Vitabu vya Nyambari Nyangwine ni Janga la Taifa kwa ELimu Yetu

Vitabu vya Nyambari Nyangwine ni Janga la Taifa kwa ELimu Yetu

actually nina ku award GT's honorable award for the year.

mkuu watu anasema mengi sana lakini wanasahahu kwamba hakuna elimu kama hakuna valid reference. Ukiangalia kwa makini utagunda kwamba Nyambari Nyangwine baadhi ya vitabu vyake vinapotosha sana sana tena vinahadaa kabisa. Upataji wa maarifa ni pamoja na kupata correct and proper knowledge of the subject matter.

sasa most of his books correctness of the subject matter ni ishu kubwa sana sana. angalia vitabu vyake vya litrature na english structure angalia vya biology ni uongo mtakatifu.

kule kwenye maswali na majibu ni uongo mtupu, sintosahau eti swali linasema ""name the vein which transports blood from the liver to the stomach"" jamani jamani kweli hii ni sahihi?? ukienda kwenye majibu unakuta jibu ni hepatic portal vein.

nilichowaambia wanafunzi wangu n kwamba wao wabaki wakariri majibu ya uongo na maarifa potofu huku wakidharau mafunzo ya waalimu wao.

Mkuu @gfsown, kumbuka kuwa Nyambari Nyangwine sio mwandishi wa vitabu bali ni Mjasiriamali anayefadhili kuchapisha vitabu kwa yeyote aliye tayari halafu yeye anachukua commission kwenye mauzo. Atakuwaje na akili ya kuandika English Literature, Fasihi ya Kiswahili, Biology, Mathematics, chemistry, Physics n.k. Tatizo ni kuruhusu soko huria kutawala kila kitu.
 
Ni bora ya wanao solve past paper kuliko hivi vitabu.

wanaofaulu wote huwa wanafanya hivyo. past papers hukupa shauku ya kwenda library. unaenda ku-query majibu ya swali la past paper lililokugonga. unasoma aya mbili tatu, unapata jibu, na unaongeza maarifa. huwezi kusoma aya mbili, tau au zaidi ukatoka na jibu tu, lazima kuna vitu vya ziada utapata...ndiyo maarifa yenyewe hayo.
 
Acha wivu nyambari kasaidia sana watu.. Nchi haina mitaala hii unataka watu asone nini?

sio wivu. ila kuna ukweli kabisa kwamba uwepo wa reading list kubwa ambayo subject matter sio sahihi ni sababisho kubwa sana la kiwango cha ufaulu kushuka na kuwa na wanaunzi wasiojua mambo katika uhalisia wake.
 
Acha wivu nyambari kasaidia sana watu.. Nchi haina mitaala hii unataka watu asone nini?

kweli mkuu! hapa kwa sasa tupiganie mitaala inayoeleweka na kuhakikisha kila mwanafunzi anazingatia na kusoma Topics zote zilizopendekezwa mpaka atakapofikia kufanya Mtihani wake wa TAIFA.
 
Mkuu @gfsown, kumbuka kuwa Nyambari Nyangwine sio mwandishi wa vitabu bali ni Mjasiriamali anayefadhili kuchapisha vitabu kwa yeyote aliye tayari halafu yeye anachukua commission kwenye mauzo. Atakuwaje na akili ya kuandika English Literature, Fasihi ya Kiswahili, Biology, Mathematics, chemistry, Physics n.k. Tatizo ni kuruhusu soko huria kutawala kila kitu.

mm najua yeye ni mchapaji tu ila sasa anatakiwa awe na editors ambao ni competent kwenye masomo ili ahakiki vinginevyo ni ujinga mtupu.

mm nimeoiga mafuruku hivi vitabu kweye somo langu yaani mie vitatumiwa vya TAASISI YA KUKUZA MTAALA TANZANIA BASI.
 
nani kakuambia?? usiseme uongo ambao huna hakika nao. umewah kwenda marking?? je wajua kazi ya kwanza ya panelist ni ipi??

hebu acheni kudharau kazi za wenzenu ama kutufanya mambumbu. ingekuwa ni hivyo usingekuta kuna haja ya kuwa na waalimu darasani.

kama mnadhani fani hii ni ya vishoka kaa na mwanao home mfunze tooooop.

Mwalimu gfsonwin,naona raia zinaleta dharau kwa walimu.
 
Last edited by a moderator:
lakini baya zaidi ni hili la utitiri wa vitabu vya rejea.

Utitiri wa vitabu inaweza kuwa sio tatizo, lakini iwepo mamlaka ya kuvipitia na kuhakiki kuwa vinaweza kutumika mashuleni. Nakumbuka zamani tulisoma vitabu vya Willy Gamba amavyo havikuandikwa na serikali lakini vilipitishwa maalumu kwa somo la Kiswahili.
 
Mwalimu gfsonwin,naona raia zinaleta dharau kwa walimu.

tena wanasema kabisaa eti tunategemea majibu ya vitabu vyake kumark mitihani
my foot................kama mtu anaona waalimu ni wajinga akae na mwanae home amfundishe yeye. raia waache dharau kwa waalimu.
 
"Vitabu vya Nyangwine"(vitabu vya maswali na majibu) havimfanyi mwanafunzi kushindwa mtihani. Mwanafunzi anashindwa mtihani kwa kiasi kikubwa kutokana na maandalizi aliyonayo. Mwanafunzi akihudhuria darasani, akamsikiliza mwalimu, akaandika notes, akafanya mazoezi na majaribio yote, akasoma vitabu vya kiada(text book) kisha akija kupata "vitabu vya Nyangwine" atafanya vizuri kwenye mitihani.

Kwa hiyo ni upotoshaji kusema kuwa vitabu vya maswali na majibu ni janga kielimu, janga na maandalizi mabovu kwa mwanafunzi.
 
nani kakuambia?? usiseme uongo ambao huna hakika nao. umewah kwenda marking?? je wajua kazi ya kwanza ya panelist ni ipi??

hebu acheni kudharau kazi za wenzenu ama kutufanya mambumbu. ingekuwa ni hivyo usingekuta kuna haja ya kuwa na waalimu darasani.

kama mnadhani fani hii ni ya vishoka kaa na mwanao home mfunze tooooop.

Sory mama.nilitaka kumaanisha NECTA hupenda kurudia maswali kwa miaka kadhaa,sasa huyu Nyambari kawa mjanja kidogo kwa kuwatafuta walimu wazuri kama nyinyi mnaosahihisha ili kumjibia,Kwa kipindi kirefu wanafunzi wavivu wa kusoma lakini wajanja walikuwa wanachukua past paper na kuanza kuchagua maswali pendwa ya NECTA,sasa kama unajua "kumeza" maswali na majibu ya madesa ya Nyambari basi ungeweza kutoka na misonge kadhaa ingawa husomi vitabu.Kuna watu wanajua kukariri dada,yaani anameza hata essay hamsini!sasa mtu kama huyo kwa nini asipate misonge ukizingatia maswali mengine yana majibu yanayofanana.Kumbuka hapa sijadharau ualimu!
 
Nimesononeshwa sana na matokeo ya mitihani Kidato cha Nne ya Mwaka huu.
sababu nyingi...Kuna ..

kuanzia migomo ya walimu, watumishi wa umma kutishiwa nyau na serikali dhaifu, kiasi hata wengine kung'olewa meno. siasa kwenye elimu, hasa mijadala ya kishabiki ya wabunge wa ccm wanapokuwa bungeni kwa kuwa na tabia ya kusifia kila kitu kwa kauli za kijuha za 'kiwango cha ufaulu kimeongezeka ...tunaipongeza serikali' mambo yote ya namna hiyo.

lakini baya zaidi ni hili la utitiri wa vitabu vya rejea.

wakati siye tukisoma O'Level kulikuwa na vitabu dizaini moja tu. Vitabu vya Taasisi zetu adhimu...Taasisi ya Elimu Tanzania na Taasisi ya Kukuza Mitaala Tanzania. baada ya utandawazi na ubinafsishaji na nyonyaji na soko huria kumeibuka makanjanja wanaojifanya wanaandika vitabu vya maswali na majibu...moja wapo ni huyu jamaa anajiita Nyambari Nyangwine. Namshukuru Mungu sikuwahi kusoma vitabu vyake na hakika sitakuja kumshauri mtu avinunuwe. Haiwezekani kitabu kikawa na maswali na majibu tu halafu ukategemea kikusaidie kufaulu. hata kama utafaulu utakuwa bogazi tu kwa sababu huna maarifa kichwani.

Kwa kuwa waTZ tupo kama tumerogwa, basi hatuna budi tuchezee madini, tuchezee oembe za ndovu, tuchezee kila kitu, lakini TUSICHEZEE ELIMU.

vitabu vya Nyambari na makanjanja wenzake vipigwe marufuku. Walimu wapewe staha zao. Turudi kwenye mstari. Vinginevyo tunatia aibu, dunia ya leo kuwa kuzalisha wahitimu ambapo idadi ya waliofeli ni kubwa kuliko waliofaulu.
Tatizo la kufeli kuliko onekana mwaka tusilisskumie kwa akina Nyangwine, Nikiwa mwanafnzi tulitumia Schaum Series university kwa ridhaa yetu na walimu hawakuwahikuvitumia kufundishia. Sasa tatizo ni kipimo cha ubora wa shule ni kufaulu! Vipi kila mtu na lwake na ndipo walimu wanahamia kwa akina Nyangwine. Tatizo ni mtaala na wizara kuelekeza vitabu vya msingi kwa kila somo na watahini kufuta sylabus hiyo tu. Kuna siri nying hata katika hizi shule zinazoongoza moja chafu nikuhamishia watoto dhaifu kwenye shule nyingine ili kuficha upungufu wao wakuweza kwenda pamoja na wale dhaifu wafike pazuri. Eti wataaibisha shule!!! Hili liangaliwe pia ili tupate kioo halisi cha elimu yetu na mstakabali wake. Pili sasa matrity ya shule za "kata" imefikia kwani watoto wengi wako huko deep critical analysis ya matokea itaonyesha huo mgawanyiko. Tatu tunatatizo kwenye shule za msingi, bila kuboresha elimu ya msingi na mafaoya walimu wake, hata tufanye nini huku juu taabu haitaisha!! Serikali iwe bold enogh na kuwalipa hela zao isiwe kama watu EA community. Tutaendelea kuvuna mabua.
 
Acha kumlaumu nyambari, vitabu vyake vipo tangu mwaka 2007 mbona watu hawakufeli, sababu ya msingi ni kuwa necta ya ndalichako ilikuwa inachakachua matokeo sasa baada ya waislam kuchachamaa nadhani this time wamepumzika ndio matokeo yake hayo, watoto wa kikristo waliokuwa wanafaulu sana wako wapi? Hujui kwa nini serikali imegoma kutoa ripoti ya uchunguzi wa necta, mtindo wa kulinda ufisadi kwa manufaa ya wachache utaangamiza taifa. Mie nadhani iwe sheria usahihishaji ufanyike laivu na matokeo yapangwe laivu ndio tutajua upeo wa wanafunzi wetu, we hujui kwa nini wasomi kibao lakini nchi haina mipango, wametolewa na necta hao, tumeona necta ikipeleka watu sekondari hali ya kuwa hawajui kusoma wala kuandika, huitaji degree kuelewa uozo wa netca

nimesononeshwa sana na matokeo ya mitihani kidato cha nne ya mwaka huu. Ni dhahiri kwamba kila mwaka kunakuwa na wanafunzi wanaofeli, lakini hili la 66% ya watahiniwa kufeli (kupata division zero) limeniuma sana.

Kuna sababu nyingi.....

Kuanzia migomo ya walimu, watumishi wa umma kutishiwa nyau na serikali dhaifu, kiasi hata wengine kung'olewa meno. Siasa kwenye elimu, hasa mijadala ya kishabiki ya wabunge wa ccm wanapokuwa bungeni kwa kuwa na tabia ya kusifia kila kitu kwa kauli za kijuha za 'kiwango cha ufaulu kimeongezeka ...tunaipongeza serikali' mambo yote ya namna hiyo.

Lakini baya zaidi ni hili la utitiri wa vitabu vya rejea.

Wakati siye tukisoma o'level kulikuwa na vitabu dizaini moja tu. Vitabu vya taasisi zetu adhimu...taasisi ya elimu tanzania na taasisi ya kukuza mitaala tanzania. Baada ya utandawazi na ubinafsishaji na nyonyaji na soko huria kumeibuka makanjanja wanaojifanya wanaandika vitabu vya maswali na majibu...moja wapo ni huyu jamaa anajiita nyambari nyangwine. Namshukuru mungu sikuwahi kusoma vitabu vyake na hakika sitakuja kumshauri mtu avinunuwe. Haiwezekani kitabu kikawa na maswali na majibu tu halafu ukategemea kikusaidie kufaulu. Hata kama utafaulu utakuwa bogazi tu kwa sababu huna maarifa kichwani.

Kwa kuwa watz tupo kama tumerogwa, basi hatuna budi tuchezee madini, tuchezee oembe za ndovu, tuchezee kila kitu, lakini tusichezee elimu.

Vitabu vya nyambari na makanjanja wenzake vipigwe marufuku. Walimu wapewe staha zao. Turudi kwenye mstari. Vinginevyo tunatia aibu, dunia ya leo kuwa kuzalisha wahitimu ambapo idadi ya waliofeli ni kubwa kuliko waliofaulu.
 
actually nina ku award GT's honorable award for the year.

mkuu watu anasema mengi sana lakini wanasahahu kwamba hakuna elimu kama hakuna valid reference. Ukiangalia kwa makini utagunda kwamba Nyambari Nyangwine baadhi ya vitabu vyake vinapotosha sana sana tena vinahadaa kabisa. Upataji wa maarifa ni pamoja na kupata correct and proper knowledge of the subject matter.

sasa most of his books correctness of the subject matter ni ishu kubwa sana sana. angalia vitabu vyake vya litrature na english structure angalia vya biology ni uongo mtakatifu.

kule kwenye maswali na majibu ni uongo mtupu, sintosahau eti swali linasema ""name the vein which transports blood from the liver to the stomach"" jamani jamani kweli hii ni sahihi?? ukienda kwenye majibu unakuta jibu ni hepatic portal vein.

nilichowaambia wanafunzi wangu n kwamba wao wabaki wakariri majibu ya uongo na maarifa potofu huku wakidharau mafunzo ya waalimu wao.

Nakumbuka o level sikuwahi kusoma riwaya sijui novel hata siku moja.. Mda wote naangaika na physics zangu lakini mda wa pepa navuta zangu uchambuzi wa nyangwine nazuga zuga na mambo mazuri tu,,, kwenye necta nikatia A yangu ya english na B yangu ya kiswahili kwa msaada wa nyangwine...

Nawashangaaa mnaomponda.. Ameokoa watu wa science maana hatukua na muda wa kusoma masomo ya arts zaidi ya kumeza majibu ya nyangwine na bado kwenye necta tukatungua kama kawa...

Watoto wenu ndo vilaza nyangwine mnamuonea..
 
ana encourage rot learning.
 
Hivi kwanini 90% ya walimu, polisi,na manesi ni watu walio feli (Div.4)?
Kuna ufanisi mna utegemea hapo?
Mwanafunzi ata faulu vipi kwa kufundishwa na
mwalimu aliye feli?
 
Hivi ile akili ya Nyambari Nyangwine inaweza kutunga kitabu kikatumika kufundishia, watoto wanalishwa sumu tu za Nyambari
 
hivi vitabu sikufanikiwa hata mimi kuvisoma ila inaonekana ni vimeo lakini ukimsikilza mwenye navyo anajisifu kumbe bongas hakuna kitu ni utaperi wa elimu nakuliweka taifa kwenye ujinga zaidi
 
Kwa tafsiri ya haraka haraka ni kwamba zaidi ya 60% ya watahiniwa waliofanya mtihani wa kidato cha nne 2012 ni wajinga. Ikiwa na maana kwamba hawana uwezo wa kumudu masomo ya darasani.

Na kwa kuwa uwezo wa kusoma unarithiwa (highly heritable trait) kutoka kwa wazazi wao, may be inamaanisha kuwa pia zaidi 60% ya wazazi ni wajinga??

Kuna kusa kufikia hitimisho hilo??
 
Back
Top Bottom