Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
42Una miaka mingapi boss...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
42Una miaka mingapi boss...!
Ni haki yako kwa kizazi chako mkuu..ww ni legend.
Inahitaji akili kubwa kuutambua[emoji23][emoji23] utapeli mpya mjini
Kwa ninavyojua matajiri si wengi wanaotoa hela haraka haraka ila watu wa kipato cha kati..milioni sio ishu.ila kingine nimenote nafkiri watu wamekua sensitive na hela sana...huezi kusema ni ubinafsi ila watu wanachunga sana pesa...2.5 nduo uwaombe watu kirahis rahis hvyo no Ina Kaka angu Ni tajiri Kweli ila kunipa laki mbili lzm sijui itakuwa kalala wapi
Mkuu mm sijaomba hela kabisa hapa..wala sina nia hiyo nilitaka tu kushare kilichonikuta...Inahitaji akili kubwa kuutambua
Utawachukia watu wote bure,si kila siku mtu ana pesa mkononiKuna kazi nimefanya mahali...sasa kuna mpunga mrefu natakiwa nipewe...kikwazo ikaja kuna documents inatakiwa (CODE) Na hiyo code ni hela inatakiwa 2,500,000 nikapambana nikatoa 1.5 bado 1m nikakwama...!
Nikiri na umri huu nimejifunza kitu kipya ambacho nilikua nakiskia na kukiona kwa watu sa hv kimenitokea...
Nikawafata ma hommies wale wa ndani kabisa (Inner Circle) nikiwaomba wanisaidie hiyo 1m...
Hola...wa kwanza akaniambia ni mtee kabisa...!
Hola... wa pili mtee
.
.
.
.wa sita akaniunganisha mahali nikope....baadae mkopeshaji na alienipeleka hawashiki simu
Nikakaa nikawaza nimekosea wapi?
Kumbe nawachana live kwamba nadai so na so...aisee kumbe wanapanick...uzuri deal nimekamilisha ila kulipwa bado na mzigo ushatumika....so lazma nilipwe...
Nimeweka pozi...
Nasubiria mda wowote nitamalizia hiyo 1m ila nimejifunza kitu..hawa hawa ndio mm huwaokoa kwenye angle ngumu sana..mmmoja kodi..mmoja central mmoja harusi...na hela yenyewe wanarudisha dusco dusco...ila this tyme wataniona kauzu kama sielewi hv..!
Usimtegemee Mtu Yoyote...Yoyote ukiwa na shida!
!
Kuna kazi nimefanya mahali...sasa kuna mpunga mrefu natakiwa nipewe...kikwazo ikaja kuna documents inatakiwa (CODE) Na hiyo code ni hela inatakiwa 2,500,000 nikapambana nikatoa 1.5 bado 1m nikakwama...!
Nikiri na umri huu nimejifunza kitu kipya ambacho nilikua nakiskia na kukiona kwa watu sa hv kimenitokea...
Nikawafata ma hommies wale wa ndani kabisa (Inner Circle) nikiwaomba wanisaidie hiyo 1m...
Hola...wa kwanza akaniambia ni mtee kabisa...!
Hola... wa pili mtee
.
.
.
.wa sita akaniunganisha mahali nikope....baadae mkopeshaji na alienipeleka hawashiki simu
Nikakaa nikawaza nimekosea wapi?
Kumbe nawachana live kwamba nadai so na so...aisee kumbe wanapanick...uzuri deal nimekamilisha ila kulipwa bado na mzigo ushatumika....so lazma nilipwe...
Nimeweka pozi...
Nasubiria mda wowote nitamalizia hiyo 1m ila nimejifunza kitu..hawa hawa ndio mm huwaokoa kwenye angle ngumu sana..mmmoja kodi..mmoja central mmoja harusi...na hela yenyewe wanarudisha dusco dusco...ila this tyme wataniona kauzu kama sielewi hv..!
Usimtegemee Mtu Yoyote...Yoyote ukiwa na shida!
!
Inawezekana mkuu ila kuna vitu nitapunguza kwenye urafiki wetu...siezi vunja urafiki...Utawachukia watu wote bure,si kila siku mtu ana pesa mkononi
wakati mwingine zinakuwa kwenye mzunguko.
Nikushauri usivunje undugu kwa kukataliwa kukopeshwa.
Mi nilidhani wamekufanyia roho mbaya ili mipango yako ikwame na ukapata habari.
Hapana mkuu nimewaonyesha invoice...na chat za client akihitaji hiyo document afanye malipo...Usikute katika kujieleza kwako wenzako wameshtukia kua umetapeliwa
Yaap hii ni kweli hadi moyoni...hasa hapo kwenye ufalaMimi sion kama wana vita na wewe, Ni kwamba wewe huna hela, na wao wamegoma kukupa, hatuna uhakika kama wanazo.
Hatutoi toi hela hovyo kwa marafiki kuepuka hisia kama zako, kama wewe unawapa hovyo wewe ni fala, wao hawatoi hovyo.
Sidhani kama wana ubaya wa kiwango hicho, ni kwamba wewe unatakasaada ambao ni labda hawana au hawataki, ni utashi na huyari yao.
Yaap hii ni kweli hadi moyoni...hasa hapo kwenye ufala
Noted Mkuu....!Ukishakuwa mwanamume kumbuka hili;
No one cares about your struggles, pain or hustles, they only care about your SUCCESS
Sasa wewe pambania hapo kwenye SUCCESS
Ni kweli mkuu kuna watu wana style yao ya kuishi...ni ngumu kukuta an urafiki wa karibu na mtu...nakunywa nao nakula lkn kila kitu chake ni private.!!!No one is your friend, hata mkeo, ila wake zetu wakiwa na watoto wetu tunaweza poteza hela kwao tusijali.
Hii dunia ndugu yangu, acha kabisa, watu wabaya sana sana sana, nina maradiki, ila ni wa kuchoma nyama tu.
Kila la kheri mkuuNoted Mkuu....!
Kamooooooooooooooni 😄😄Unataka niweke hadharani nikuoneshe Bank statements na financial status zangu humu za Swiss bank, Swiss Credit, HSBC na Deutsch bank? Ma offshore tax haven huko. Niziweke hadharani?? Nikuwekee humu hadharani mkataba nilioingia wa miaka 10 na price water coopers katika maswala ya kunishauri kulipa kodi na auditing? Niweke hapa stocks zangu lukuki Amazon, Microsoft na Tesla?
Ehh kumbe jf maskini ni mimi tu aloooo weeeUnataka niweke hadharani nikuoneshe Bank statements na financial status zangu humu za Swiss bank, Swiss Credit, HSBC na Deutsch bank? Ma offshore tax haven huko. Niziweke hadharani?? Nikuwekee humu hadharani mkataba nilioingia wa miaka 10 na price water coopers katika maswala ya kunishauri kulipa kodi na auditing? Niweke hapa stocks zangu lukuki Amazon, Microsoft na Tesla?
Mkuu siku zote ukimsaidia mtu usitegemee chochote in return yesu aliponya watu wengi ila ni mmoja tu ndio aligeuka nyuma move on mkuu hata mimi asilimia kubwa ya watu niliowachangia kwenye harusi zao mimi hawakunichangia na mpaka leo nawasiliana nao ila nimejifunza kitu kutoka kwao.Kuna kazi nimefanya mahali...sasa kuna mpunga mrefu natakiwa nipewe...kikwazo ikaja kuna documents inatakiwa (CODE) Na hiyo code ni hela inatakiwa 2,500,000 nikapambana nikatoa 1.5 bado 1m nikakwama...!