Vita ya Vinywaji...

Pombe ni dhambi jamani acheni, imeandikwa ole wake ampae mwenzie kilevi. Tena ole wake aamkiae kilevi.
Pombe haina dhambi yoyote ndugu, matokeo yake ndio shida kama huwezi jimudu achana nayo, hujui hata ukila chakula ukavimbiwa ni dhambi?
 
Mzee baba we utakuwa umekunywa maji ya bendera ya TBL... hahahaha

Huko bar Castle lite zimekuwa kama mapambo wallah
Hahahaaa! sisi wadau wa longi hatutupi jongoo na mti wake. mda utafika tu heshima itarudi. Serengeti hawana chao kwenye baa, fikiria bia zao za tusker na serengeti yenyewe, zinajikongoja na ni sababu tu ni za kitambo ndo maana bado ziko sokoni. Miaka michache ya nyuma walitoa serengeti yao (cha ajabu hata jina nimeisahau) lakini haikudumu hata miaka mitatu ikapotea, tena ilikuwa inapatikana baadhi ya maeneo tu.
 
Hahahaha...Mdau yuko team gani?

Kama ni team K vant najua utakuwa unapata shughuli pevu kunako... Majamaa yanasema eti K Vant... Hiyo K imesimama badala ya "K" pendwa mnayoimiliki kwenye via vya uzazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Babu shikamoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…