Vita za kwenye ndoa

Vita za kwenye ndoa

Shida elimu ya ndoa hazifundishwi kama zamani
Watu wanaoana kwa utamu wa ngono,wanaungana kimwili na sio kiroho
 
😂 mke kachoka sana moto alio upate huko pengine ni heavy
 
Vita mbaya zaidi ni ile vita ambayo mtu anagombana na nafsi yake, anajikataa, anajidharau, anajiona hafai, anapata msongo wa mawazo, anaingia kwenye matumizi ya vilevya visivyo na huruma kwa mfuko wake wala afya yake ya mwili na akili.
 
Upo sahihi Mkuu...
 
Back
Top Bottom