Hahahah! Naomba kujua kama kuna kijiji hakina mwenyekiti wa kijiji...! [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa si kombolela jomba, hivi Nyerere angedai uhuru kimdebwedo hivi tungepata uhuru..??Kumbe sio siasa bali ni majasusi wa ccm. Sasa hapo unatamba kuna ushindani au siasa za kishenzi?
Hata serikali za kijeshi au zilizopindua nchi zina wenyeviti wa vijiji.
Majangili na wavuvi haramu wauawe tu hakuna namna..Jamani ukweli ni kwamba Jiwe umaarufu unaporomoka kwa kasi ya Nazi kuanguka mtini.
Kinachoendelea ni nguvu kubwa kumpamba na kulazimisha drama ila mbaya ni kuwa watengeneza drama uwezo mdogo.
Ukimfatilia Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu Greyson Msigwa sasa hivi eti yeye ndio ripota wa safari ya Diamond Kigoma.
Ameshupaza shingo kuripoti matukio ya huko huku akichomekea Magufuli babalao! Yaani Rais sasa ni wakutembelea jina la Diamond? Huko Geita wavuvi haramu wanauwawa (kuna thread ipo JF) na wauaji wanatamba kuwa wanafuata maagizo. Chuki tupu!
Kiukweli Jiwe atumie mabavu ya dola ndio atarudi, lakini na hiyo ni majaliwa maana anaweza kuishia pabaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Twende na Magufuli 2020, Upinzani hamna mgombea Lissu hawezi Membe ni kama Lowassa tu mkumbuke yule ni jasusi tena mbobevu..!Hakuna mtu anataka kura yako, na unaweza kuanzisha huo upinzani wako utakaoupigia kura? Au umekaa mahali unangoja uanzishiwe chama kinachoendana na hisia zako?
Lissu (CHADEMA) ataungwa mkono na vyama vyote vya upinzani asili.
Membe ataungwa mkono na vyama matawi ya ccm kama ACT ndani ya upinzani na CCM makapi
Magufuli ataungwa mkono na ccm mpya.
Je kuna mwenye uwezo wa kupambana na Lissu?
Kama kura za wana ccm zitagawanyika kwa wagombea wawili?
Ukweli.mtupuHuko vijijini unadhani ni kaburini mpaka ufe ndio uingie? Sio kwenda tu, hayo ni maisha yetu ya kawaida, na mitazamo iko wazi. Wale wajinga mliokuwa mnasema hawajui lolote kwa sasa wengi wanajua ukweli, ila kinachofanyika huko vijijini ni kuongozwa kwa kutishiwa maana wengi hawajui haki zao. Watu wanajua mbivu na mbichi, na isitoshe hatumlazimishi mtu yoyote kutuunga mkono, zaidi ya kumshawishi maana sisi sio kikundi cha kijeshi au kigaidi, hivyo tunatumia ushawishi wa hoja za kisiasa.
Kuna watu wengi sana wameulewa upinzani na wanaukubali, ndio maana unaona, ccm inatumia nguvu ya vyombo vya dola kuendelea kuzuia huo moto wa upinzani, unaosambaa kama moto wa petroli kwenye nyasi kavu usiendelee kusambaa. Mama yangu mzazi ana miaka 62 yuko Lushoto huko milimani, anaijua cdm na anaikubali sana, na sio yeye tu, wapo wengine wa umri wake, na vijana wengi wanaikubali cdm. Sasa sijui ni vijiji gani unataka kututishia.
Unaelewa nini kuhusu kutawala...? Africa hakuna kuongozwa tunatawaliwa sasa hawa wapinzani wanaotaka kuongoza watasubiria sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu (CHADEMA) ataungwa mkono na vyama vyote vya upinzani asili.
Membe ataungwa mkono na vyama matawi ya ccm kama ACT ndani ya upinzani na CCM makapi
Magufuli ataungwa mkono na ccm mpya.
Je kuna mwenye uwezo wa kupambana na Lissu?
Kama kura za wana ccm zitagawanyika kwa wagombea wawili?
Assumptions zako kuwa Membe atagombea ACT ama CCM itakuwa na wagombea wawili wa CCM Makapi na CCM Mpya? Kwa taarifa yako hapo awali Membe hakuwahi kupendwa na kudhaniwa anadeserve kumrithi Kikwete, ila kwa sasa anao umaarufu ambao kwa kweli ameujenga mwenyewe. Pia anabebwa na nyota kubwa ya wale wanaomiss JK... Lakini njia yake ya kuufikia urais ni ngumu kuliko hata ya Lissu. Magufuli bado yupo sana kwenye kiti cha urais kutokana na mfumo wa uchaguzi tulio nao.Lissu (CHADEMA) ataungwa mkono na vyama vyote vya upinzani asili.
Membe ataungwa mkono na vyama matawi ya ccm kama ACT ndani ya upinzani na CCM makapi
Magufuli ataungwa mkono na ccm mpya.
Je kuna mwenye uwezo wa kupambana na Lissu?
Kama kura za wana ccm zitagawanyika kwa wagombea wawili?
Hivi kama jpm amekuwa rais, nani mwingine atashindwa?LISSU hamna kitu, si presidential material si mzalendo na proactive mno kuwa rais ata haribu mambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo mkalale mpaka ustaraabu siju ukiingia Africa ndiyo mfanye siasa. Kwa mtizamo huu hakuna upinzani Tanzania.Nilijua toka mwanzo huna hoja, wala sishangai ww kuwa na hitimisho hili. Tofauti yako mimi na ww, ww unazungumzia siasa za mabavu ambapo mwananchi analazimishwa taka asitake kukikubali chama fulani, wakati mimi nazungumzia mtu kukikubali chama kwa hoja za ushawishi wa kisiasa bila kulazimishwa. Sasa kama unazungumzia huku Afrika ni kutawaliwa, hiyo ccm unayosema inakubalika unamaanisha nini?
Akili za watetezi wa mwenyekiti wa ccm zinatia kichefuchefu.
yuko mmoja kuna dalili zake zilionekanaShida kuna mmoja hapo anaweza asifike huwezi jua mipango ya mungu
Huyo huyo aliyemiminiwa risasi kama mvua,akanusurika kuja kueleza ukweli na kutukomboa toka mikononi mwa mkoloni mweusi.uyu uyu lisu anaefunguliwa kesi kila kukicha na kusubiliwa kwa hamu kama masiah
Sent using Jamii Forums mobile app