Vita ya Urusi na Ukraine vyaendelea kuwa vikali baada Putin kubadili kamanda

Vita ya Urusi na Ukraine vyaendelea kuwa vikali baada Putin kubadili kamanda

"Haiwezekani nipeleke msafara wa vifaru wenye urefu wa km 64 kwenda kupigana na comedian harafu msafara wote uteketezwe . kuna hujuma nafanyiwa hapa.Nimeamua kubadirisha makamanda . kwa kweli msiniangushe " alisikika kichaa Putin wa🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺.😁😁😁😁😁😁
Hakuna msafara wa Urusi ulioteketezwa,achana na propaganda na video game.
Kubadilisha kamanda hakumaanishi aliyekuqwpo kashindwa.
Kumbuka hii Sasa inaanza Ile hatua ya pili na kazi hii mwenye utaalu wake ni huyu bwana.hata kumpa mapumziko TU aliekuwepo mwanzo.
Kumbuka Putin alisema op ya kwanza imefanukiwa sasa inkuja awamu ya pili na askari wengi watakua wapya na ndio hao kwenye msafara.
 
Kwa lugha rahisi utakayoielewa:

Ukraine kujiunga NATO na kumsogeza USA sebuleni ni sawa na mshkaji aliyekuwa amamgonga mkeo kabla hujamuoa kuhamia nyumba opposite kabisa na hapo kwenu huku wewe ukiwa mfanyabiashara unayesafiri sana.

Umenisoma au nifafanue zaidi?
Wengi wamekupongeza bila kufikiri kwa mfano wako.Kumbe ulikuwa hujamuoa wakati huo.Muda huu hata kama yupo jirani nimuone akikenua na mke wangu.
Kama NATO wanataka kucheka na Ukraine basi ama wamchukue kwao au wasubiri nimalizane naye.
 
mzee puto kapagawa mwezi na nusu sasa ameshindwa kumaliza mchezo, na majeshi yake yamekula mkong'oto yamerudi nyuma, sasa imebidi ajipange tena maana alifikiri vita ingekuwa rahisi kwake amebweeka mara ohh naweka makombora ya nyuklia kwenye high alert wanaume wanamtazama tu wala hawatishiki, mara ohh wanajeshi wa ukraine wajisalimishe wenyewe, wanaume wakakaza, mara ohh atakayemsaidia ukraine nitadeal nae, ukraine kasaidiwa na anaendelea kusaidiwa, sasa chawa wa russia wakasema ohh zelensky ashakimbia nchi, Boris jana alikuwa naye kyiev anagonga mvinyo huku wakilicheka babu puto kwa zerauu, na Italy ashasema soon anareopen ubalozi wake, huku finland na sweden inatarajiwa soon watajoin nato. Kwa kifupi putin kwa sasa anachezeshwa kama mwanasesere kufanya regime change aweke kibaraka wake ameshindwa, kwenye uchumi amefeli, rafikiye mchina amamtazama kwa mbaaaaali maana anajua kwa sasa russia ananuka nuksi na shombo laana so hataki kujiungamnisha naye kwa 100% maana anajua urusi kiuchumi si size yake yeye kwa sasa anataka ampiku US. Huku rafikiye Imran Khan wa pakistan naye kafurushwa yaan ni sheeeda. Sasa hapo anapambana na ukraine anatokwa na jasho la nywele halafu eti ndo awe na uwezo wa kuikabili nato thubutuuuu ingawa warusi wa mchambawima na matombo watabisha maana wana mahaba sana na babu puto na watakwambia babu puto ana akili nyingi sanaaaaa.
Kwa mipasho hujambo ningekuwa Putin ningekupiga kwa Bomu la nyuklia la peke yako una shombo mingi sana ww
 
Hivi puttin angeamua kuuwa innocent people tena kwa mabomu kama wafanyavyo marekani na Nato kwenye nchi za kiarabu, i think masaa 72 tu angeshamaliza kazi.
Wanaua watu wengi hata hesabu ni shida kupatikana kwenye matanga na harusi na tume hazileti majibu yoyote na wala haiwi nongwa.Lakini waliokufa kituo cha treni imekuwa shida zaidi.Naamini haikukusudiwa kama anavyofanya Marekani.
 
1650117662357.png

Hii ndio hali ya Kyiv leo
 
Wanaua watu wengi hata hesabu ni shida kupatikana kwenye matanga na harusi na tume hazileti majibu yoyote na wala haiwi nongwa.Lakini waliokufa kituo cha treni imekuwa shida zaidi.Naamini haikukusudiwa kama anavyofanya Marekani.
Kweli duniani hatari sana. Kwa iyo Russia anataka kusema vita ikiisha ataweza kukalia Ukraine

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom