Watu wote wenye akili wanaliangalia hili tatizo kwa kina na wanaona chanzo ni Mmarekani sababu yeye ndio ana influence dhidi ya washirika wote wa Nato.Sawa kabisa, na NATO washenzi, wamemponza mwenzao, anapigana Vita mwenyewe, na Warusi wanahitaji hilo eneo ili wamarekani na vibaraka wao, wawe mbali! Crimea kule mrusi anaiangalia Bahari, wakitaka kuleta manowari zao yupo!
In fact puppet masters wamarekani wamebambwa na hila zao!
Poland yupo nyuma ya Belarus, kufika Poland lazima wapitie Belarus, Belarus iko katikati ya Urusi na Poland!Kwani nuclear za NATO haziwezi kuwa pale Poland je Urusi haathiriki kwa Poland kuwa mwanachama wa NATO?
Sawa nakubaliana nawe ila naomba kujua kwahiyo Urusi hakuona athari yoyote kwa Poland kuwa mshirika wa NATO? Makombora ya nyuklia kutoka Poland hadi kufika Moscow ba shaka ni mwendo wa dakika chache tu.Poland yupo nyuma ya Belarus, kufika Poland lazima wapitie Belarus, Belarus iko katikati ya Urusi na Poland!
Poland kweli ni a matter of seconds. Lakini Vita itaathiri innocent lives, za nchi ya Ukraine ikiwa hayupo kokote!Sawa nakubaliana nawe ila naomba kujua kwahiyo Urusi hakuona athari yoyote kwa Poland kuwa mshirika wa NATO? Makombora ya nyuklia kutoka Poland hadi kufika Moscow ba shaka ni mwendo wa dakika chache tu.
Je hili la baadhi ya majirani kujiunga na NATO haikuwa shida?
Kipindi hicho Poland na wengine walipokuwa wanajiunga, urusi alikuwa na changamoto nyingi za kijeshi na kiuchumi baada ya kuanguka kwa Soviet Union. Kwahiyo ilihitaji muda wa maandalizi kuweza kutunishiana misuli na mahasimu wake wa magharibi. Enzi za Boris Yeletstin wamarekani waliamini tayari wameimaliza urusi na hivyo nguvu kubwa wakaelekeza uarabuni, huku nyuma urusi akaendelea kujipanga na kujiimarisha kijeshi na kiuchumi, chini ya utawala wa Putin, Medvedev na baadae Putin tena.Sawa nakubaliana nawe ila naomba kujua kwahiyo Urusi hakuona athari yoyote kwa Poland kuwa mshirika wa NATO? Makombora ya nyuklia kutoka Poland hadi kufika Moscow ba shaka ni mwendo wa dakika chache tu.
Je hili la baadhi ya majirani kujiunga na NATO haikuwa shida?
Unakumbuka zanzibar na umoja wa nchi za kiaarabu?Hiyo ni sawa walikubaliana nato isijitanue lakini kwa dunia ya leo kila nchi ni huru inayo uwezo wa kuamua mambo yake bila kuingiliwa na nchi nyingine. Inachopigania ukrein ni uhuru wake wa kuamua mambo bila kuingiliwa na urusi. Kama vile urusi nayo inaamua mambo yake mwenyewe bila kuingiliwa na nchi nyingine. Mfano leo kenya na uganda wakea waamue Tanzania isijiunge na umoja fulani we unafikiri Tanzania itajisikia jee si ni bora waende vitani tuu ili wajue moja.
Hakika watakuwepo ila tutapingana nao kihoja Tu.Ukija na uchambuzi wako yakinifu kuna akili mbuzi wataupinga bila ya kuwa na facts wala data
Mkuu kumbuka historia ya nchi hizo, kiasili hao ni wamoja, tofauti na huo mfano wako wa nairobi na dar.... Na walishakubaliana kitambo na hao wakubwa wa magharibi wakiongozawa na us , lakini ukaidi na ubabe ndio unamuumiza zelensky.. Huku hao nato wakiwa nakula mvinyo tuu kwenye manchi yao..Hiyo ni sawa walikubaliana nato isijitanue lakini kwa dunia ya leo kila nchi ni huru inayo uwezo wa kuamua mambo yake bila kuingiliwa na nchi nyingine. Inachopigania ukrein ni uhuru wake wa kuamua mambo bila kuingiliwa na urusi. Kama vile urusi nayo inaamua mambo yake mwenyewe bila kuingiliwa na nchi nyingine. Mfano leo kenya na uganda wakea waamue Tanzania isijiunge na umoja fulani we unafikiri Tanzania itajisikia jee si ni bora waende vitani tuu ili wajue moja.
Makubaliano yaheshimiwe mbona wewe leo huna umiliki wa ziwa victoria na lipo kwakoHiyo ni sawa walikubaliana nato isijitanue lakini kwa dunia ya leo kila nchi ni huru inayo uwezo wa kuamua mambo yake bila kuingiliwa na nchi nyingine. Inachopigania ukrein ni uhuru wake wa kuamua mambo bila kuingiliwa na urusi. Kama vile urusi nayo inaamua mambo yake mwenyewe bila kuingiliwa na nchi nyingine. Mfano leo kenya na uganda wakea waamue Tanzania isijiunge na umoja fulani we unafikiri Tanzania itajisikia jee si ni bora waende vitani tuu ili wajue moja.
Kama nchi zipo huru kwa nini Iran,Korea zinazuiwa na Wazungu kuunda silaha za nyuklia ?Hiyo ni sawa walikubaliana nato isijitanue lakini kwa dunia ya leo kila nchi ni huru inayo uwezo wa kuamua mambo yake bila kuingiliwa na nchi nyingine. Inachopigania ukrein ni uhuru wake wa kuamua mambo bila kuingiliwa na urusi. Kama vile urusi nayo inaamua mambo yake mwenyewe bila kuingiliwa na nchi nyingine. Mfano leo kenya na uganda wakea waamue Tanzania isijiunge na umoja fulani we unafikiri Tanzania itajisikia jee si ni bora waende vitani tuu ili wajue moja.
Ndio maana wako vitani, kama alivyochambua mleta mada!Hiyo ni sawa walikubaliana nato isijitanue lakini kwa dunia ya leo kila nchi ni huru inayo uwezo wa kuamua mambo yake bila kuingiliwa na nchi nyingine. Inachopigania ukrein ni uhuru wake wa kuamua mambo bila kuingiliwa na urusi. Kama vile urusi nayo inaamua mambo yake mwenyewe bila kuingiliwa na nchi nyingine. Mfano leo kenya na uganda wakea waamue Tanzania isijiunge na umoja fulani we unafikiri Tanzania itajisikia jee si ni bora waende vitani tuu ili wajue moja.
Kwa sasa nimeelewa vyema. Shukrani mkuu.Kipindi hicho Poland na wengine walipokuwa wanajiunga, urusi alikuwa na changamoto nyingi za kijeshi na kiuchumi baada ya kuanguka kwa Soviet Union. Kwahiyo ilihitaji muda wa maandalizi kuweza kutunishiana misuli na mahasimu wake wa magharibi. Enzi za Boris Yeletstin wamarekani waliamini tayari wameimaliza urusi na hivyo nguvu kubwa wakaelekeza uarabuni, huku nyuma urusi akaendelea kujipanga na kujiimarisha kijeshi na kiuchumi, chini ya utawala wa Putin, Medvedev na baadae Putin tena.