G-Funk
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,398
- 5,554
Watu wote wenye akili wanaliangalia hili tatizo kwa kina na wanaona chanzo ni Mmarekani sababu yeye ndio ana influence dhidi ya washirika wote wa Nato.Sawa kabisa, na NATO washenzi, wamemponza mwenzao, anapigana Vita mwenyewe, na Warusi wanahitaji hilo eneo ili wamarekani na vibaraka wao, wawe mbali! Crimea kule mrusi anaiangalia Bahari, wakitaka kuleta manowari zao yupo!
In fact puppet masters wamarekani wamebambwa na hila zao!
Sio mara ya kwanza Marekani kuanzisha choko choko hizo.