Vita ya Ukraine - Urusi ina hadhi ya kuziangusha serikali za Ulaya na Marekani

Haya makosi kwa Urusi ni nani kayapiga?
Ngoja walau nikusaidie ku comment maana watu wanapita kimya kimya tu kama hawaoni vile.Kadri muda unavyokwenda huu uzi umepoteza uhalisia wake nadhani uliharakisha sana kuuanzisha maana si Pro Ukraine wala Pro Russia,wanaona mapicha picha tu.Kungekuwa na uhalisia walau hata kidogo tu hapa ungeona watu wana tiririka mpaka leo.Habari ya sasa ni 'partial mobilization' baada ya mambo kuwa magumu huko Ukraine
 
shida yetu ni kiingereza kaka, lazima kichwani ziwemo ili uweze kuchangia hizi picha.

Naangalia uhalisia kwenye referendum
 
shida yetu ni kiingereza kaka, lazima kichwani ziwemo ili uweze kuchangia hizi picha.

Naangalia uhalisia kwenye referendum
Ungekuwa unajua vizuri hicho kingereza wewe mtoto wa Buckingham Palace ungekuwa unatiririka mwanzo mwisho,hii ya kwenda kucopy na kupaste kutoka Youtube hata mtoto wa st.kayumba grade 3 anaweza. Uzi umekosa maana ndiyo maana hata Pro Russia wenyewe hawachangii tena,nimesema hapo juu nikusaidie kucomment kidogo.Ngoja tukuache sasa uendelee kucopy na kupaste mwenyewe tu[emoji3]
 
Uzi huu umetembelewa na watu zaidi milioni moja na kuchangiwa na watu zaidi ya 300, je hao hawatoshi? Wewe TU pro-marekani ndiye unamind. Kakojoe ulale, hao waliochangia na kuutembelea sio haba,
 
Scholz analo hilo, waandamanaji wanampinga, hebu ona hapa.


Biden nae kakalia kuti kavu
 
Mdau vip yale maandamano
 
We jamaa unapaswa kuitwa kuona mbali,Bojo chali, mrithi wake kakalia kuti kavu,Olaf schloz tangu mwanzo roho mkononi na heshima debe,macron hoi bin taabani na dhoruba bado nayeee🤸,achilia pale Italy kwa aliyekuwa Gradg,Bulgaria waulize wenyewe,mwona mbali ni Victor orban🏃🏃,wengine wote vibaraka wa beberu mkuu na kitakacho mfika hapo november 8,atamjua mzee Trumpet no nabii🏃🏃
 
Ujanja wao wote lakini wote wanalia na KAMIKAZE
 
mmewekeza nguv kuangalia ulaya ila hamjui pia maandamano hayo kwa wiki hz mbili yamekuwepo huko Urusi ila jeshi la polis inayazima
 
India imezuia kuuza ngano nje. Ni nchi ya 3 kwa uuzaji wa ngano nje ...
huwa mnahisi Ulaya hakuna mashamba ? subirin muone , yaan miaka yote walikuwa wanalishwa na India ?
 
Kaka hii ndio ujue kwamba misaada tunayopewa ndio ndoano ya kuvulia rasilimali zetu. Tusifurahie kupewa misaada na mikopo na wazungu. Mikopo na misaada Yao ni ghali sana. Ogopa sana mtu aliyekupa pesa aliyokopa.
ww andika huku kichwa umekijaza story za vumbi la kongo , wakikususia hivyo virus vyako vitakumaliza ww
 
Bibi mmoja kipofu wa huko Balkans alishatabiri zamani kuwa Putin atakuwa Lord of the World !! ( Baba Vanga ) sasa hivi ulaya hali ni ngumu sana ni kweli wanasema vikwazo vyote vinawaumiza Raia wao wenyewe !!
tukumbushane Hitler alitamba miaka mingap ? Putin bata lake ilikuwa ulaya ila sasa hv hana pa kulia bata anaisha kama digi digi , ni swala la muda tu
 
sasa unadhani bibi hakupata kura hata moja? wanaweza wasiipende Russia lakini wazepende pia uhaba wa gesi, ngano na petrol
wakitoka NATO na EU ndo watapata mafuta , hv unahis wazungu wapuuz km ww buku 2 ya Lumumba inakutesa miaka 5 , wenzio wanajitambua
 
Tena ndani ya siku tatu, inaweza kuiangusha Ulaya yote na Marekani. Chezea Urusi wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…