Vitabu vyangu bora vya nyakati zote. Vipi vyako?

Kuna kipindi nilianza kusoma hicho kitabu cha diamond, Collapse. Nilisoma kidogo ila nilikipenda sana, ntarudi nikimalize. Nimependa huu uchambuzi wako, usichoke hii kazi.
 
Kuna kipindi nilianza kusoma hicho kitabu cha diamond, Collapse. Nilisoma kidogo ila nilikipenda sana, ntarudi nikimalize. Nimependa huu uchambuzi wako, usichoke hii kazi.
Aise, moja ya modern thinkers ninaowaheshimu ni Jared Diamond, nilianza kusoma Guns, Germs and steel (alinibadilisha sana mtazamo kuhusu historia ya dunia-miaka yangu 8 ya kusoma historia ilibadilishwa na page 500 tu za hiki kitabu [emoji3]). Juzi [nilipause cha Collapse] na kusoma kitabu chake why sex is fun—kina pages 170—kinaelezea evolution ya masuala ya ngono na miili yetu wanadamu, so insightful.

Kuhusu uchambuzi, it's my hobby na njia ya kukielewa zaidi kitabu, so don't worry bro, nitaendelea kushare mapitio yangu vya vitabu navyosoma.
 
Kuna kipindi nilianza kusoma hicho kitabu cha diamond, Collapse. Nilisoma kidogo ila nilikipenda sana, ntarudi nikimalize. Nimependa huu uchambuzi wako, usichoke hii kazi.
Hiki cha Collapse kina very interesting observation kuhusu Mauji ya Rwanda, ambayo yako nje kabisa ya hiki tunachokijua. Amegusia jinsi gani Land Pressure ilichochoea pia mauji ya Rwanda hasa kati ya wahutu kwa wahutu wenyewe. Nakusihi kimalize, hutojutia muda wako.
 
Nilivyosomaga Guns and Gems ndipo nilijua jinsi historia ilivyo somo gumu na lenye kuhitaji watu wenye akili nyingi kulimaster. Inaonekana ili kuwa bingwa wa historia unatakiwa kujua kila kitu, walau kwa kiwango fulani. Biology, hesabu, geography, computer na technolojia yake, Genetic etc. Historia hasa, ni somo tata sana. Mcheki Noah Harari, jamaa ni kama anajua kila kitu!!
 
A CONTINENT FOR THE TAKING:THE TRAGEDY AND HOPE OF AFRICA.By.Howard French. Ni kitabu changu Bora kabisa ktk vitabu vyangu. Huyu jamaa mwandishi ni Afro American,lawyer& senior New York Times reporter. Kwenye hiki kitabu jamaa ameeleza jinsi matatizo yote ambayo Africa inayakabili Leo mizizi yake ni kutoka nje ya bara hili. Ni kitabu ambacho unapokisoma unaweza kutoa machozi kwa jinsi jamaa anavyoeleza. What a book.
 
Mpk sasa sijapata ona kama THE POWER OF YOUR SUBCONSCIOUS MIND [emoji91][emoji91][emoji91]. Kuhusu novel hapana sina interest kabisa nilisomaga tu kwaajili ya kujibia mitihani.
 
Ukiwa na ubongo mdogo(small mind)lazima utapingana na laws nyingi sana,but tuliza kichwa utaelewa.
 
The 48 laws of power,achana na hiki kitabu kama unahitaji kuongeza hekima na maarifa mengi na makubwa mno soma hiki kitabu hutajutia.
One of the great book. Nachompendea Greene ni realistic.

Kuna kitabu niliona Twitter kinaitwa Daily Laws, nadhani ni kitabu chake kipya.
 
Mpk sasa sijapata ona kama THE POWER OF YOUR SUBCONSCIOUS MIND [emoji91][emoji91][emoji91]. Kuhusu novel hapana sina interest kabisa nilisomaga tu kwaajili ya kujibia mitihani.
Kwenye novel kuna mengi sana ya kufunzwa. Infact ukitaka kuliewa jambo, soma fiction novels.

Mf, kuna Novel inaitwa RUSKA. Hii ni novel inaelezea historia ya nchi ya Urusi toka kale. To me, ndio kitabu exhaustive kuhusu historia ya Urusi, kuliko Non fiction zote nilizosoma.
 
The 48 laws of power,achana na hiki kitabu kama unahitaji kuongeza hekima na maarifa mengi na makubwa mno soma hiki kitabu hutajutia.
Nitakipitia mkuu kwenye list yangu ya vitabu kipo, nina vitabu softcopy karibu 200.now nipo na CHANGE YOUR THINKING, CHANGE YOUR LIFE. baada ya kumaliza power of your subconscious mind.
 
Pamoja sana mkuu, ngoja nimalize kwanza list ya vitabu nilivyonavyo, nimeanza kuwa book reader mwaka huu miezi mitatu tu imepita na najivunia aisee kweli nilikuwa nakosa mambo mazuri, power of your subconscious mind naweza kusema kimebadilisha maisha yangu.
 
The 48 laws of power,achana na hiki kitabu kama unahitaji kuongeza hekima na maarifa mengi na makubwa mno soma hiki kitabu hutajutia.
48 laws of power pia nadhan nikitabu kimoja cha moto sana, nilipita juu juu kwenye contents bt soon nitakianza, pia mwandishi ana MASTERY, THE LAW OF HUMAN NATURE, THE 50 LAWS ALICHOSHIRIKIANA NA 50cent navyo ni vya moto balaa.
 
The story of the tortoise,let them do the work for you,but always take the credits,kobe muhuni sana asee kawachezea wanyama wakubwa(kiboko na tembo) alafu sifa kwake,ukiwa na upeo mdogo unaweza usielewe ila hapa kuna zaidi ya kilichoelezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…