STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Mbwa kala mambaHatimae wazee wa kupiganisha leo mmeotea mkeka😂
Usimlinganishe Saddam au Kadafi na Putin my friend.Sadam Husain alifanya propaganda hivyohivyo baadae akaishia kula kitanzi ,
Muamar Gaddafi aliongea utumbo matokeo yake akajificha kwenye mtaro wa majitaka !
Mmarekani akikuamaulia kung,oka utang,oka tu...
unafananisha libya na russiaSadam Husain alifanya propaganda hivyohivyo baadae akaishia kula kitanzi ,
Muamar Gaddafi aliongea utumbo matokeo yake akajificha kwenye mtaro wa majitaka !
Mmarekani akikuamaulia kung,oka utang,oka tu...
unajua nini kuhusu watu wa Hong Kong na Japan?.urusi ni miongoni mwa nchi ambazo wananchi wake wana IQ kubwa bunge lao usilifananishe na hili la kina babu tale
🤣🤣Ukimaliza hizo ndoto zako za kukojoa kitandani utoe hilo godoro nje uanike
Chief penda na kufuatilia habari za vyombo visivyo vya nchi za magharibi.....Hana uwezo wa kutawala dunia, Yeye kama Superpower amefanya nini alipowekewa vikwazo?
Putin amefanya nini kwa ustawi wa dunia? Dunia ya wastaarabu hawapendi vita ndio maana wanamuona kama kichaa mmoja, Unafikiri US na NATO wakiingia nini kitatokea? Vita ya Dunia ya 3.
🤣🤣Form four division 0 zero ni kazi sana. Hivi vyakula vya kizungu vinaharibu akili watu wanakuwa mazezeta sana.
USA kavamia nchi ngapi hapa duniani na kaua waelfu ya watuHana uwezo wa kutawala dunia, Yeye kama Superpower amefanya nini alipowekewa vikwazo?
Putin amefanya nini kwa ustawi wa dunia? Dunia ya wastaarabu hawapendi vita ndio maana wanamuona kama kichaa mmoja, Unafikiri US na NATO wakiingia nini kitatokea? Vita ya Dunia ya 3.
Ajabu kabisa 🤣🤣Hao raia ndio wamemuweka hapo,Bunge la Russia limemruhusu Putia kutumia jeshi ila wewe uliyepo huko Kibaigwa ndio unaumia na unajua zaidi sio?
CCM ndio nguzo ya amani ya taifa letu....jifunue shuka hilo MCHANA HUU......Kwa hiyo na sisi watz ni mandezi kwa kukubali ccm ituburute miaka yote?
Sisi waafrika n wajinga Sana
Marekan alikuja hapa Africa akamuua muhamad gadafi lakini hakuna aliyepiga kelele
Leo wazungu wanataka kuuana wenyewe kwa wenyewe eti tunakuwa na huruma na kupiga kelele Kama jibwa kinalohtaji bwana
Kama tungekuwa tunapendana nadhan tungeungana kumpigania gadafi
WAAFRIKA AKILI ZETU TIMESHIKIWA NA WAZUNGU
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mbona nyie mliufyata kwa JPM,?halafu jengine,warusi wanampenda na wanamhitaji sana Putin,Putin ni tishio kwa dunia,
Ndio maana wakati wote hataki kuondoka madarakani, Ila wa Russia wote ni ndezi tu, mtu mmoja anakuwaje na nguvu namna hiyo? Yaani hata alipompa madaraka ya urais Medvedev ulikuwa ni uhuni tu, bado yeye ndio alikuwa mtawala.
Itauwa vita ya wenyewe kwa wenyewe ulayaVita ya tatu ya Dunia ,si watakuwa wanapigana huko ulaya , ni wakati wa Afrika kuwa superpower