Kama ni ujinga nadhani wewe ndo unatakiwa uufiche kweli kweli. Wewe hujafanya research yoyote, so huna uhalali wowote wa kutuambia hicho chama chako kinakubalikaje huko vijijini. Maana kama ni sampling ambayo unataka kutudanganya nayo hapa, ilibidi uwe na large sample size ili kusupport analysis yako. Sasa wewe sampling unachukua kwa mama yako mzazi, Halafu out of vijiji 19200 unachukua vijiji 2 Sawa na 0.01%. Halafu unasema Chadema inakubalika vijijini, huu kama si ujuha ni kitu gani?Ficha ujinga wako, ukipima malaria unatoa damu ya mwili mzima? Huyo niliyemjibu alitaka kupotosha kuwa ccm ndio inayofahimika zaidi huko vijijini, hivyo nimempa mifano halisi ya vijiji vya wazazi wangu, tena ni kwa mikoa miwili tofauti na kanda tofauti kabisa. Hiyo ndio sample ya nchi nzima.
Wanao mzungumzia Lissu kugombea urais nakuwa siwaelewi, na hata chadema wenyewe kama watamsimamisha Lissu kugombea itakuwa wamepoteza kabla ya uchaguzi wenyewe. Sina maana ya kwamba hafai, bali nikutokana na longo longo nyingi zinazomkabili Lissu. Ikumbukwe kwamba kabla ya shambulizi alisha kuwa na kesi nyingi mahakamani na alikuwa nje kwa dhamana. Na dhamana hiyo inawezekana imeshafutwa japo haija tangazwa. Katika shambulizi lake ilisha jengwa dhana ya kwamba yeye ndie anaetakiwa kutoa maelezo/kuisaidia polisi. Na wakati yupo nje kwa matibabu alisha fanya mahojiano na vyombo mbali mbali vya habari kitu ambacho serikali haikufurahishwa na kile alichokuwa akikizungumza Lissu. Hivyo ukiangalia huu msururu wa sintofahamu kuhusu Lissu utaona wazi kwamba akikanyaga ardhi ya TZ atawakuta wanamsubiri, na dhamana itakuwa mbinde sana kuipata. Na kwa namna alivyo tishio kwa siasa za TZ tusije kushangaa adi muhula wa pili wa awamu ya 5 utaisha na yeye bado yupo ndani kwa maana ya kwamba uchunguzi hauja kamilika. Hivyo kwa Lissu kugombea urais hili jambo bado lina utata.Lissu (CHADEMA) ataungwa mkono na vyama vyote vya upinzani asili.
Membe ataungwa mkono na vyama matawi ya ccm kama ACT ndani ya upinzani na CCM makapi
Magufuli ataungwa mkono na ccm mpya.
Je kuna mwenye uwezo wa kupambana na Lissu?
Kama kura za wana ccm zitagawanyika kwa wagombea wawili?
Kama ni ujinga nadhani wewe ndo unatakiwa uufiche kweli kweli. Wewe hujafanya research yoyote, so huna uhalali wowote wa kutuambia hicho chama chako kinakubalikaje huko vijijini. Maana kama ni sampling ambayo unataka kutudanganya nayo hapa, ilibidi uwe na large sample size ili kusupport analysis yako. Sasa wewe sampling unachukua kwa mama yako mzazi, Halafu out of vijiji 19200 unachukua vijiji 2 Sawa na 0.01%. Halafu unasema Chadema inakubalika vijijini, huu kama si ujuha ni kitu gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tehe tehe... Sawa mkubwa.Kaa kwa kutulia ww dogo. Huyo niliyemquote alisema wapinzani wanajulikana mjini tu, nikampa mifano michache ambayo mimi naifahamu, achia taarifa nyingine za chama kuhusu kukubalika kwake. Inakubalika kwa kiasi gani hilo ni jambo jingine. Cdm haihitaji kushinda hivyo vijiji vyote 19,200 ili kudhibitisha kuwa inakubalika, bali inahitaji kushinda vijiji vingi kadiri iwezavyo. Na hilo cdm imefanya sana, kabla ya kuingia hizi siasa za kihayawani za awamu ya tano.
Kwa hiyo cdm nina uhakika inakubalika, kushinda vijiji vyote nchini hakuna chama kinachoweza hilo, labda chini ya siasa za kishenzi. Hili sihitaji kuambiwa na yoyote kwani huu ni ukweli ninaoufahamu na sina shaka na ukweli huo.
Lissu (CHADEMA) ataungwa mkono na vyama vyote vya upinzani asili.
Membe ataungwa mkono na vyama matawi ya ccm kama ACT ndani ya upinzani na CCM makapi
Magufuli ataungwa mkono na ccm mpya.
Je kuna mwenye uwezo wa kupambana na Lissu?
Kama kura za wana ccm zitagawanyika kwa wagombea wawili?
Na mimi ni mwananchi, nasimama nawewe.Mimi ni mwananchi na simpendi magufili, sasa hao wananchi unaowazungumzia wako wapi? Rwanda?
Lissu (CHADEMA) ataungwa mkono na vyama vyote vya upinzani asili.
Membe ataungwa mkono na vyama matawi ya ccm kama ACT ndani ya upinzani na CCM makapi
Magufuli ataungwa mkono na ccm mpya.
Je kuna mwenye uwezo wa kupambana na Lissu?
Kama kura za wana ccm zitagawanyika kwa wagombea wawili?
Huu ubaguzi wa kikabila,kikanda nk ndiyo Sera mpya ya CCM?Kama huyo unayemwita sitting President mbona yeye na chama chake wanaogopa Katiba Mpya na Tume Huru?Magufuli atashinda kwa kishindo bila goli la mkono kwa sababu zilizo wazi:
1.Wanawake walio wengi ni pro Magufuli wana tabia ya kujiandikisha na kupiga kura.
2.Wananchi wa makabila ya Wasukuma na Wanyamwezi watamchagua Magufuli.Wanyamwezi na Wasukuma ni zaidi ya theruthi mmoja ya Watanzania.
3.CCM ya Magufuli imeunganisha watu wenye kipato kidogo, kipato cha kati na zaidi wajasili mali ,wamachinga,bodaboda,mamalishe,wasanii wa Bongo movie na Bongo flava wanamkubali Magu akina Diamond na Harmonice ni kichocheo kikubwa kwa vijana na ndio wapiga kura walio wengi.
4.Mikoa kanda ya ziwa watampigia Magufuli japo wabunge na madiwani wanaweza kutokea upinzani.
5.Vivyo hivyo wajamaa wa kweli nchi mzima ni wengi kumpa kura za kutosha Magu.
6.Membe hana mvuto,labda abebwe na mbeleko ya Kikwete kama Nyerere alivyombeba Mkapa.
7.Lissu atashindana vizuri na Magufuli lakini hana uzoefu wa kazi za serikali,pia atakuwa anagombea na sitting President.
Kwa hiyo hizi kesi na kushambuliwa kwake ni mkakati wa muda Mrefu wa kumzuia kuwa mgombea?Lissu anafaa na kukubalika kutokana na historian take ya kutetea wananchi.Wanao mzungumzia Lissu kugombea urais nakuwa siwaelewi, na hata chadema wenyewe kama watamsimamisha Lissu kugombea itakuwa wamepoteza kabla ya uchaguzi wenyewe. Sina maana ya kwamba hafai, bali nikutokana na longo longo nyingi zinazomkabili Lissu. Ikumbukwe kwamba kabla ya shambulizi alisha kuwa na kesi nyingi mahakamani na alikuwa nje kwa dhamana. Na dhamana hiyo inawezekana imeshafutwa japo haija tangazwa. Katika shambulizi lake ilisha jengwa dhana ya kwamba yeye ndie anaetakiwa kutoa maelezo/kuisaidia polisi. Na wakati yupo nje kwa matibabu alisha fanya mahojiano na vyombo mbali mbali vya habari kitu ambacho serikali haikufurahishwa na kile alichokuwa akikizungumza Lissu. Hivyo ukiangalia huu msururu wa sintofahamu kuhusu Lissu utaona wazi kwamba akikanyaga ardhi ya TZ atawakuta wanamsubiri, na dhamana itakuwa mbinde sana kuipata. Na kwa namna alivyo tishio kwa siasa za TZ tusije kushangaa adi muhula wa pili wa awamu ya 5 utaisha na yeye bado yupo ndani kwa maana ya kwamba uchunguzi hauja kamilika. Hivyo kwa Lissu kugombea urais hili jambo bado lina utata.
Anaeogopa katiba mpya ni yule alietuachia katiba hewa tuliogharamia mabilioni ya shilling mwishowake akachomoa.Huu
Huu ubaguzi wa kikabila,kikanda nk ndiyo Sera mpya ya CCM?Kama huyo unayemwita sitting President mbona yeye na chama chake wanaogopa Katiba Mpya na Tume Huru?
Kumekucha !Lissu (CHADEMA) ataungwa mkono na vyama vyote vya upinzani asili.
Membe ataungwa mkono na vyama matawi ya ccm kama ACT ndani ya upinzani na CCM asili
Magufuli ataungwa mkono na ccm dola.
Je kuna mwenye uwezo wa kupambana na Lissu?
Kama kura za wana ccm zitagawanyika kwa wagombea wawili?
Tatizo refarii au tume ya uchaguzi ndo maana huwa nawashangaa vyama vya upinzani especially. chadema badala ya kudai mabadiliko ya tume ya uchaguzi wao wapo bize kujadili vitu Ambaavyo havisaidii choochote katka. Harakati zao za kupata Rais na miaka inazidi kwenda.Wangekuwa wamekomalia hili la tume huru. Tangu miaka ya 2000. Sasa hvi labda tungekuwa tunazungumza story nyingine kabisa.