Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Asante mkuu 🙏 nimekitafuta sana hiki kitabuCha Chande hiki hapa. Version zote mbili, za Kiswahili na Kiingereza. View attachment 1864947View attachment 1864948
Nice write-up OP.Cc: Red Giant Kiranga Paula Paul Iceberg9
48 laws of power ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]1. Gun, Germs and Steel- Jarred Diamond
2. The Wealth and Poverty of the Nations- David Landes
3. White Teeth- Zadie Smith
4. 48 Laws of Power - Robert Green
5. A history of ancient Rome- Mary Beard
Aise. Asante sana. Umenipa angle tofauti kabisa ya vitabu. Nitavitafuta hivi. Asante sana kaka.Hiki si katika vitabu vyangu bora vya muda wote,ila nawashauri baadhi ya watu,hasa Atheists wakisome kwa kutafakari. Maana kuna kusoma na kusoma kwa kutafakari.
View attachment 1866948
Vifuatavyo ni katika vitabu vyangu vya muda wote (hapa nimekiondoa kile kitabu cha imani yangu sababu hiki ni maalum,kadhalika vitabu vilivyo kusanya maneno,vitendo vya Mtume wangu sababu hivi ni katika ufunuo kadhalika),nitakavyo vitaja hapa ni katika vile ambavyo kuna viumbe Mola wetu aliwapa elimu na uandishi, sababu wapo walio pewa elimu lakini hawakuwa waandishi,yaani hawakuandika.
1. Ibn Taymiyyah against Greek Logicians.
Hiki kitabu msingi wake kuwakosoa au kuikosoa logic (Mantiki) kama elimu pweke iliyo asisiwa na kina Aristoto na Plato. Kwa kujenga na ukosoaji hiki ni kitabu bora kwangu.
Kimenifunza ya kuwa si lazima uwe Mwanafalsafa au usome falsafa ndiyo uwe bingwa wa kuhoji au kuuliza maswali fikirishi.
Ukipata kitabu hiki kwa lugha yake ya asili yaani Kiarabu ni bora zaidi,kwa Kiarabu kinaitwa "Nasihat alhlul Imaan fi raddi al Mantiq al Yunaaniy"
2. Incoherence of the Philosophers
Muandishi wa kitabu hiki anaitwa Abul Hamiid al Ghazali,mtu huyu alikuwa mjuzi wa mijadala na kujenga hoja,zama zake aliifanya Falsafa ya Kiyunani ionekane kama elimu ya watu wajinga wasio kuwa na akili. Ilifikia kipindi zama zake ukitaka kutolea mfano juu ya ujinga au wajinga basi ni Wanafalsafa,hakika alifanya kazi kubwa sana.
Kimenifunza mengi sana kitabu hiki.
3. The Soul
Muandishi wa kitabu hiki anaitwa Ibn al Qayyim al Jawziyyah.
Kupitia kitabu hiki nimejifunza ya kuwa Roho haifi,bali Roho ni katika kiimbe chenye mwanzo ila hakina mwisho.
Kwa leo nakomea hapa.
Asante Paula. Hiyo ya Summary, it can be done. Kuandika ni hobby yangu.Nice write-up OP.
Ni furaha sana kusoma summary zako kuhusu hivo vitabu. Nimependa pia unavyo-anza kwa kumtambulisha mwandishi ni nani. Mimi pia napenda kujua kuhusu mwandishi kabla sijachagua kusoma kitabu.
Thank you for your help maana nikienda kusoma baadhi ya vitabu hapo nitakuwa ninajua naenda kusoma kuhusu nini.
Ila umefanya nimkumbuke Kiranga nikiwa nasoma uchambuzi wako. Na yeye anapenda kusoma vitabu vigumu kama wewe.
Natamani pia uwe unatoa summary ya kitabu kimoja ulichosoma hata kila mwezi hapa. Unaandika vizuri sana.
Nitaleta vya kwangu ambavyo ni best kwa nilivyosoma ila kwa mwaka huu (Jan-sasa). Kwa sababu kila mwaka napata list mpya ninazohisi ni bora zaidi ya zilizopita.
Nowonmai pita huku.
Asante Yoda. Nimeokota viwili vitatu hapo kwako.1.Dark Star Safari; Overland from Cairo to Capetown by Paul Theroux
2.Lords of Poverty by Graham Hancock
3.Dead Aid by Dambisa Moyo
4.Da Vinci Code, Angeles and Demons, The Lost Symbol by Dan Brown.
5.Outliers by Malcolm Gladwell
6.The Book Theif by Markus Zusak
7.A Thousand Splendid Suns
by Khaled Hosseini
8.The Kite Runner by Khaled Hosseini
9.And the Mountain Echoed by Khaled Hossein
10.The River between by Ngugi wa Thiong'o
11.A.man of the People by Chinua Achebe
12.The Beautyful Ones Are Not Yet Born by Ayi Kwei Armah
10.Cry , the beloved country by Alan Paton
Asante mkuu. Nimevipata. Bless you 🙏Vitabu nilivyonavyo ni Epub format ambayo hapa haikubali. Tumia website inaitwa Zlibrary. Igoogle then nenda sehemu imeandikwa Books. Tafuta kitabu ukitakacho.
The alchemestToka umeanza, vitabu vipi umevipenda?
The alchemest
The secret
The Magic
The other side of me
Things you can see when u slow down
Untold feelings of a gentleman I and II
The things you can see when you slow down nakipenda sana hiki kitabu vimenifanya nijitambue nijue thaman yangu