Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

Sadam Husain alifanya propaganda hivyohivyo baadae akaishia kula kitanzi ,
Muamar Gaddafi aliongea utumbo matokeo yake akajificha kwenye mtaro wa majitaka !
Mmarekani akikuamaulia kung,oka utang,oka tu...
Usimlinganishe Saddam au Kadafi na Putin my friend.
Saddam alikua ananunua SILAHA, mrusi anatengeneza SILAHA.
 
urusi ni miongoni mwa nchi ambazo wananchi wake wana IQ kubwa bunge lao usilifananishe na hili la kina babu tale
unajua nini kuhusu watu wa Hong Kong na Japan?.
unataarifa kuwa watu wa hong Kong wapo controled na China?. unajua Japan ipo china falme moja kwa karne zaidi 25 zilizopita hadi leo bado family hiyo inatawala wajapan wenzao ijapokuwa wapo kwenye list ya watu wenye IQ Kubwa.
na ni utafuti upi unaosha kuwa watu wa Urusi wana IQ kubwa?.
na kuwa na watu IQ kubwa kunazuiaje serikali kupoka bunge na mihimili mingine?.
 
[emoji635][emoji1255][emoji298]Footage of destroyed Ukrainian radar stations near Mariupol. https://t.co/tBxzuZFFx8
20220224_114501.jpg
20220224_114459.jpg
 
Wamekua wanyonge sana hawa mbwa, maana Libya Afghanistan na Iraq wameuwa sana ila huku wanatia huruma [emoji23][emoji23]

NATO chief Stoltenberg:

  • We have over 100 jets protecting our airspace
  • Virtual NATO leader summit will be held tomorrow
  • We'll do what's necessary to shield alliance from aggression https://t.co/dIV9OByTIg
 
Hana uwezo wa kutawala dunia, Yeye kama Superpower amefanya nini alipowekewa vikwazo?

Putin amefanya nini kwa ustawi wa dunia? Dunia ya wastaarabu hawapendi vita ndio maana wanamuona kama kichaa mmoja, Unafikiri US na NATO wakiingia nini kitatokea? Vita ya Dunia ya 3.
Chief penda na kufuatilia habari za vyombo visivyo vya nchi za magharibi.....
 
Hana uwezo wa kutawala dunia, Yeye kama Superpower amefanya nini alipowekewa vikwazo?

Putin amefanya nini kwa ustawi wa dunia? Dunia ya wastaarabu hawapendi vita ndio maana wanamuona kama kichaa mmoja, Unafikiri US na NATO wakiingia nini kitatokea? Vita ya Dunia ya 3.
USA kavamia nchi ngapi hapa duniani na kaua waelfu ya watu
 
Hao raia ndio wamemuweka hapo,Bunge la Russia limemruhusu Putia kutumia jeshi ila wewe uliyepo huko Kibaigwa ndio unaumia na unajua zaidi sio?
Ajabu kabisa 🤣🤣

Hao ndio wanaosema CCM ni tatizo....🤣

Wangejua CCM ndio inayofanya UTULIVU wa taifa letu pendwa wangeamka na kukipenda mno.....

#Siempre CCM🙏
 
Sisi waafrika n wajinga Sana

Marekan alikuja hapa Africa akamuua muhamad gadafi lakini hakuna aliyepiga kelele

Leo wazungu wanataka kuuana wenyewe kwa wenyewe eti tunakuwa na huruma na kupiga kelele Kama jibwa kinalohtaji bwana

Kama tungekuwa tunapendana nadhan tungeungana kumpigania gadafi

WAAFRIKA AKILI ZETU TIMESHIKIWA NA WAZUNGU

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Muarabu Gadaffi na Uafrika wapi na wapi? Gadafi alivyofurumushwa nilifurahi sana.
 
Putin ni tishio kwa dunia,

Ndio maana wakati wote hataki kuondoka madarakani, Ila wa Russia wote ni ndezi tu, mtu mmoja anakuwaje na nguvu namna hiyo? Yaani hata alipompa madaraka ya urais Medvedev ulikuwa ni uhuni tu, bado yeye ndio alikuwa mtawala.
Mbona nyie mliufyata kwa JPM,?halafu jengine,warusi wanampenda na wanamhitaji sana Putin,
 
Back
Top Bottom