Upo sahihi Mkuu...Vita mbaya zaidi ni ile vita ambayo mtu anagombana na nafsi yake, anajikataa, anajidharau, anajiona hafai, anapata msongo wa mawazo, anaingia kwenye matumizi ya vilevya visivyo na huruma kwa mfuko wake wala afya yake ya mwili na akili.