Wapi nimeandika kwamba kuna vitabu vya makombora?Vitabu vya makombora viko maabara mkuu, maarifa yanatumika na tunaona Makombora halisi yakiua watu huko Gaza, Ukraine n.k
Hayo makombora yenu yanafanya kazi wapi Ili kuthibitisha?
Atakosekanaje wakumshinda wakati kina wanaume aalimuua!Yeah! KING OF KINGS, Hakuna kikaragos cha kumshinda!
Kama sio hivyo ni vipiWapi nimeandika kwamba kuna vitabu vya makombora?
Comment yangu mimi nimekataa kuwa hivo sio vitabu vya makombora hata mimi najua vitabu vya makombora sio hivo.
Wewe unaniuliza tena kitu nilichokikataa mkuu.!!!!!
Alifufuka ile ilikuwa ni comeback ya kibabe sanaAtakosekanaje wakumshinda wakati kina wanaume aalimuua!
Ushahidi wa kufufuka? Mtu aliefufuka si anaonekana yeye baada ya kufufuka mbona haonekani?Alifufuka ile ilikuwa ni comeback ya kibabe sana
Alikuja kama mwana kondoo aichukuaye dhambi ya ulimwengu, akirudi mbona wataisoma namba!Atakosekanaje wakumshinda wakati kina wanaume aalimuua!
Kwani mrekodi wa dhambi yupo duniani?Alikuja kama mwana kondoo aichukuaye dhambi ya ulimwengu, akirudi mbona wataisoma namba!
unahakika ya kuamini hajafufuka na hutakuwa wakwanzaUshahidi wa kufufuka? Mtu aliefufuka si anaonekana yeye baada ya kufufuka mbona haonekani?
Ujinga ni mzigo na kifungoKwani mrekodi wa dhambi yupo duniani?
Kwani ukisema mwana kondoo huwa una maanisha nini mkuu?
Ni binadamu anaefanana na kondoo au ?
Hapana! ni symbolism tu!!!Kwani mrekodi wa dhambi yupo duniani?
Kwani ukisema mwana kondoo huwa una maanisha nini mkuu?
Ni binadamu anaefanana na kondoo au ?