masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Hahahahaha uwiiiiUtoboe utoboe uende wapi? This is your destiny hakuna mahali unaenda ni hapahapa kwenye umasikini ndo utabaki na sisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha uwiiiiUtoboe utoboe uende wapi? This is your destiny hakuna mahali unaenda ni hapahapa kwenye umasikini ndo utabaki na sisi
Mkuu aisee umejua nimekua desperate namna gani halafu nina marafiki matajiri kabisa sikuwafata.Rahisi Sana kuandika hivi ukiwa uko kwenye amani au mda ambao changamoto ya kuhitaji msaada wa watu ijakufiks
Free will ya kufanya ninachotaka ...kutokana na instinct zangu.Kabisa mkuu ila ww ukiwa na uwezo wa kumsaidia usisite na nafsi yako ikaridhia pia
Ni kweli hii nimejifunza halafu boss...msaada na deni ni sawa...au msaada na kukopeshana?Nadhani ni busara kumwambia pia kuwa akisaidia mtu asitegemee kurudishiwa wema!! Hii itamisaidia kujua kuwa kwemue mapambano ya utafutaji yupo alone na kama misaada si ya kutegemea hata kama uliowasaidia wanakuona ukitaabika.
Ushauri mzuri sana huuUtawachukia watu wote bure,si kila siku mtu ana pesa mkononi
wakati mwingine zinakuwa kwenye mzunguko.
Nikushauri usivunje undugu kwa kukataliwa kukopeshwa.
Mi nilidhani wamekufanyia roho mbaya ili mipango yako ikwame na ukapata habari.
Asee nimecheka balaaMbeba boksi wa Copenhagen unaleta mbwembwe kwa WALA VUMBI
Watabaki marafiki...kabisa ila kwenye cash nitajilimit sanaAfadhali umewagundua mapema hao wanafiki.
Mkuu jamaa nimependa kasema ana hisa Amazon...et alMbeba boksi wa Copenhagen unaleta mbwembwe kwa WALA VUMBI
Unaamini hii! Mi naamini maisha yangu naeza yageuza mda wowote..kuna watu wanalazimisha maisha na yanaendaHahahahaha uwiiii
We ushatapeliwa........yaani upate dili kwa kutoa dili? Ulisikia wapi?Kuna kazi nimefanya mahali...sasa kuna mpunga mrefu natakiwa nipewe...kikwazo ikaja kuna documents inatakiwa (CODE) Na hiyo code ni hela inatakiwa 2,500,000 nikapambana nikatoa 1.5 bado 1m nikakwama...!
Nikiri na umri huu nimejifunza kitu kipya ambacho nilikua nakiskia na kukiona kwa watu sa hv kimenitokea...
Nikawafata ma hommies wale wa ndani kabisa (Inner Circle) nikiwaomba wanisaidie hiyo 1m...
Hola...wa kwanza akaniambia ni mtee kabisa...!
Hola... wa pili mtee
.
.
.
.wa sita akaniunganisha mahali nikope....baadae mkopeshaji na alienipeleka hawashiki simu
Nikakaa nikawaza nimekosea wapi?
Kumbe nawachana live kwamba nadai so na so...aisee kumbe wanapanick...uzuri deal nimekamilisha ila kulipwa bado na mzigo ushatumika....so lazma nilipwe...
Nimeweka pozi...
Nasubiria mda wowote nitamalizia hiyo 1m ila nimejifunza kitu..hawa hawa ndio mm huwaokoa kwenye angle ngumu sana..mmmoja kodi..mmoja central mmoja harusi...na hela yenyewe wanarudisha dusco dusco...ila this tyme wataniona kauzu kama sielewi hv..!
Usimtegemee Mtu Yoyote...Yoyote ukiwa na shida!
!
Nimeufanyia kazi mkuu..!Ushauri mzuri sana huu
Ni kweli kabisa mkuu, ukiwa unatafuta unapitia mengi sana kuna muda unaanguka, unaumia na hakuna wa kukujali. Wewe ndio msaada wako pekee usiposhtuka ukaendelea na mapambano hakuna atakaefanya hivyo kwa ajili yako.Ukishakuwa mwanamume kumbuka hili;
No one cares about your struggles, pain or hustles, they only care about your SUCCESS
Sasa wewe pambania hapo kwenye SUCCESS
Hana huo ubavuMkuu jamaa nimependa kasema ana hisa Amazon...et al
Siwezi kuweka kila kitu...ila ungekua unafanya biashara ungeelewa kwa watu wa supply wanajua naongea nn...!We ushatapeliwa........yaani upate dili kwa kutoa dili? Ulisikia wapi?
Ndugu yangu kabisa alinipigia simu akiniambia kuwa Kuna Mchongo wa Uteuzi wa kuwaAfisa Elimu Wilaya fulani. Ila mchongo wenyewe inabidi utoe 1M ya Chapu chapu so Jamaa yangu anataka nimpige Tafu 500k.
Kwa sisi watoto wa shamba tunajua kabisa huo ni Utapeli 100%.
Aidha anataka kunitapeli mimi au Yeye anaelekea kutapeliwa.
Ile pesa nilikuwa nayo sikumpa na nilimuona ni mjinga.
Mangungo na msoveroHana huo ubavu
Huyu ni mbeba boksi wa huko udanish
Sasa hao ni wanafki kivip? Kama yeye hana hiyo 1m nani anayo?Afadhali umewagundua mapema hao wanafiki.
Yaaap unajua hii ni sawa kabisa...Ni kweli kabisa mkuu, ukiwa unatafuta unapitia mengi sana kuna muda unaanguka, unaumia na hakuna wa kukujali. Wewe ndio msaada wako pekee usiposhtuka ukaendelea na mapambano hakuna atakaefanya hivyo kwa ajili yako.
Nimepitia mengi kwenye ishu za hela uzuri nilishajifunza mapema cha mtu sio changu na sina haki nacho including marafiki. Huwa nilivyo msiri wa mambo yangu naamini kwa wengine nayo ni hvyo hivyo, nikikwama kifedha na nikakosa msaada kwa walionizunguka nnaamini pia hata wao ni watu kama mimi, naelewa hali zao huenda na wao wanapitia hali fulani ni vile hawajaamua kuweka wazi.Yaaap unajua hii ni sawa kabisa...
Hili nimeliweka...
Sasa si ndio maana ameumia kwasababu yeye ameshaliwa sana, lakini yeye hajawala wenzie, ilipokuja muda wa yeye kuwala wenzie wakamtosa.Sijasema mwandiko kuhusu usahihi namaanisha style.
Hao unaofahamu ulitakiwa utarajie matokeo uliyopata kutokana na wao kusumbua kurejesha hela yako.
Mtu anayesumbua kurejesha hela, huwa hakusaidii endapo utataka. Na mara nyingi atakusema vibaya au kuleta kinyongo ukitumia nguvu kiasi kupata hela yako. Ni sawa na wateja njaa kali, huomba discount kubwa na hununua vitu cheap, hulalamika zaidi na huwa hawarudi.
Kuna classmate wangu anasona MD yeye ni rafiki kwenye kula bata, kukulazimisha mtoke out ukatumie 150k yake ni kawaida kwake ila kukusaidia 100k kwenye mambo yako umrejeshee baadae ni vigumu. Huyu anakupa 150k yake utumie akitarajia baadae atakwama umpe 150k atumie kula bata.
Nina mzee ndugu yetu kwenye ukoo ni billionaire, kwenye list ya watu wa kuaminika kwake nipo ila hawezi nikopesha hata 1M ila ukimpa proposal ambayo atapata share anakupa hela. Anataka ombi liwe na details zinazogusa hivi "nipe 20M kuna deal 1,2,3 tutapata ROI in 4 months na baadae tutaanza gawana faida utapata 50%".
Leoleo kuna mtu nimepewa deal ila sijui napataje kulifanikisha nikampigia jamaa yangu mmoja huwa ananisaidia akanipa details nikamaliza na kupata faida sio mbaya, nikamtoa ya soda. Juzi niliingiza hela kiasi na kuna jamaa nilimuelekeza kazi siku za nyuma Jmosi akapata hela akataka kunitumia kidogo kama shukrani nikakataa, najua nitamtumia nikiwa na shida aniboost.
Kufupisha story nasemaje: Kila mtu ana code ya kutoa hela yake, haitoshi tu kusema ni mtoaji. Na vilevile kila mtu ana tamaa na hela yake, kitendo cha kukupa hela ni risk hivyo kuna watu hawataki kuingia risk isiyo na return. Kikwete anasema kihuni kwamba ukila sharti na wewe ukubali kuliwa.
Kabisa unachokisemaFree will ya kufanya ninachotaka ...kutokana na instinct zangu.
!