Vita ya Serikali na nzige yapamba moto huko Siha Kilimanjaro, Serikali inaweza kushindwa

Vita ya Serikali na nzige yapamba moto huko Siha Kilimanjaro, Serikali inaweza kushindwa

Mkuu wa Wilaya ya Siha si ndo yule jamaa aliyejifanya Tiss muongo muongo hivi

Nani kakuambia alijifanya? Unajua kesi yake iliishaje...!?
Ujue mkuu wa wilaya ni mwenyekiti wa kamati ya usalama katika wilaya aliyomo pia!
 
Hahahaaaa
Tumia akili wewe, kwenye raha na kugawana keki ya Taifa mnakuwa wenyewe lakini matatizo yakitokea mnataka tuwe pamoja
Kwenye shida tuwe wote kwenye raha uwe peke ako
 
Back
Top Bottom