imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Mar 1, 2021 #41 Frank Wanjiru said: Yupo Mahututi KCMC usiku huu,ndio maana tangu hili sakata la Nzige lianze hatujamuona kabisa kwenye TV akiuza sura. Click to expand... Hivi ni kweli anapumulia mashine?
Frank Wanjiru said: Yupo Mahututi KCMC usiku huu,ndio maana tangu hili sakata la Nzige lianze hatujamuona kabisa kwenye TV akiuza sura. Click to expand... Hivi ni kweli anapumulia mashine?
Freyzem JF-Expert Member Joined Jun 29, 2013 Posts 10,120 Reaction score 24,667 Mar 1, 2021 #42 Mavipunda said: Mkuu wa Wilaya ya Siha si ndo yule jamaa aliyejifanya Tiss muongo muongo hivi Click to expand... Nani kakuambia alijifanya? Unajua kesi yake iliishaje...!? Ujue mkuu wa wilaya ni mwenyekiti wa kamati ya usalama katika wilaya aliyomo pia!
Mavipunda said: Mkuu wa Wilaya ya Siha si ndo yule jamaa aliyejifanya Tiss muongo muongo hivi Click to expand... Nani kakuambia alijifanya? Unajua kesi yake iliishaje...!? Ujue mkuu wa wilaya ni mwenyekiti wa kamati ya usalama katika wilaya aliyomo pia!
2019 JF-Expert Member Joined Dec 31, 2018 Posts 3,130 Reaction score 4,735 Mar 1, 2021 Thread starter #43 Hahahaaaa Frank Wanjiru said: Tumia akili wewe, kwenye raha na kugawana keki ya Taifa mnakuwa wenyewe lakini matatizo yakitokea mnataka tuwe pamoja Click to expand... Kwenye shida tuwe wote kwenye raha uwe peke ako
Hahahaaaa Frank Wanjiru said: Tumia akili wewe, kwenye raha na kugawana keki ya Taifa mnakuwa wenyewe lakini matatizo yakitokea mnataka tuwe pamoja Click to expand... Kwenye shida tuwe wote kwenye raha uwe peke ako