technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Hahaha...ngoja nicheke tu aisee, hivi wale wasanii wa "tunapigika, tunasurubikaaa.....tumepigikaa aa aa aaaa" walialikwa na Diamond kweli kwenda Kigoma?Lissu (CHADEMA) ataungwa mkono na vyama vyote vya upinzani asili.
Membe ataungwa mkono na vyama matawi ya ccm kama ACT ndani ya upinzani na CCM makapi
Magufuli ataungwa mkono na ccm mpya.
Je kuna mwenye uwezo wa kupambana na Lissu?
Kama kura za wana ccm zitagawanyika kwa wagombea wawili?
Lissu (CHADEMA) ataungwa mkono na vyama vyote vya upinzani asili.
Membe ataungwa mkono na vyama matawi ya ccm kama ACT ndani ya upinzani na CCM makapi
Magufuli ataungwa mkono na ccm mpya.
Je kuna mwenye uwezo wa kupambana na Lissu?
Kama kura za wana ccm zitagawanyika kwa wagombea wawili?
Hakuna vita hapo wewe..! Magufuli anapendwa na wananchi nyie hamjui tuuh.Lissu (CHADEMA) ataungwa mkono na vyama vyote vya upinzani asili.
Membe ataungwa mkono na vyama matawi ya ccm kama ACT ndani ya upinzani na CCM makapi
Magufuli ataungwa mkono na ccm mpya.
Je kuna mwenye uwezo wa kupambana na Lissu?
Kama kura za wana ccm zitagawanyika kwa wagombea wawili?
Under a fair ground, Lisu is a winner! Tulete tume huru toka EU isimamie, then uone kuwa Jiwe wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa!Lissu (CHADEMA) ataungwa mkono na vyama vyote vya upinzani asili.
Membe ataungwa mkono na vyama matawi ya ccm kama ACT ndani ya upinzani na CCM makapi
Magufuli ataungwa mkono na ccm mpya.
Je kuna mwenye uwezo wa kupambana na Lissu?
Kama kura za wana ccm zitagawanyika kwa wagombea wawili?
uyu uyu lisu anaefunguliwa kesi kila kukicha na kusubiliwa kwa hamu kama masiah
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna vita hapo wewe..! Magufuli anapendwa na wananchi nyie hamjui tuuh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mwananchi na simpendi magufili, sasa hao wananchi unaowazungumzia wako wapi? Rwanda?Hakuna vita hapo wewe..! Magufuli anapendwa na wananchi nyie hamjui tuuh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa jamiii forum kuna wapiga kelele(debe) wapiga kura hawako humu wako vijijini hamuelewi sijui kwanini.Mimi ni mwananchi na simpendi magufili, sasa hao wananchi unaowazungumzia wako wapi? Rwanda?
Wacheni kushinda jamii forum kupiga mayowe, nendeni mkatoe elimu ya uraia huko vijijini kwenu, kila mwenye babu, bibi, baba, mama, shangazi na jomba kijijini anzia hapo ufanye utafiti utagundua nisemalo.Wananchi huwa wanaambiwa kuwa Magufuli anapendwa sana na wananchi. Yaani hata hao wananchi wenyewe wanasikia kuwa Magufuli huwa anapendwa na wananchi! Na ikifika siku ya uchaguzi ili watu wadhibitishe kupendwa kwa Magufuli, chaguzi zinanajisiwa na hao hao wanaowaambia wananchi kuwa Magufuli anapendwa!
Wacheni kushinda jamii forum kupiga mayowe, nendeni mkatoe elimu ya uraia huko vijijini kwenu, kila mwenye babu, bibi, baba, mama, shangazi na jomba kijijini anzia hapo ufanye utafiti utagundua nisemalo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha assumptions just do a simple survey..!Huko vijijini unadhani ni kaburini mpaka ufe ndio uingie? Sio kwenda tu, hayo ni maisha yetu ya kawaida, na mitazamo iko wazi. Wale wajinga mliokuwa mnasema hawajui lolote kwa sasa wengi wanajua ukweli, ila kinachofanyika huko vijijini ni kuongozwa kwa kutishiwa maana wengi hawajui haki zao. Watu wanajua mbivu na mbichi, na isitoshe hatumlazimishi mtu yoyote kutuunga mkono, zaidi ya kumshawishi maana sisi sio kikundi cha kijeshi au kigaidi, hivyo tunatumia ushawishi wa hoja za kisiasa.
Kuna watu wengi sana wameulewa upinzani na wanaukubali, ndio maana unaona, ccm inatumia nguvu ya vyombo vya dola kuendelea kuzuia huo moto wa upinzani, unaosambaa kama moto wa petroli kwenye nyasi kavu usiendelee kusambaa. Mama yangu mzazi ana miaka 62 yuko Lushoto huko milimani, anaijua cdm na anaikubali sana, na sio yeye tu, wapo wengine wa umri wake, na vijana wengi wanaikubali cdm. Sasa sijui ni vijiji gani unataka kututishia.
Fuatilia historia ya Uhuru Kenyatta, haya mambo hayana formulaMembe kama alishindwa alipobebwa na Kikweta leo mwenyewe ataweza bila pesa za kina Manji. Anajaribu kukuweka asiwe irrelevant tu