Hakuna vita virefu bwana, Russia hiyo jeuri hana ya kupigana na nchi za magharibi "A protracted war".Kwa sasa uwezo wa kijeshi wa ukraine kwa ndani ya nchi hana inabidi asaidiwe toka nje......na awamu ya kwanza ya uvamizi mrusi alijikita zaidi kwenye kuipunguza uwezo wa kijeshi wa Ukraine, ya pili ni kwenda kuimega mashariki, sasa kama ataweza kuendeleza vita kwa supply za majirani ajipange tu itakua ni vita ndeefu
Hii awamu walikuwa wanamsoma kuona her military capability, strength and weaknesses na tayari wameshamuelewa sasa subiri ngoma utashuhudia mwenyewe.
Kwanza safari hii hawatampa kabisa uwezo wa kuwa na air superiority na watamkatia supply lines, yaani himaya ya Putin ndio inaelekea ukingoni hivyo. Watu wanataka kuanza kuongelea hadithi ya Post Putin Russia.