Vita ya Urusi na Ukraine vyaendelea kuwa vikali baada Putin kubadili kamanda

Vita ya Urusi na Ukraine vyaendelea kuwa vikali baada Putin kubadili kamanda

General Alex, ni hatari sana, is among the most dangerous General in Russia, Ukraine is going to hell. Wait & see
Tume wait and see zaidi ya mwezi mzima sasa na hakuna cha maana kilichotokea
 
Hakuna vita virefu bwana, Russia hiyo jeuri hana ya kupigana na nchi za magharibi "A protracted war".

Hii awamu walikuwa wanamsoma kuona her military capability, strength and weaknesses na tayari wameshamuelewa sasa subiri ngoma utashuhudia mwenyewe.

Kwanza safari hii hawatampa kabisa uwezo wa kuwa na air superiority na watamkatia supply lines, yaani himaya ya Putin ndio inaelekea ukingoni hivyo. Watu wanataka kuanza kuongelea hadithi ya Post Putin Russia.
Watu mmevimbiwa mbaazi mnatusa tu mashuzi.
tapatalk_1591427076529.jpg
 
Yani Ukraine kujiamulia mambo yake mwenyewe imekuwa shida,au kwakuwa kajiamulia mambo yasiyompendeza Russia ndiyo kosa lake? Taifa huru ni lile linalojiamulia mambo yake lenyewe bila kusikiliza matakwa ya Taifa jirani Period.
Kama vipi mwambie bwanako apige nyeto hadharani ili ujue kama uhuru huo utachekewa na watu.
 
General Alex, ni hatari sana, is among the most dangerous General in Russia, Ukraine is going to hell. Wait & see

RUSSIA sio ZIMBABWE
Hayo unayoyawaza kwamba watamfanyia PUT IN na RUSSIA hata hao wenyewe hawajawahi waza kufanya huo UJUHA
Maana watateseka !!!
First tuliambiwa Kiyv itaanguka soon , tukasubir , kumbe chenga tupu , tukaambiwa halikuwa lengo la Putin 😌 , sasa kabadlisha commanding officer, mission ni kuyachukua majimbo ya mashariki , Sisi kazi yetu ni kusubiri mafanikio, wala sio blah blah
 
Hiyo haitatokea, warusi siyo watu wa kushindwa. Wanaroho ngumu zaidi ya Korea ya kasikazini.
Wameshindwa mara nyingi tu na hilo liko documented kabisa, 1903, 1940, 1989 na leo 2022. No country is invincible.
 
Ndiyo utakwenda kumpiga au utafuata taratibu za kisheria kama kwenda kushtaki kwa mjumbe?
Mjumbe atakuchelewesha bure.Huyu kakukosea adabu toka umfanyie vurugu ama aondoe maspika yake au yeye ndio aende kulalamika.
 
Kwa sasa uwezo wa kijeshi wa ukraine kwa ndani ya nchi hana inabidi asaidiwe toka nje......na awamu ya kwanza ya uvamizi mrusi alijikita zaidi kwenye kuipunguza uwezo wa kijeshi wa Ukraine, ya pili ni kwenda kuimega mashariki, sasa kama ataweza kuendeleza vita kwa supply za majirani ajipange tu itakua ni vita ndeefu
Pia Russia ijiangalie maana maana walipa Kodi na mzunguko fedha umepungua .
 
Kwa lugha rahisi utakayoielewa:

Ukraine kujiunga NATO na kumsogeza USA sebuleni ni sawa na mshkaji aliyekuwa amamgonga mkeo kabla hujamuoa kuhamia nyumba opposite kabisa na hapo kwenu huku wewe ukiwa mfanyabiashara unayesafiri sana.

Umenisoma au nifafanue zaidi?
Fafanunua. maana Russia na Ukrain si nchi Moja tena.kupitia huo mfano mkeo msha anchana nae saiv ni chambo la masela
 
Sasa tutarajie mazuri kutoka kwa mkubwa, baada ya kuimega ukrein yote na kuwa nchi moja ya URUSSI.
Kwani huja skia kuwa Kwa upande wa Belarus Wamesepa baada ya kichapo kikali na Wana kilbilia mashariki
 
Back
Top Bottom