Bob Kawari
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 1,231
- 1,621
Pombe haina dhambi yoyote ndugu, matokeo yake ndio shida kama huwezi jimudu achana nayo, hujui hata ukila chakula ukavimbiwa ni dhambi?Pombe ni dhambi jamani acheni, imeandikwa ole wake ampae mwenzie kilevi. Tena ole wake aamkiae kilevi.