Vita ya Serikali na nzige yapamba moto huko Siha Kilimanjaro, Serikali inaweza kushindwa

Vita ya Serikali na nzige yapamba moto huko Siha Kilimanjaro, Serikali inaweza kushindwa

Shida yetu hatutak kutumia simple approach, hao wadudu ukitumia biological control ni better kuliko makemikali, maana wanataga ila ukitumia kuku wenye njaa zao wanachakura had ardhi hapo kila mdudu anasafishwa
Hapo ukipeleka kuku kama 10,000 tu kazi kwisha na kuku wananenepa balaa
 
Nashauri vitu viwili

1. Nzige wana kiwango kikubwa sana cha protein kufikia 18% C.P
Hivyo viwanda vya kutengeneza vyakula vya mifugo vitumie hiyo fursa kuwaajiri vijana wawaletee madebe na madebe ya nzige ili wazalisha wa vyakula vya mifugo wapate maligahafi mbadala wa dagaa au soya

2. Wakusanye kuku wa kienyeji takribn 500 bata 600 wawamwage hilo eneo ni ndan ya siku mbili peupe pee
Inashauriwa hao nzige wasiliwe wana sumu kutokana na dawa wanazopigwa pia wananuka vibaya kama viwavi jeshi
 
Ajitokeze MTU anasema ananunua hao nzige kwa kilo bei nzuri tu..hamtaona hata mmoja...wachaga kwa fursa watu watatimba na magunia...
 
Ajitokeze MTU anasema ananunua hao nzige kwa kilo bei nzuri tu..hamtaona hata mmoja...wachaga kwa fursa watu watatimba na magunia...
Binafsi kwa ugumu huu wa maisha hata mm ningeenda
 
Gharama za msafara wa Rais kwa mkoa mmoja tu zinatosha kukodi ndege kwa siku saba kunyunyiza dawa na kuwamaliza nzige..Magari zaidi ya 50 yanayokunywa mafuta mengi ulkiachia posho za wapambe na walinzi
Linapenda kuabudiwa! Wacha lizurure!
 
Hao nzige sio kazi ndogo kuwamudu selikal imekodi mpaka ndege sasa mtu kama unawazo bora ukashaur manake mwisho wa siku hasara ni Kwetu kama taifa na sio kwa watu wa siha tu

Vijana tubadilike tujitambue
Sisi vijana wenzio tunaumwa ugonjwa wa kupinga pinga, kwa hiyo tuache kama tulivyo.

Kupinga ndio suru tulio amua.
 
Nashauri vitu viwili

1. Nzige wana kiwango kikubwa sana cha protein kufikia 18% C.P
Hivyo viwanda vya kutengeneza vyakula vya mifugo vitumie hiyo fursa kuwaajiri vijana wawaletee madebe na madebe ya nzige ili wazalisha wa vyakula vya mifugo wapate maligahafi mbadala wa dagaa au soya

2. Wakusanye kuku wa kienyeji takribn 500 bata 600 wawamwage hilo eneo ni ndan ya siku mbili peupe pee
Hahaha
Mkuu hii plan ni nzuri sana ingawa inaonekana kama utani vile
 
Inashangaza sana kuona watu wazima wanachekelea matatizo ya watanzania wenzao na haya ni matatizo yetu sote wala nzige hawahusiani na ccm, yaani watu wanafurahia hata nzige kuvamia nchi utadhani ccm peke yao ndo wataathirika?

Kazi kweli kweli
una undugu na sheani? aliyekushangaza ni nani? kuna mijitu jf huwa ni mipumbavu sana tizama lishasingizia watu eti wanafurahia nzige and then limeingiza uccm wake pumbavu sana changia hoja hii ya nzige na sio upumbavu wa kusingizia watu shetwani we... huna hata solutions ya kusaidia kuwamaliza hao nzige... kama unaleta mambo ya uchama kwenye hoja isiyo hata na uchama wala chama hakijatajwa wewe ndio umeweka uchama as if ccm imebebeshwa lawama wakati hakuna sehemu yeyote iliyozungumzwa na mleta mada..
 
Nzige kila anapotua anaacha mayai kwaivo kama wameingia Nzige bilioni moja baada ya muda mfupi wanazaliwa bilioni tano wapya
Tukumbuke Baa la Nzige hufuatiwa na baa la njaa
 
Inashangaza sana kuona watu wazima wanachekelea matatizo ya watanzania wenzao na haya ni matatizo yetu sote wala nzige hawahusiani na ccm, yaani watu wanafurahia hata nzige kuvamia nchi utadhani ccm peke yao ndo wataathirika?

Kazi kweli kweli
Tumia akili wewe, kwenye raha na kugawana keki ya Taifa mnakuwa wenyewe lakini matatizo yakitokea mnataka tuwe pamoja
 
Back
Top Bottom