Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Masaa machache baada ya kuteuliwa kwake tayari imeripotiwa kuweko na misururu mirefu ya vifaru na silaha nzito kuelekea miji ambayo tayari inadhibitiwa na Urusi nchini Ukraine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na chakula tuliambiwa hawana,wanakufa kwa njaaSilaha gani tena? Situliambiwa Urusi kaishiwa silaha ana omba kwa china.
Ndiyo lengo?Mwelekeo wa vita hadi sasa moscow imeshafeli ,option ya putin iliyobaki ni kutumia nuclear weapon ili aichukue a rdhi ya ukraine
mzee puto kapagawa mwezi na nusu sasa ameshindwa kumaliza mchezo, na majeshi yake yamekula mkong'oto yamerudi nyuma, sasa imebidi ajipange tena maana alifikiri vita ingekuwa rahisi kwake amebweeka mara ohh naweka makombora ya nyuklia kwenye high alert wanaume wanamtazama tu wala hawatishiki, mara ohh wanajeshi wa ukraine wajisalimishe wenyewe, wanaume wakakaza, mara ohh atakayemsaidia ukraine nitadeal nae, ukraine kasaidiwa na anaendelea kusaidiwa, sasa chawa wa russia wakasema ohh zelensky ashakimbia nchi, Boris jana alikuwa naye kyiev anagonga mvinyo huku wakilicheka babu puto kwa zerauu, na Italy ashasema soon anareopen ubalozi wake, huku finland na sweden inatarajiwa soon watajoin nato. Kwa kifupi putin kwa sasa anachezeshwa kama mwanasesere kufanya regime change aweke kibaraka wake ameshindwa, kwenye uchumi amefeli, rafikiye mchina amamtazama kwa mbaaaaali maana anajua kwa sasa russia ananuka nuksi na shombo laana so hataki kujiungamnisha naye kwa 100% maana anajua urusi kiuchumi si size yake yeye kwa sasa anataka ampiku US. Huku rafikiye Imran Khan wa pakistan naye kafurushwa yaan ni sheeeda. Sasa hapo anapambana na ukraine anatokwa na jasho la nywele halafu eti ndo awe na uwezo wa kuikabili nato thubutuuuu ingawa warusi wa mchambawima na matombo watabisha maana wana mahaba sana na babu puto na watakwambia babu puto ana akili nyingi sanaaaaa."Haiwezekani nipeleke msafara wa vifaru wenye urefu wa km 64 kwenda kupigana na comedian harafu msafara wote uteketezwe . kuna hujuma nafanyiwa hapa.Nimeamua kubadirisha makamanda . kwa kweli msiniangushe " alisikika kichaa Putin wa🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺.😁😁😁😁😁😁
Kama ikibidi sio mbaya silaha si zakwake MKUUMwelekeo wa vita hadi sasa moscow imeshafeli ,option ya putin iliyobaki ni kutumia nuclear weapon ili aichukue a rdhi ya ukraine
👊👊👊mzee puto kapagawa mwezi na nusu sasa ameshindwa kumaliza mchezo, na majeshi yake yamekula mkong'oto yamerudi nyuma, sasa imebidi ajipange tena maana alifikiri vita ingekuwa rahisi kwake amebweeka mara ohh naweka makombora ya nyuklia kwenye high alert wanaume wanamtazama tu wala hawatishiki, mara ohh wanajeshi wa ukraine wajisalimishe wenyewe, wanaume wakakaza, mara ohh atakayemsaidia ukraine nitadeal nae, ukraine kasaidiwa na anaendelea kusaidiwa, sasa chawa wa russia wakasema ohh zelensky ashakimbia nchi, Boris jana alikuwa naye kyiev anagonga mvinyo huku wakilicheka babu puto kwa zerauu, na Italy ashasema soon anareopen ubalozi wake, huku finland na sweden inatarajiwa soon watajoin nato. Kwa kifupi putin kwa sasa anachezeshwa kama mwanasesere kufanya regime change aweke kibaraka wake ameshindwa, kwenye uchumi amefeli, rafikiye mchina amamtazama kwa mbaaaaali maana anajua kwa sasa russia ananuka nuksi na shombo laana so hataki kujiungamnisha naye kwa 100% maana anajua urusi kiuchumi si size yake yeye kwa sasa anataka ampiku US. Huku rafikiye Imran Khan wa pakistan naye kafurushwa yaan ni sheeeda. Sasa hapo anapambana na ukraine anatokwa na jasho la nywele halafu eti ndo awe na uwezo wa kuikabili nato thubutuuuu ingawa warusi wa mchambawima na matombo watabisha maana wana mahaba sana na babu puto na watakwambia babu puto ana akili nyingi sanaaaaa.
hebu tueleze ni kwanini Putin hataki Ukraine ajiunge NATO ?Kama ikibidi sio mbaya silaha si zakwake MKUU
Mwelekeo wa vita hadi sasa moscow imeshafeli ,option ya putin iliyobaki ni kutumia nuclear weapon ili aichukue a rdhi ya ukraine
Mkuu nyuklia unaijua lakini? Usije kuwa unaongelea ile ya kwenye seli tunayoisoma kwenye biologyMwelekeo wa vita hadi sasa moscow imeshafeli ,option ya putin iliyobaki ni kutumia nuclear weapon ili aichukue a rdhi ya ukraine
Mkuu nyuklia unaijua lakini? Usije kuwa unaongelea ile ya kwenye seli tunayoisoma kwenye biology
Mass destruction weaponMkuu nyuklia unaijua lakini? Usije kuwa unaongelea ile ya kwenye seli tunayoisoma kwenye biology
Kwa sasa uwezo wa kijeshi wa ukraine kwa ndani ya nchi hana inabidi asaidiwe toka nje......na awamu ya kwanza ya uvamizi mrusi alijikita zaidi kwenye kuipunguza uwezo wa kijeshi wa Ukraine, ya pili ni kwenda kuimega mashariki, sasa kama ataweza kuendeleza vita kwa supply za majirani ajipange tu itakua ni vita ndeefuKumbadilisha kamanda midway kunamaanisha wazi kwamba ile wanayoita awamu ya kwanza tayari ni majanga matupu na kwamba sasa wanatafuta namna ya kufanya 'amends'
Lakini kwa namna ambavyo Ukraine ameimarishwa kijeshi na maadui wa Russia ambao wanasema hii ndio itakuwa ni a decisive battle to restore the Ukrainian sovereignty na wanaamini fika kwamba Russia atamalizwa kwenye hivi vita kiasi kwamba wameshaanza kumuandalia Ukraine uwanachama wa EU ikiwa kama prelude ya wao kujiunga na Nato.