Vita ya tatu ya Dunia (WWIII) wewe upo upande gani

Bara la Afrika lijiweke mbali na vita za wazungu.
Tuwaache wenyewe wachapane mpaka wafirisike.
Wakimaliza vita tuwatawale.
 
Ulaya wenye kiherehere cha vita in Uingereza, na labda ufaransa kidogo. Wengine wote wanalazimika tu kujifanya wako pamoja na hao wapenda vita, ili kuonesha msimamo wa pamoja.
 
Ulaya wenye kiherehere cha vita in Uingereza, na labda ufaransa kidogo. Wengine wote wanalazimika tu kujifanya wako pamoja na hao wapenda vita, ili kuonesha msimamo wa pamoja.
We jamaa hao waingereza ni ndugu zako
 
Hamna vita ya dunia
 
Russia napenda shida Marekani wa nataka kutawala dunia kwa masilahi yake
 
Ulaya wenye kiherehere cha vita in Uingereza, na labda ufaransa kidogo. Wengine wote wanalazimika tu kujifanya wako pamoja na hao wapenda vita, ili kuonesha msimamo wa pamoja.
Marekani kawadhoofisha jumuia ya ulaya Kila anachotaka wanaokubali yeye kwake ni salama yaani Ulaya yote ipo mfukoni mwake kama yule mgiriki wa enzi mwalimu
 
Kwani UKRAINE ina siri hadi ULAYA na AMERICA wako tayari hata kwa NUKES WAR
?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…