Vita ya Urais 2020: Lissu Vs Magufuli Vs Membe nini kitatokea?

Acha assumptions just do a simple survey..!

Sent using Jamii Forums mobile app

Unasema assumption wakati ndio uhalisia? Mimi kijijini kwetu ni mitunduruni huko itigi Singida. Cdm sio kufahamika tu, bali inakubalika pia. Nimekupa na mfano wa huko kwa mama yangu Lushoto tarafa ya Mtae kuwa cdm inafahamika na kukubalika. Ccm ndio inayofahamika zaidi huko, lakini inaongoza watu kwa vitisho na sio kwa ushawishi tena. Sasa unataka simple survey inayoendana na hisia/matamanio yako?

Ni hivi, ccm ni chama kikongwe na kanuni ya maisha watu huchoka kitu baada ya muda mrefu. Na kila kizazi kina mapenzi na kitu cha kizazi chao. Ccm ni chama cha kizazi kilichopita, ndio maana unaona sehemu kubwa kinatumia nguvu kubwa ya vyombo vya dola, ukatili na uhayawani wa wazi kwenye chaguzi ili kuendelea kutawala. Wao kukataa tume huru ya uchaguzi sio kwa bahati mbaya, bali wanajua fika kizazi hiki hakiitaki ccm, ila mabavu tu ndio suluhu ya wao kuendelea kukaa madarakani.
 
Tatizo refarii au tume ya uchaguzi ndo maana huwa nawashangaa vyama vya upinzani especially. chadema badala ya kudai mabadiliko ya tume ya uchaguzi wao wapo bize kujadili vitu Ambaavyo havisaidii choochote katka. Harakati zao za kupata Rais na miaka inazidi kwenda.Wangekuwa wamekomalia hili la tume huru. Tangu miaka ya 2000. Sasa hvi labda tungekuwa tunazungumza story nyingine kabisa.
Wananchi wakiamua hakuna tumeccm wala policcm, shida ni sisi wananchi!
 
Dua la kuku hili hakiwezi kumpata mwewe, fact ni kwamba TL hawezi kuwa raisi. Membe kama alishindwa alipobebwa na Kikweta leo mwenyewe ataweza bila pesa za kina Manji. Anajaribu kukuweka asiwe irrelevant tu
Wangekuwa wananchi wanaamua kupitia sanduku LA kura lissu anashinda saa NNE tu, sema tume inayoongozwa Na makada haiwezi kubali magu apigwe chini.jpm hana uwezo Wa kushindana kwa hoja Na lissu kamwe....hyo Ni ukweli
 
Unasema assumption wakati ndio uhalisia? Mimi kijijini kwetu ni mitunduruni huko itigi Singida. Cdm sio kufahamika tu, bali inakubalika pia. Nimekupa na mfano wa huko kwa mama yangu Lushoto tarafa ya Mtae kuwa cdm inafahamika na kukubalika. Ccm ndio inayofahamika zaidi huko, lakini inaongoza watu kwa vitisho na sio kwa ushawishi tena. Sasa unataka simple survey inayoendana na hisia/matamanio yako?

Ni hivi, ccm ni chama kikongwe na kanuni ya maisha watu huchoka kitu baada ya muda mrefu. Na kila kizazi kina mapenzi na kitu cha kizazi chao. Ccm ni chama cha kizazi kilichopita, ndio maana unaona sehemu kubwa kinatumia nguvu kubwa ya vyombo vya dola, ukatili na uhayawani wa wazi kwenye chaguzi ili kuendelea kutawala. Wao kukataa tume huru ya uchaguzi sio kwa bahati mbaya, bali wanajua fika kizazi hiki hakiitaki ccm, ila mabavu tu ndio suluhu ya wao kuendelea kukaa madarakani.
Mkuu barikiwa sana, ccm siasa za ushindani sifurii, kwa sasa tume inaandikisha wapiga kura kimyakimya wananchi wanatia mgomo baridi hatari.
 
Tatizo refarii au tume ya uchaguzi ndo maana huwa nawashangaa vyama vya upinzani especially. chadema badala ya kudai mabadiliko ya tume ya uchaguzi wao wapo bize kujadili vitu Ambaavyo havisaidii choochote katka. Harakati zao za kupata Rais na miaka inazidi kwenda.Wangekuwa wamekomalia hili la tume huru. Tangu miaka ya 2000. Sasa hvi labda tungekuwa tunazungumza story nyingine kabisa.
Naunga mkono mawazo yako ebu angalia usemi huu, "It is not vote that counts, It is who announce the vote.
Sasa hapa kwetu nani anayetangaza mshindi la kuambiwa changanya na akili yako.
 
Tatizo refarii au tume ya uchaguzi ndo maana huwa nawashangaa vyama vya upinzani especially. chadema badala ya kudai mabadiliko ya tume ya uchaguzi wao wapo bize kujadili vitu Ambaavyo havisaidii choochote katka. Harakati zao za kupata Rais na miaka inazidi kwenda.Wangekuwa wamekomalia hili la tume huru. Tangu miaka ya 2000. Sasa hvi labda tungekuwa tunazungumza story nyingine kabisa.
Wapambane hivyohivyo watashinda. Kama mashetani ccm walitupilia mbali maoni ya wananchi ya rasimu ya katiba mpya ya Wariyoba, Je, malalamiko ya wapinzani unadhani itakuwa rahisi kukubaliwa? Wapambane tu wananchi tuko nyuma yao.
 
Mimi ni mpiga kura, 2015 nilimpa magufuli lakini 2020 nikiwa hai simpi ng'o.
Mimi nilimpigia mamvi ila 20 ilitokea nikapiga ni Magufuli otherwise siwezi poteza kura yangu kuwapigia wapinzani hawa hawa wakina Mbowe na Mnyika.

Natamani upinzani ila si huu wa Mbowe, Mnyika, Mdee, Zitto, Lissu na Lipumbav na Seif.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa jamiii forum kuna wapiga kelele(debe) wapiga kura hawako humu wako vijijini hamuelewi sijui kwanini.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huku huku mitandaoni ndio tulipohamasisha watu wasijiandikishe kupiga kura uchaguzi wa SM za mitaa maana ni uchaguzi wa kishenzi. Nadhani uliona mwitikio wake, au huko vijijini watu walijiandikisha kupiga kura? Nilikuwa Simanjiro wakati wa kujiandikisha kupiga kura, vituo vilikuwa tupu kupita maelezo. Kwa taarifa yako, watu waliojiandikisha kupiga kura nchi nzima hawakufika hata 7m. Sasa hao watu wasioelewa unaowasema ww ni wapi? Subiri uchaguzi wa 2020 kama hakuna tume huru ya uchaguzi, uone tutakavyohamasisha watu kutokujiandikisha kupiga kura, uone idadi itakavyokuwa ndogo.
 
Mimi nilimpigia mamvi ila 20 ilitokea nikapiga ni Magufuli otherwise siwezi poteza kura yangu kuwapigia wapinzani hawa hawa wakina Mbowe na Mnyika.

Natamani upinzani ila si huu wa Mbowe, Mnyika, Mdee, Zitto, Lissu na Lipumbav na Seif.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna mtu anataka kura yako, na unaweza kuanzisha huo upinzani wako utakaoupigia kura. Au umekaa mahali unangoja uanzishiwe chama kinachoendana na hisia zako?
 
Mtakacho ambulia ni kuzira uchaguzi km 2015 Zanzibar. Nchi hii haina upinzani jombaa hawa wakina Mbowe hawana uwezo wa kupambana na majasusi wa ssm.
Unasema assumption wakati ndio uhalisia? Mimi kijijini kwetu ni mitunduruni huko itigi Singida. Cdm sio kufahamika tu, bali inakubalika pia. Nimekupa na mfano wa huko kwa mama yangu Lushoto tarafa ya Mtae kuwa cdm inafahamika na kukubalika. Ccm ndio inayofahamika zaidi huko, lakini inaongoza watu kwa vitisho na sio kwa ushawishi tena. Sasa unataka simple survey inayoendana na hisia/matamanio yako?

Ni hivi, ccm ni chama kikongwe na kanuni ya maisha watu huchoka kitu baada ya muda mrefu. Na kila kizazi kina mapenzi na kitu cha kizazi chao. Ccm ni chama cha kizazi kilichopita, ndio maana unaona sehemu kubwa kinatumia nguvu kubwa ya vyombo vya dola, ukatili na uhayawani wa wazi kwenye chaguzi ili kuendelea kutawala. Wao kukataa tume huru ya uchaguzi sio kwa bahati mbaya, bali wanajua fika kizazi hiki hakiitaki ccm, ila mabavu tu ndio suluhu ya wao kuendelea kukaa madarakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtakacho ambulia ni kuzira uchaguzi km 2015 Zanzibar. Nchi hii haina upinzani jombaa hawa wakina Mbowe hawana uwezo wa kupambana na majasusi wa ssm.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kumbe sio siasa bali ni majasusi wa ccm. Sasa hapo unatamba kuna ushindani au siasa za kishenzi?
 
Huku huku mitandaoni ndio tulipohamasisha watu wasijiandikishe kupiga kura uchaguzi wa SM za mitaa maana ni uchaguzi wa kishenzi. Nadhani uliona mwitikio wake, au huko vijijini watu walijiandikisha kupiga kura? Nilikuwa Simanjiro wakati wa kujiandikisha kupiga kura, vituo vilikuwa tupu kupita maelezo. Kwa taarifa yako, watu waliojiandikisha kupiga kura nchi nzima hawakufika hata 7m. Sasa hao watu wasioelewa unaowasema ww ni wapi? Subiri uchaguzi wa 2020 kama hakuna tume huru ya uchaguzi, uone tutakavyohamasisha watu kutokujiandikisha kupiga kura, uone idadi itakavyokuwa ndogo.
Hahahah! Naomba kujua kama kuna kijiji hakina mwenyekiti wa kijiji...! [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom