Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Ndio kwanza Umoja wa Ulaya haupendi kuiona Urusi ikiwa na nguvu. Kwa vyovyote vile lazima wazichape ili kumpunguza nguvu Urusi. Ndio hivyo wanamtumia Ukraine kuanzisha ugomvi ili wamzibue Urusi kirahisi.
Haya twende Marekani, Biden na Umoja wa Ulaya ni kitu kimoja kama Biden akiondoka madarakani bila kuwasaidia Umoja wa Ulaya kumzibua Urusi Trump hatoweza kuwasaidia.
Trump alishasema anataka amani na kupunguza bajeti ya mambo ya vita.
Ushirikiano wa Trump na Umoja wa Ulaya hautakua mzuri.
View: https://youtu.be/4JwzdpjGzrI?si=SciRpfsYzfS_fZfX
Hivyo Biden lazima achomoe Betri kabla ya mwezi February wa kumwapicha Trump haujafika.
Majeshi ya NATO yameshaanza kwenda Ukraine huu ndio mwanzo wa vita ya tatu ya duniani.
Mimi nipo upande wa NATO wewe je?