Vita ya Urais 2020: Lissu Vs Magufuli Vs Membe nini kitatokea?

Magufuli atashinda kwa kishindo bila goli la mkono kwa sababu zilizo wazi:

1.Wanawake walio wengi ni pro Magufuli wana tabia ya kujiandikisha na kupiga kura.
2.Wananchi wa makabila ya Wasukuma na Wanyamwezi watamchagua Magufuli.Wanyamwezi na Wasukuma ni zaidi ya theruthi mmoja ya Watanzania.
3.CCM ya Magufuli imeunganisha watu wenye kipato kidogo, kipato cha kati na zaidi wajasili mali ,wamachinga,bodaboda,mamalishe,wasanii wa Bongo movie na Bongo flava wanamkubali Magu akina Diamond na Harmonice ni kichocheo kikubwa kwa vijana na ndio wapiga kura walio wengi.
4.Mikoa kanda ya ziwa watampigia Magufuli japo wabunge na madiwani wanaweza kutokea upinzani.
5.Vivyo hivyo wajamaa wa kweli nchi mzima ni wengi kumpa kura za kutosha Magu.
6.Membe hana mvuto,labda abebwe na mbeleko ya Kikwete kama Nyerere alivyombeba Mkapa.
7.Lissu atashindana vizuri na Magufuli lakini hana uzoefu wa kazi za serikali,pia atakuwa anagombea na sitting President.
 
Kuitoa madarakani ccm sio kazi rahisi kama vilaza wachache wanavyofikiri,labda kama patakua na mabadiliko ya katiba,
"tena labda"uhakika bado ni mdogo sana hata pakiwa na tume huru, kwa jinsi upinzani ulivyo hapa tz,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haiwezi kutokea ni sawa na kusema kitatokea nini siku mkia wa Mbwa ukinyooka!!!
 
Nadhani Anamaanisha inakubaliwa kutawala kimabavu. Yaani watu wametulia wakitawaliwa kimabavu na utulivu upo na utaendelea kuwepo kwa miaka mingi sababu hakuna la kufanya zaidi ya kukubali tu. Au una la kufanya?
 
Mshindi ni ccm' hapa ccm wataangalia tu JPM tunamhitaji? Kama jibu ni ndio hata mlie, mpige matarumbeta, mfanyaje ccm itashinda tu. Kama JPM haitajiki basi ccm itashinda pia hata ikimsimamisha BM au TL. Upinzani hautashinda hata ukimsimamisha JPM. Hawana akili ya ushindi' wanataka mpaka kutokee fujo za wananchi ndo waingie ikulu. Siku wakifanikiwa kuwa na akili bila kutegemea fujo ccm itaachwa mbali sana.
 

Kamanda nenda kasome kwanza sheria za uchaguzi ndio umnadi membe wako!hahahaha umeandika vituko vitupu hahaha


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hata Mandela hakuna aliyejua angeungwa mkono na makaburu waliomfunga miaka 27 gerezani.
 
Lissu (CHADEMA) ataungwa mkono na vyama vyote vya upinzani asili.Membe ataungwa mkono na vyama matawi ya ccm kama ACT ndani ya upinzani na CCM makapi

Je kuna mwenye uwezo wa kupambana na Lissu?
Kwa sheria za uchaguzi za sasa na the so called “power of the incumbent” swali labda liwe je, kuna mwenye uwezo wa kupambana na JPJ Magufuli?

Baadhi ya Sheria zetu zinamfavor sana aliyepo madarakani. Rais wa Nchi anaweza kutoa presidential order na matokeo yakapindishwa. Tena kwa NEC hii ya sasa, hakuna mwenye ubavu wa kwenda kutangaza kitu tofauti.

Akina Mbowe na Lissu wanalijua hili vizuri sana na wataingia kwenye uchaguzi lengo sio kushinda urais ila kupata kura nyingi (labda na wabunge wengi) ili mtonyo wa ruzuku uwe mnene as well.
 
Hoja ilikuwa Magu au Membe au Lissu wakiwania u president
 
Tanzania ina vijiji takribani 19200, wewe unaenda kutolea mfano wa kijijini kwako na anachoishi mama yako unasema eti CDM inakubalika. Are you serious?

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Tanzania ina vijiji takribani 19200, wewe unaenda kutolea mfano wa kijijini kwako na anachoishi mama yako unasema eti CDM inakubalika. Are you serious?

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app

Ficha ujinga wako, ukipima malaria unatoa damu ya mwili mzima? Huyo niliyemjibu alitaka kupotosha kuwa ccm ndio inayofahimika zaidi huko vijijini, hivyo nimempa mifano halisi ya vijiji vya wazazi wangu, tena ni kwa mikoa miwili tofauti na kanda tofauti kabisa. Hiyo ndio sample ya nchi nzima.
 
Vijana wa Ufipa mnafurahisha sana. Kipindi hiki cha kujiandaa kisera, kiilani na kimkakati kwa ajili ya uchaguzi mkuu, ninyi mnaendekeza uongo, ushambenga na uzushi. Mkija kushtuka, CCM imeramba Urais, Ubunge viti kibao na Udiwani ndio usiseme. Mnarudi tena mtandaoni, tumeibiwa kura na CCM! Pumbavu!!
 
Nadhani suala la tume ya uchaguzi limo ndani ya katiba namna ya muundo wake. Hao chadema unataka kuwapa jukumu la kudai tume huru hawatofanikiwa kwa sababu mzee mkubwa alisha kataa tokea awali kwamba katiba mpya sio kipaumbele kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…