwa maelezo hayohayo nisingekupa. Juzi Jumamosi nilichukua hela ofisi ya rafiki yangu niirudishe jioni, mvua ikanyesha nikaenda hivyohivyo usiku kabla msaidizi wake hajafunga, kumbe ile hela alibidi aongezee kesho yake aitume nje kuongeza mzigo. Na mimi kesho yake Jumapili (jana) nilitoka usiku kupiga kazi moja niliyomaliza usiku hata match ya Chelsea vs Man City sijaona. Sasa imagine nisingepeleka ile hela Jmosi.