Vita ya Ukraine - Urusi ina hadhi ya kuziangusha serikali za Ulaya na Marekani

Mwamba nimependekeza ujengewe sanamu humu JF,maana zinaendellea kuangu
Haya makosi kwa Urusi ni nani kayapiga?
Kama hotuba isingekubalika makofi yasingekuwepo,na makofi hutokana na mzuka,mzuka uliwapanda wakalipuka kwa makofi,bila kujali kama Marekani wata maindi au la.
 
Ramli?
 
Fake news, ukijua kutambua chanzo bora cha habari zako utakua umepevuka
 
UK kushnei!! wameona ni heri ya Mhindi kuliko wadhambi wenyewe waliopora mali za dunia kupelekea wajukuu zao. Uingereza imekwisha kabisaaa! Wacha nani nijiandae kwenda kuongoza France very soon.

 
UK kushnei!! wameona ni heri ya Mhindi kuliko wadhambi wenyewe waliopora mali za dunia kupelekea wajukuu zao. Uingereza imekwisha kabisaaa! Wacha nani nijiandae kwenda kuongoza France very soon.

ukiwa na akili fupi ngumu kuelewa , USA mjaluo aliongoza nchi pia UK mhind anaongoza , Vp huko kwa mabasha zako Urusi , Iran , N.Korea na China mmamkonde kama ww unaeza kuwa hata mwenyekiti ? halaf ndo mnasemaga hao mabash zko hawanag ubaguz wa rangi au huko hakuna watu wa asili nyingine ( elewa sio raia wa nchi nyingine )
 
unakuwa kama mtu aliyepagawa. Kama Ukraine na Urusi isingekuwa muhimu kwa ulaya na marekani kusingekuwa na uhaba wa vyakula na nishati huko na bei zisingeyumba. Marekani na Ulaya wanatumia vikwazo kama silaha yao kubwa kwa nchi na watu wasiowapenda. Kuna vikwazo vya aina mbalimbali duniani vilivyowekewa watu binafsi, makampuni binafsi, bidhaa fulani, misaada/mikopo isiende au kutoka nchi mbalimbali duni kuanzia Afrika, Asia, Amerika kusini na Kaskazini. Safari hii wamefunga madirisha mpaka yale yanayoingiza hewa kwenye sebure zao wenyewe.
 
UK wamechanganyikiwa tu, unadhani kama mambo yangekuwa sawa na kungekuwa na uchaguzi wazungu wangemchagua patel? US ni nchi ya wahamiaji tu ile sio kama UK wewe, kama hujui heri unyamaze tu. Hata hivyo unadhani wazungu wanamkubali Patel? mambo sio shwari hata ndani ya conservative, watu wanarudisha kadi zao za uanachama kumpinga Patel
 
Ni mambo ya ajabu sana, marekani inatumia hela nyingi kusaidia Ukraine na nchi nyingine lakini Marekani kuna umaskini mkubwa sana
 
Nilipokuwa naandika huu Uzi Kuna watu walikuwa wakiuneza na kunibeza pia kwakuwa nawaza mbaaaalinsana zaidi kabla watu hawajafikia kufika huko niliko. Biden na kamara chaaaali!!! Boris Cameron Chali, sunak chaaaali, macron anafuata.
 
Ndugu mpendwa, bado hatuyaelewi maoni yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…