Shida yetu hatutak kutumia simple approach, hao wadudu ukitumia biological control ni better kuliko makemikali, maana wanataga ila ukitumia kuku wenye njaa zao wanachakura had ardhi hapo kila mdudu anasafishwaHii ilifanyika China,na walifanikiwa
Hapo ukipeleka kuku kama 10,000 tu kazi kwisha na kuku wananenepa balaaShida yetu hatutak kutumia simple approach, hao wadudu ukitumia biological control ni better kuliko makemikali, maana wanataga ila ukitumia kuku wenye njaa zao wanachakura had ardhi hapo kila mdudu anasafishwa
Sana tu,Hapo ukipeleka kuku kama 10,000 tu kazi kwisha na kuku wananenepa balaa
Nipo busy naangalia kiapo cha mwanazuoni Bashiru Abasi (PHD)Hiyo ni wilaya ya Siha Kilimanjaro bado wanachanja mbuga wametokea Arusha hao. Tutapona njaa kweli?
Inashauriwa hao nzige wasiliwe wana sumu kutokana na dawa wanazopigwa pia wananuka vibaya kama viwavi jeshiNashauri vitu viwili
1. Nzige wana kiwango kikubwa sana cha protein kufikia 18% C.P
Hivyo viwanda vya kutengeneza vyakula vya mifugo vitumie hiyo fursa kuwaajiri vijana wawaletee madebe na madebe ya nzige ili wazalisha wa vyakula vya mifugo wapate maligahafi mbadala wa dagaa au soya
2. Wakusanye kuku wa kienyeji takribn 500 bata 600 wawamwage hilo eneo ni ndan ya siku mbili peupe pee
Hapana huyo ni wa Siha. DC wa Siha ni mtu wa Chato ndugu na mheshimiwaMkuu wa Wilaya ya Siha si ndo yule jamaa aliyejifanya Tiss muongo muongo hivi
Sijui hata ila ni hatari hawa nzigeKwann wananuka vibaya
Linapenda kuabudiwa! Wacha lizurure!Gharama za msafara wa Rais kwa mkoa mmoja tu zinatosha kukodi ndege kwa siku saba kunyunyiza dawa na kuwamaliza nzige..Magari zaidi ya 50 yanayokunywa mafuta mengi ulkiachia posho za wapambe na walinzi
Sisi vijana wenzio tunaumwa ugonjwa wa kupinga pinga, kwa hiyo tuache kama tulivyo.Hao nzige sio kazi ndogo kuwamudu selikal imekodi mpaka ndege sasa mtu kama unawazo bora ukashaur manake mwisho wa siku hasara ni Kwetu kama taifa na sio kwa watu wa siha tu
Vijana tubadilike tujitambue
HahahaNashauri vitu viwili
1. Nzige wana kiwango kikubwa sana cha protein kufikia 18% C.P
Hivyo viwanda vya kutengeneza vyakula vya mifugo vitumie hiyo fursa kuwaajiri vijana wawaletee madebe na madebe ya nzige ili wazalisha wa vyakula vya mifugo wapate maligahafi mbadala wa dagaa au soya
2. Wakusanye kuku wa kienyeji takribn 500 bata 600 wawamwage hilo eneo ni ndan ya siku mbili peupe pee
Na mkuu kashasema hagawi chakula cha bureeHiyo ni wilaya ya Siha Kilimanjaro bado wanachanja mbuga wametokea Arusha hao. Tutapona njaa kweli?
una undugu na sheani? aliyekushangaza ni nani? kuna mijitu jf huwa ni mipumbavu sana tizama lishasingizia watu eti wanafurahia nzige and then limeingiza uccm wake pumbavu sana changia hoja hii ya nzige na sio upumbavu wa kusingizia watu shetwani we... huna hata solutions ya kusaidia kuwamaliza hao nzige... kama unaleta mambo ya uchama kwenye hoja isiyo hata na uchama wala chama hakijatajwa wewe ndio umeweka uchama as if ccm imebebeshwa lawama wakati hakuna sehemu yeyote iliyozungumzwa na mleta mada..Inashangaza sana kuona watu wazima wanachekelea matatizo ya watanzania wenzao na haya ni matatizo yetu sote wala nzige hawahusiani na ccm, yaani watu wanafurahia hata nzige kuvamia nchi utadhani ccm peke yao ndo wataathirika?
Kazi kweli kweli
Jirani zetu Wakenya wanawala hatariSijui hata ila ni hatari hawa nzige
Jiwe,ni kama stand ya Mbezi ilivyozinduliwa huku ikiwa haijakamilikaJana wataalamu wa serikalini wametuambia wanakaribia kuwamaliza wote sasa sijui walikuwa wanamdanganya nani.
Yupo Mahututi KCMC usiku huu,ndio maana tangu hili sakata la Nzige lianze hatujamuona kabisa kwenye TV akiuza sura.Mkuu wa Wilaya ya Siha si ndo yule jamaa aliyejifanya Tiss muongo muongo hivi
Tumia akili wewe, kwenye raha na kugawana keki ya Taifa mnakuwa wenyewe lakini matatizo yakitokea mnataka tuwe pamojaInashangaza sana kuona watu wazima wanachekelea matatizo ya watanzania wenzao na haya ni matatizo yetu sote wala nzige hawahusiani na ccm, yaani watu wanafurahia hata nzige kuvamia nchi utadhani ccm peke yao ndo wataathirika?
Kazi kweli kweli