Vita ya Urais 2020: Lissu Vs Magufuli Vs Membe nini kitatokea?

Ficha ujinga wako, ukipima malaria unatoa damu ya mwili mzima? Huyo niliyemjibu alitaka kupotosha kuwa ccm ndio inayofahimika zaidi huko vijijini, hivyo nimempa mifano halisi ya vijiji vya wazazi wangu, tena ni kwa mikoa miwili tofauti na kanda tofauti kabisa. Hiyo ndio sample ya nchi nzima.
Kama ni ujinga nadhani wewe ndo unatakiwa uufiche kweli kweli. Wewe hujafanya research yoyote, so huna uhalali wowote wa kutuambia hicho chama chako kinakubalikaje huko vijijini. Maana kama ni sampling ambayo unataka kutudanganya nayo hapa, ilibidi uwe na large sample size ili kusupport analysis yako. Sasa wewe sampling unachukua kwa mama yako mzazi, Halafu out of vijiji 19200 unachukua vijiji 2 Sawa na 0.01%. Halafu unasema Chadema inakubalika vijijini, huu kama si ujuha ni kitu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu (CHADEMA) ataungwa mkono na vyama vyote vya upinzani asili.

Membe ataungwa mkono na vyama matawi ya ccm kama ACT ndani ya upinzani na CCM makapi

Magufuli ataungwa mkono na ccm mpya.

Je kuna mwenye uwezo wa kupambana na Lissu?

Kama kura za wana ccm zitagawanyika kwa wagombea wawili?
Wanao mzungumzia Lissu kugombea urais nakuwa siwaelewi, na hata chadema wenyewe kama watamsimamisha Lissu kugombea itakuwa wamepoteza kabla ya uchaguzi wenyewe. Sina maana ya kwamba hafai, bali nikutokana na longo longo nyingi zinazomkabili Lissu. Ikumbukwe kwamba kabla ya shambulizi alisha kuwa na kesi nyingi mahakamani na alikuwa nje kwa dhamana. Na dhamana hiyo inawezekana imeshafutwa japo haija tangazwa. Katika shambulizi lake ilisha jengwa dhana ya kwamba yeye ndie anaetakiwa kutoa maelezo/kuisaidia polisi. Na wakati yupo nje kwa matibabu alisha fanya mahojiano na vyombo mbali mbali vya habari kitu ambacho serikali haikufurahishwa na kile alichokuwa akikizungumza Lissu. Hivyo ukiangalia huu msururu wa sintofahamu kuhusu Lissu utaona wazi kwamba akikanyaga ardhi ya TZ atawakuta wanamsubiri, na dhamana itakuwa mbinde sana kuipata. Na kwa namna alivyo tishio kwa siasa za TZ tusije kushangaa adi muhula wa pili wa awamu ya 5 utaisha na yeye bado yupo ndani kwa maana ya kwamba uchunguzi hauja kamilika. Hivyo kwa Lissu kugombea urais hili jambo bado lina utata.
 
Kaa kwa kutulia ww dogo. Huyo niliyemquote alisema wapinzani wanajulikana mjini tu, nikampa mifano michache ambayo mimi naifahamu, achia taarifa nyingine za chama kuhusu kukubalika kwake. Inakubalika kwa kiasi gani hilo ni jambo jingine. Cdm haihitaji kushinda hivyo vijiji vyote 19,200 ili kudhibitisha kuwa inakubalika, bali inahitaji kushinda vijiji vingi kadiri iwezavyo. Na hilo cdm imefanya sana, kabla ya kuingia hizi siasa za kihayawani za awamu ya tano.

Kwa hiyo cdm nina uhakika inakubalika, kushinda vijiji vyote nchini hakuna chama kinachoweza hilo, labda chini ya siasa za kishenzi. Hili sihitaji kuambiwa na yoyote kwani huu ni ukweli ninaoufahamu na sina shaka na ukweli huo.
 
Tehe tehe... Sawa mkubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu (CHADEMA) ataungwa mkono na vyama vyote vya upinzani asili.

Membe ataungwa mkono na vyama matawi ya ccm kama ACT ndani ya upinzani na CCM makapi

Magufuli ataungwa mkono na ccm mpya.

Je kuna mwenye uwezo wa kupambana na Lissu?

Kama kura za wana ccm zitagawanyika kwa wagombea wawili?

Awali ya yote angalia historia ya vyama vya upinzani tangu 1992, 1995 walishindwa kuungana kuwa na mgombea mmoja, 2000 walishindwa kuungana, 2005 ilishindikana, 2010 pia ilishindikana na 2015 wakati CCM ilikuwa hoi bin taabani ICU, upinzani walishindwa kuungana wakiongozwa na ACT-wazalendo na Mwenyekiti wa CUF!!!! Kwa kifupi wasahau kabisa kuingia IKULU mpaka kizazi hiki kipite yaani mpaka 2090 kwani Magufuli kafufua chama tawala(revitalized) na ni mzalendo wa kweli kwa kuangalia utendaji wake wa miaka minne tu!! Act Wazalendo kama kawaida itaunga mkono yule yule waliomuunga mkono 2015, Maalim karuka jivu na kutumbukia kwenye moto(moto wa coal[emoji38])!Kwa kifupi ni CCM mbele kwa mbele(kwa sababu ya weakness ya upinzani).
 
Lissu (CHADEMA) ataungwa mkono na vyama vyote vya upinzani asili.

Membe ataungwa mkono na vyama matawi ya ccm kama ACT ndani ya upinzani na CCM makapi

Magufuli ataungwa mkono na ccm mpya.

Je kuna mwenye uwezo wa kupambana na Lissu?

Kama kura za wana ccm zitagawanyika kwa wagombea wawili?

Naomba nikupe hii statement niliisikia juzi redioni ikitolewa na mwana mama mwanasiasa mkongwe. UHURU BILA NIDHANU NI FUJO, NA NIDHAMU BILA UHURU NI UTUMWA! Pia katika yatokanayo na statement hii, nilipata swali kichwani nikawa najiuliza hivi kumbe inawezekana kinyume cha FUJO ikawa ni UTUMWA na si UTULIVU?
 
Huu
Magufuli atashinda kwa kishindo bila goli la mkono kwa sababu zilizo wazi:

1.Wanawake walio wengi ni pro Magufuli wana tabia ya kujiandikisha na kupiga kura.
2.Wananchi wa makabila ya Wasukuma na Wanyamwezi watamchagua Magufuli.Wanyamwezi na Wasukuma ni zaidi ya theruthi mmoja ya Watanzania.
3.CCM ya Magufuli imeunganisha watu wenye kipato kidogo, kipato cha kati na zaidi wajasili mali ,wamachinga,bodaboda,mamalishe,wasanii wa Bongo movie na Bongo flava wanamkubali Magu akina Diamond na Harmonice ni kichocheo kikubwa kwa vijana na ndio wapiga kura walio wengi.
4.Mikoa kanda ya ziwa watampigia Magufuli japo wabunge na madiwani wanaweza kutokea upinzani.
5.Vivyo hivyo wajamaa wa kweli nchi mzima ni wengi kumpa kura za kutosha Magu.
6.Membe hana mvuto,labda abebwe na mbeleko ya Kikwete kama Nyerere alivyombeba Mkapa.
7.Lissu atashindana vizuri na Magufuli lakini hana uzoefu wa kazi za serikali,pia atakuwa anagombea na sitting President.
Huu ubaguzi wa kikabila,kikanda nk ndiyo Sera mpya ya CCM?Kama huyo unayemwita sitting President mbona yeye na chama chake wanaogopa Katiba Mpya na Tume Huru?
 
Wanao mzungumzia Lissu kugombea urais nakuwa siwaelewi, na hata chadema wenyewe kama watamsimamisha Lissu kugombea itakuwa wamepoteza kabla ya uchaguzi wenyewe. Sina maana ya kwamba hafai, bali nikutokana na longo longo nyingi zinazomkabili Lissu. Ikumbukwe kwamba kabla ya shambulizi alisha kuwa na kesi nyingi mahakamani na alikuwa nje kwa dhamana. Na dhamana hiyo inawezekana imeshafutwa japo haija tangazwa. Katika shambulizi lake ilisha jengwa dhana ya kwamba yeye ndie anaetakiwa kutoa maelezo/kuisaidia polisi. Na wakati yupo nje kwa matibabu alisha fanya mahojiano na vyombo mbali mbali vya habari kitu ambacho serikali haikufurahishwa na kile alichokuwa akikizungumza Lissu. Hivyo ukiangalia huu msururu wa sintofahamu kuhusu Lissu utaona wazi kwamba akikanyaga ardhi ya TZ atawakuta wanamsubiri, na dhamana itakuwa mbinde sana kuipata. Na kwa namna alivyo tishio kwa siasa za TZ tusije kushangaa adi muhula wa pili wa awamu ya 5 utaisha na yeye bado yupo ndani kwa maana ya kwamba uchunguzi hauja kamilika. Hivyo kwa Lissu kugombea urais hili jambo bado lina utata.
Kwa hiyo hizi kesi na kushambuliwa kwake ni mkakati wa muda Mrefu wa kumzuia kuwa mgombea?Lissu anafaa na kukubalika kutokana na historian take ya kutetea wananchi.
Acha kuhalalisha haramu na uminyaji wa haki za watu kuchagua na/au kuchaguliwa.
 
Huu
Huu ubaguzi wa kikabila,kikanda nk ndiyo Sera mpya ya CCM?Kama huyo unayemwita sitting President mbona yeye na chama chake wanaogopa Katiba Mpya na Tume Huru?
Anaeogopa katiba mpya ni yule alietuachia katiba hewa tuliogharamia mabilioni ya shilling mwishowake akachomoa.
 
Lissu (CHADEMA) ataungwa mkono na vyama vyote vya upinzani asili.

Membe ataungwa mkono na vyama matawi ya ccm kama ACT ndani ya upinzani na CCM asili

Magufuli ataungwa mkono na ccm dola.

Je kuna mwenye uwezo wa kupambana na Lissu?

Kama kura za wana ccm zitagawanyika kwa wagombea wawili?
Kumekucha !
 
Ni shiida
Tatizo refarii au tume ya uchaguzi ndo maana huwa nawashangaa vyama vya upinzani especially. chadema badala ya kudai mabadiliko ya tume ya uchaguzi wao wapo bize kujadili vitu Ambaavyo havisaidii choochote katka. Harakati zao za kupata Rais na miaka inazidi kwenda.Wangekuwa wamekomalia hili la tume huru. Tangu miaka ya 2000. Sasa hvi labda tungekuwa tunazungumza story nyingine kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom